viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamaa Fulani Mjuaji

    VIONGOZI WAACHE KUZUIA WATUMIAJI WA BARABARA KWA STAREHE ZAO BINAFSI.

    Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2. Kama mnapenda Kutumia barabara pekeenu tengenezeni Lane za Kutumia viongozi ili...
  2. Mhaya

    Jerry Silaa na Paul Makonda ni viongozi wa mfano wa kuigwa

    Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu. Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
  3. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  4. Yoda

    Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  5. C

    Luhaga Mpina: TBC inadharau Bunge kwa kukatisha matangazo Mubashara ya Bunge na kurusha warsha na ziara za viongozi

    kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi. Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  6. K

    Tatizo la Tanzania ni viongozi wengi hawana uzalendo wa kweli

    Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali. Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
  7. L

    Uteuzi: Rais Samia amteua Dkt. Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mkuu Tume ya Mipango masuala ya Mipango ya Kitaifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika...
  8. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  9. N

    Je! Viongozi wa dini na wao wanaapa baada ya kuchaguliwa?

    Naomba kuuliza? hivi Viongozi wa dini baada ya wao kufanya uchaguzi ndani ya taasisi zao na wao huwa wanaapa kwa kutumia vitabu Vitakatifu Kama ilivyokwa Viongozi wa Serikali ?
  10. ngara23

    Viongozi wa Yanga mwacheni Azizi Ki aende tu

    Nawashauri viongozi wa Yanga, msiwe na pressure kutoka Kwa mashabiki wasiojua mpira mkaingia kwenye mtego wa kumpa Aziz ki pesa ndefu takriban 1.3 billion, mtakuwa mmejichanganya. Azizi ki Kwa Sasa ana miaka 29 kwenye mpira umri huo jua limezama, unaweza kumbakiza kumbe ndo amefika kwenye peak/...
  11. M

    SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  12. Etugrul Bey

    Jicho langu katika teuzi za Viongozi

    Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni. Huko viongozi walikuwa wanapikwa na kuiva haswa na kuwa tayari kuihudumia jamii,walikuwa wamelelewa katika maadili ya uongozi...
  13. NostradamusEstrademe

    Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  14. GoldDhahabu

    Viongozi walioonesha wanayamudu majukumu yao

    1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii... 2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi 3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha 4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
  15. R

    Waziri Jerry Slaa, kuna mpango wa ufisadi upimaji wa viwanja eneo la Uwanja wa Ndege Tabora. Viongozi wa Ardhi na Mkurugenzi wanachezewa mchezo

    Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
  16. L

    SoC04 Kutungwa sheria kwa viongozi watakaoshindwa kutatua matatizo walioahidi kwa wananchi awamu iliyopita kutopata nafasi ya kugombea katika awamu zijazo

    TANZANIA TUITAKAYO Nchini Tanzania wananchi uingia mkataba na viongozi kwa muda wa miaka mitano kwa lengo la kuboresha sehemu zenye mapungufu na kutatua kero na changamoto za wananchi katika nyanja mbalimbali. Swali ni kwamba ndani ya hiyo miaka mitano hadi kukamilika miaka hiyo, viongozi...
  17. JOHNGERVAS

    SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  18. R

    Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  19. GenuineMan

    Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
Back
Top Bottom