Nataka nipate kazi ya kuandikisha wapiga kura, nifanyaje?

Isaya wa njombe

Senior Member
Apr 2, 2023
193
360
Kwema jamani

Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili?

Naombeni ushauri.
 
kwema.jamani vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura ishu kwamba cheti Cha form four nilipoteza je hakuna namna naweza kupata hii Dili naombeni ushauri.
Ongea na Afisa mtendaji wa Kata ndio wanatowa hizo nafasi. Au tuombe Diwani wako akusaidie

Mweleze seriously Una shida ya pesa Una matatizo ya kifamilia na kazi unaweza na utaifanya Kwa umahiri na uaminifu mkubwa.

Ukikutana na mtu mwenye moyo kama wangu lazima nikusaidie, huwa nafeel shida wanazopitia wenzangu, nimepitia matatizo ya kila namna kwahiyo kwangu kumsaidia mtu kama nina uwezo lazima nifanye hivyo.
 
Asante mkuu unaonekana una roho nzuri Kila la kheri....
 
Ongea na Afisa mtendaji wa Kata ndio wanatowa hizo nafasi. Au tuombe Diwani wako akusaidie

Mweleze seriously Una shida ya pesa Una matatizo ya kifamilia na kazi unaweza na utaifanya Kwa umahiri na uaminifu mkubwa.

Ukikutana na mtu mwenye moyo kama wangu lazima nikusaidie, huwa nafeel shida wanazopitia wenzangu, nimepitia matatizo ya kila namna kwahiyo kwangu kumsaidia mtu kama nina uwezo lazima nifanye hivyo.
Mana ake kama hufahamian vzur na mtendaj kupata ni nadra??? Na mbona wanadai majina yaanenda jiji ndo yanarud??? Na huwa zinafanyika lin baada ya kutangazwa!!! Na sisi watoto wa wakulima itakuaje mana kila kona ni koneksheni😭
 
Mtendaji wa kata ndo anazitoa hizo nafasi
 
Fanya biashara ya kuwauzia chakula hao watakao chaguliwa na tume mkuuu pesa ni circle
 
Kama huna kadi ya ccm na ya uvccc na kama umehitimu chuo huna cheti cha kutkuthibitisha ulikua mwanachama wa tawi katika chuo husika sahau kupata hizo nafasi mkuu
 
We ongea na mtendaji tu hao CCM hawawezi kuingia mle
 
Back
Top Bottom