Will EAC’s common market deal work?

am still skeptical, Tanzania is not well prepared for this. Kenya has posed to rip a lot out of it. The are right to push forward towrds the common market,because they have a lot to benefit from it. Sisi Tanzania hakuna lolote tutakalonufaika kama Kenya, hata kama tukinufaika sio kama ambavyo wenzetu wa Kenya wananufaika. Tutaanza kwenda kuuza fresh milk Kenya wao watakuja kutuuzia maziwa ya packet, tutauza mahindi kwao wao watakuja kutuuzia unga.
 
1. Kudos to those who have TZ at heart! Nimefaidika na michango yao, hasa history ya ardhi Kenya! Ardhi yetu ni lulu, ndiyo mboni ya jicho letu, jamani. Tukilazimishwa na hivi vizee vifisadi our only saviour will be AK-47. Kwa hili sina utani na mtu, waliosema eti nina incite genocide, hawajayaona ya Musa!
2. Kenyans are trying to chew what they won't swallow, kumchezea Simba masharubu. WaTZ ni nuksi, angalieni sana, suala la ardhi mlikome kama mlivyo......la.....yenu.
3. Biashara tufanye tu! Tena haya mambo yaishie kwenye CM tu.
4. Hakuna nchi nyingine inawashwa na hii Federation zaidi ya Kenya, mpaka wameahirisha mambo yao yote ili kuona inatokea, wengine wako nyuma yake, kwa vile wana matatizo yanafanana, lakini anaye-engineer ni Kenya. Shida na umaskini wa mkenya unatokana na ardhi, ingawa hawawi wawazi, ona unemployment rate 40%! This is a disaster, wanaona pa kutokea ni Tanzania, kwa hili! Uganda ingawa wanasupport, lakini hawana pressure sana, kwa vile nao wana ardhi nzuri, ila kwa vile wanawategemea kwa bandari, basi wanaunga mkno tu, Rwanda na Burundi, wote wana hila na ardhi yetu, udenda unawatoka! Waliikosa kwenye Common Market, sasa wanaitafuta kwenye Federation, hilo mlijue kabisa, ndugu watanzania wenye uchngu na ardhi yao, acha hawa wengine wanaokaribisha kwenye lulu yetu wakati sisi bado "hatujatoka". Hawa ni kina Yuda Iskarioti, tuna maadui wa nje na ndani, tulitambue hili.!
Kuna post yangu ndefu imepotea, sijui kuna mkono watu, now i've to re-do it!
Hii thread nadhani itafungwa tena, kuna ishara hiyo! Hivi kama hatuwezi kuelewana kwenye forum hii wakati hatuonani, tukionana si itakuwa balaa, kiama hakyanani!

Naona Prof. Ndulu ameanza vizuri kwenye sarafu moja, ana akili, at least fow now!

FEDERATION ZIIIIIIIIIIIIIIIII.
 
Hahahahahaha.. kanyabwoya bana hautoacha kunifurahisha. Post yako bado iko, just check the previous page, looks like you are suffering from paranoia, thinking that someone is always after what youve got, loosen up the collar a lil bit.

Nomasana, what it do homes, hawa watu bana, empty threats kila siku, lol, while we keep making money from their country, its only right that they do the same lakini waoga tu, labda hapa ni watu wawili pekee yake washa kanyaga nje ya Tanzania, na kanyabwoya si moja wao.
 
am still skeptical, Tanzania is not well prepared for this. Kenya has posed to rip a lot out of it. The are right to push forward towrds the common market,because they have a lot to benefit from it. Sisi Tanzania hakuna lolote tutakalonufaika kama Kenya, hata kama tukinufaika sio kama ambavyo wenzetu wa Kenya wananufaika. Tutaanza kwenda kuuza fresh milk Kenya wao watakuja kutuuzia maziwa ya packet, tutauza mahindi kwao wao watakuja kutuuzia unga.

What is matter is that, do we have something to sell in kenya?? if we have fresh milk is easy to immitate kenyans, we can pack it like them. for me what I doubt, we don't have much to sell to our neighbors. Do we???
 
1. Kudos to those who have TZ at heart! Nimefaidika na michango yao, hasa history ya ardhi Kenya! Ardhi yetu ni lulu, ndiyo mboni ya jicho letu, jamani. Tukilazimishwa na hivi vizee vifisadi our only saviour will be AK-47. Kwa hili sina utani na mtu, waliosema eti nina incite genocide, hawajayaona ya Musa!
2. Kenyans are trying to chew what they won't swallow, kumchezea Simba masharubu. WaTZ ni nuksi, angalieni sana, suala la ardhi mlikome kama mlivyo......la.....yenu.
3. Biashara tufanye tu! Tena haya mambo yaishie kwenye CM tu.
4. Hakuna nchi nyingine inawashwa na hii Federation zaidi ya Kenya, mpaka wameahirisha mambo yao yote ili kuona inatokea, wengine wako nyuma yake, kwa vile wana matatizo yanafanana, lakini anaye-engineer ni Kenya. Shida na umaskini wa mkenya unatokana na ardhi, ingawa hawawi wawazi, ona unemployment rate 40%! This is a disaster, wanaona pa kutokea ni Tanzania, kwa hili! Uganda ingawa wanasupport, lakini hawana pressure sana, kwa vile nao wana ardhi nzuri, ila kwa vile wanawategemea kwa bandari, basi wanaunga mkno tu, Rwanda na Burundi, wote wana hila na ardhi yetu, udenda unawatoka! Waliikosa kwenye Common Market, sasa wanaitafuta kwenye Federation, hilo mlijue kabisa, ndugu watanzania wenye uchngu na ardhi yao, acha hawa wengine wanaokaribisha kwenye lulu yetu wakati sisi bado "hatujatoka". Hawa ni kina Yuda Iskarioti, tuna maadui wa nje na ndani, tulitambue hili.!
Kuna post yangu ndefu imepotea, sijui kuna mkono watu, now i've to re-do it!
Hii thread nadhani itafungwa tena, kuna ishara hiyo! Hivi kama hatuwezi kuelewana kwenye forum hii wakati hatuonani, tukionana si itakuwa balaa, kiama hakyanani!

Naona Prof. Ndulu ameanza vizuri kwenye sarafu moja, ana akili, at least fow now!

FEDERATION ZIIIIIIIIIIIIIIIII.

My bro kanyabwoya, my bro Tumain and all other true sons and daughters of our Lovely Mother of Tanzania.

Let me, first and fore most, express my sincere gratitude for your stand on the matter at hand. This shows that Tz is in our blood, and no one is regretting to be the of spring of her.

Inanifurahisha sana kuona kumbe tupo wengi wenye machungu ya kweli na nchi yetu.
Hata mpiganaji mmoja dhidi ya ufisadi hapa nchini aliwahi sema kuwa hayuko peke ake katika vita hii, bali yuko na msitu wa watu. nadhani ndivyo ilivyo kwa hili suala la eac, tuko wengi mno.

Tukija hili suala la eac, huu wasi wasi tulio nao ni wa dhahili sana kuhusiana na mustakabali wa nchi yetu. Hii ni kwa sababu ya aina ya watu ambao tunaungana nao. Wana sifa mbaya zilizo kithiri. lakini kama nilivyo wahi eleza hapo awali kuwa huu msukumo si wetu toka ndani ya A. Mashariki, ni wa nchi toka nje. na faida ambazo sisi na hao wengine kana watani wa jadi wenye jina linaloanzia na N tutazipata kwa nasibu (coincidently) katika maana ya kuwa sisi si walengwa wa faida hizo, bali zitaenda kwa akina MicroS. Na nadhani mumeona alivyogawa PC kwa kauli mbiu ya PC 1 kwa mwanafunzi mmoja. Tutafaidika kidogo sana ukilinganisha na kile tulichostahili kufaidika nacho.

Sasa katika hili inabidi sisi kama wana wa tz tujipange, si kama wengine wanavyosema eti sijui kushindana na wanaokuja tz, bali kwa kupunguza kasi ya hili shirikisho na ikiwezekana kuliangamiza kabisa.

Kwa nini nasema hivyo, nchi yetu isipelekwe kama kipofu tu. tunataka ipelekwe kwa malengo na mipango endelevu, mfano tunataka kujenga shule za kata nchi nzima kufikia 2012. Au vyuo vikuu kwa kila kanda kufikia 2014. au ujenzi wa barabara kuu za mikoa nchi nzima kufikia 2015. nk

Na pia lazima tujue kwamba nchi nyingi ambazo zina msingi imara wa maendeleo ya kiuchumi na kisiasa ni zile zilizokataa kuingiliwa na watu toka nje katika mambo yao ya kisera (policy), maana katika shirikisho wanachama wenzio lazima watakuingilia katika mambo kadhaa ya ndani. naweza nikatoa mifano ya nchi ambazo zimepiga hatua bila kuwa katika shirikisho; china, japan, singapore, sweden (iko eu lakini inashiriki kwa umakini mkubwa sana, mfano haijakubali kutumia euro mpaka sasa, hata katika suala la ajira ina mipaka ya dhati ili kuwalinda raia wake wapate ajira) pia afrika kuna botswana, namibia ambazo zinapiga hatua vizuri tu bila kushirikiana na nchi yeyote zaidi ya kuwa na sera nzuri na kuzisimamia.

Kwa mtazamo wangu na wa tz walio wengi, hatuamini katika eac kuwa ndiyo suluhisho la matatizo yetu kama nchi. sana sana tutaingiza matatizo yaliyo makubwa zaidi. leo sitaongea mengi, lakini nitatafuta pa kuyaongelea, maana mnajua ya kuwa haya ni mambo yetu ya ndani, hatutaki N wayajue.

MASLAHI YA TANZANIA YAWE MBELE DAIMA
 
This article on the Daily Nation has summarized everything; it is ridiculous to suggest that we must rely on our neighbors to solve our problems. Without doing any kind of research on the pros and cons of this gimmick "EA Federation" ,Tanzania has stupidly decided to jump into the bandwagon . The same people " our leaders" who have screwed up our education system, recklessly selling our natural resources are now telling us to bend over so that they can shove the EA federation down our throats.

I am not against federation but I am against the timing. What our government was supposed to was to empower its people first before embarking in this nonsense.

The question that I kept on asking myself is, where is the public OUTRAGE on this issue? Furthermore, why wapinzani are not exploring this issue. It is important to understand that Kenya and Rwanda are looking for places to outsource their problems!

http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=1144028895&cid=155&j=&m=&d=
 
Thanks kwa kina Eliekeem, Tuma, Wacha, JK, na Rufiji and all others of our type. These ones we even share a bottle. Ngoja nihamie kwenye thread ile wanayosema Kikwete knows very well Kenya will momopolise EA?TZ.. Sasa Smatta, mwanzoni ilikuwa ni mapambano yangu na wewe, sasa umeona wenye nchi wamekuja. Hapa ni nguvu ya hoja. Mbona sijaona ndugu yako nomasana anaandika hata Kiswahili kidogo, yeye ni kizungu tu. Ndiyo, Eliekeem, hata policy ya bretton institutions ni kuona tunakuwa soko moja ili wauze vizuri, wakati wao wanalinda masoko yao na kwa vile walishajiandaa. Wanateka multilateral trading system kuwa ya kwao. Ninachoona, interests zao zinamatch na za Kenya, Kenya wao wakitaka sehemu ya ku-off load their army of unemployed na ardhi yetu nzuri. Sasa wanaokula hasara ni sisi, maana even our only bargaining chip (ardhi na raslimali zetu) vitapokwa. Smatta, mwende mmwagilie kule Narok na Turkana, you can do it, si mmesoma? Technology si mnayo?

Hata hivyo hatua inayofuata ya integration it's an uphill task itself. Kuna convergence criteria ambazo kwa maoni yangu hatikuja kufikiwa hata siku moja, mpaka Yesu arudi.
Nchi zote tano zinatakiwa kuwa na inflation rate 5% or less (Matajiri kina Smatta wana 29.7%, Uganda kuni ma kitu, sisi 9.7%), rwanda na Burundi sijafuatilia. Ni mwaka gani zitafikia hiyo five, naomba nisaidiwe. Foreign reserve coverage ni six months, nchi zinazojitahidi zina 4 months. Kuna one off cost za adjustment, hiyo nayo ni kasheshe. Kuna budgte deficit rate ambayo hutakiwa kui-run kwenye bajeti yako, nayo ngumu. Economic growth rate, nayo ngumu. Sasa kwa nini tusifanyie hayo kwanza kabla ya kuanza mambo ya sarafu moja huku tukijua kwamba vigezo hatuna. Pia Kenya wanaweza kuwa wameahidiwa misaada ili wapush hii federation, they have been in wrangle with DP's kwa muda mrefu, wanataka watokee hapo.

Kwa suala la ajira, bado suala la work permit liko pale pale (Smatta hapendi hili), cha muhimu ni immigration kuzibana au kutotoa kabisa, ni uzalendo unatakiwa, sasa vijana wetu watakula wapi? Halafu suala la kusema watanzania are lazy dogs, mtu ajiseme mwenyewe, kama ni kilaza hayo ni ya kwake. Mi nimeishi na wakenya na waganda na wanyarwanda na kufanya kazi nao, hamna chochote, if anything utamaduni ni ule le wa kiafrika. Kama ni attitude towards work, waafrika tuko sawa, ingawa mi nina my school of thought kwa hili. Smatta, kwani kuishi nje ya nchi inaichukuliaje? Mimi sihitaji kutangaza, nilisoma www.laroche.edu na nikafanya kazi www.northsidebank.com na nikaamua kurudi kwenye nchi yangu ya asali na maziwa, na nina raha sana na ninakula kuku kwa mrija. Si hapo tu, nimefanya mashirika ya kimataifa na kitaifa, but so what. Hoja ni fast tracking ya federation, tunapelekwa kasi mpaka tunashituka, ni kwa faida ya nani? Ni mkono wa nani, kama mjumbe mmoja anavyosema, media na watu wa nje hawajalishtukia hili, ingawa huko nyuma msimamo wao ni kwamba watZ wengi hawataki, iwe media au wanchi wenyewe. Smatta, you seem to envy this romantic country, wewe ishi, hata wachina na wahindi wanaishi, but at the end wenye nchi lazima tujue and one we will take stock. Ukisema wewe unatengeneza hela kwa mgongo wetu, wachina na wahindi watasemaje.? U r the same. Magogo yetu yetu yote mmemaliza, na kufyeka misitu yetu, wageni mmeshatufanya uchochoro, madini, pembe za ndovu na vitu kibao mnasomba, lakini watu makini watakuja. Hatuna viongozi, mafisadi hawawezi kukamata wezi wenzao hata kama ni wa nje, wanajuana, wanawagawia kile wanachopora. Nchi hii inaongozwa na mafisadi, sishangai yanayotendeka, uzuri hata Sophia Simba alishatuthibitishia, tena rasmi kuwa yeye na mabosi wake ni mafisadi nyangumi. Kwa hiyo suala si biashara tu, ni biashara ipi unafanya na unaifanyaje, that's what counts Smatta.
 
KANYABWOYA

Thanks for that post, nimekubali vitu vingi ambavyo umesema, tukijadili mambo namna hiyo hatutaburuzana, we will exchange idea and at the end of the day we would have benefited tremendously, not only the active members in this forum but many people who come here as visitors would have gained something. Thanks for the knowledge dropping bro.
 
Kenyans are the beggers, because they are the ones that are crying for EAC and TZna don't even care about EAC.

The truth is , EAC can't exist without TZ. like they have been blaming TZ for every failure or delay about EAC.
 
Na kwa nomasana, jifunze kuheshimu Watanzania, kama sivyo sema uko wapi Tanzania, uone mziki wetu ulivyokuwa mzito!

wacha vichekesho kakangu. you and your kind start by calling kenyans nyangaus and now u urge me to respect tanzanians? no i wont unless you people quit calling us names.

respect is a two way street. on every EAC topic started on this forum tanzanians are always the first ones to call kenyans names so why should show respect to tanzanians?

if no of you tanzanians dont insult kenyans i swear on the kenyan flag i will not insult any tanzanian on this forum.

fyi, when you threaten me you sound pathetic and petty.
 
Ok sasa ongea sense,
Kwanini kenya wanataka EAC? a) kuja kunyonya resources b) mutual benefits C) pressure from internal population d) pressure from external and rich? or what exactly is in your minds?

Sema kwa hoja safi..usilete mambo ya egoism? hapa..niambie kama educated and civilied individual? and why should Tanzanians welcome you as brothers..and sisters

Kwasababu Tanzanians hawana haja na huyo mnyama EAC kwasababu wanaweza kujitegemea wako proud na nchi yao..nyinyi mbona mko so dependent mnataka kuja Bongo? let me know..maan mnakasirika kweli mkiwaaambiwa EAC isiwepo? why?
 
Wiliam Ngeleja Minister for Mining said:
Mheshimiwa Spika, nina orodha ya maeneo ambayo tumeshayatenga kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Tunafahamu kule Wilaya ya Geita, Rwamgwasi tumetenga hekta 710 kwa ajili ya wachimbaji wadogo na tumeshatoa leseni pale. Ukienda pale Nyarugusu na hivi bahati nzuri sana ni maeneo ya Mheshimiwa Lolesia Bukwimba, Mbunge mpya ndani ya nyumba hii, tumeshatenga maeneo ya hekta 510. Lakini nataka niwaambie wananchi wa Geita, mna maombi yenu kule Buziba, bado kuna maeneo ambayo mnadhani tunaweza kuwashirikisha kuwapa kwa ajili ya kuendeleza shughuli za wachimbaji wadogo, tunasema kazi zinaendelea, haijaisha, lakini nataka niseme hatujaishia hapo kuna maeneo mengine tumeshatenga, Mererani pale tuna hekta 1,490 kwa ajili ya wachimbaji wadogo wapo.

Mheshimiwa Spika, ni kweli kasoro zipo na kwa sababu kama tunavyosema hata kwenye familia huwezi kuyamaliza yote, lakini juhudi za Serikali zinafanyika. Kule Kilindi, Mvomero tumetoa ekari 269,000 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Nataka kusema hili nikielezea juhudi ambazo zinafanywa na Serikali. Lakini pale Shinyanga, Kishapu kwa Mheshimiwa Mpendazoe, kule tuna hekta 14,870 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Kule London na nimeona mchango wako Mheshimiwa Chiligati, unahoji kuhusu wachimbaji wadogo. Nataka kutambua hilo na wananchi wajue kwamba unalifuatilia, kule tumetenga hekta 76,600 kwa ajili ya wachimbaji wadogo.

Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Dr. Chegeni na Dr. Limbu mnafahamu vizuri. Kule Mabungasamo, tumetenga hekta 229 kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Nyasenderwa, Musoma Vijijini, kwa Mheshimiwa Mkono, sina hakika kama yuko hapa lakini Waheshimiwa Wabunge wa Mkoa wa Mara wanafahamu, tumetenga kule eneo la hekta 172, Ruwabasi kule Musoma Mjini hekta 429 na kule Matabe Mheshimiwa Magufuli pamoja na Mheshimiwa Mukasa bado tunamalizia zoezi hilo na Wizara ya Maliasili na Utalii. Eneo la Matabe lile kuna hekta zaidi ya 880 kwa ajili ya wachimbaji wadogo.

..hicho hapo juu ndicho kitakachowafanya Wakenya wakimbilie Tanzania.

..Watanzania nao hawataki kugawana hizi resources na Wakenya.

..discoveries za Oil in Kenya na Uganda zitafaidisha multinational corporations.

..kwa middle class na low class all the action will be in Tanzania, and not any where else in East Africa.
 
Mpaka nilishasahau hii topic, wakenya wako sharp sana kwenye issues kama hizi mkuu... Shukrani kwa input yako mkuu
 
A sensitisation programme to educate Kenyans on the benefits of the East African Common Market, which takes effect in June this year, will soon be launched by the ministry for East African Community (EAC).

Already, a comprehensive package that includes a fully-fledged communication department has been put in place to roll out the programme in the first week of this month, said Mr Amason Kingi, Kenya's minister for EAC.

In his New Year message, President Mwai Kibaki, said the common market protocol, which seeks to ensure free movement of people, goods and services in the five countries within the region, will be formally put in place after the heads of States sign it.

"Kenyans must now start thinking as citizens of East Africa and that is why the ministry concerned must start educating people to prepare to reap from the market's benefits," the president said in Mombasa. Mr Kingi said the programme had been drawn a while back but had but had not taken off due to lack of funds.

"The good news, however, is that the government allocated funds in the current Budget, which have also been boosted by external donors, including the British Department for International Development (DFID). We will be signing an MOU with donors to release the funds early this month," he said.

"To set the ball rolling, a sensitisation programme that includes the setting up of integration centres in selected border points to help people understand what the protocol is all about is being developed.

The minister added that due to inadequate funding, the ministry will start with at least two border points that will be preceded by a thorough look at the protocol by the Cabinet, to have the relevant laws and instruments in place," he said in an interview with the Nation in Mombasa, adding that the ministry will require about Sh100 millon.

He said the laws will put in place legal systems that will domesticate the protocol, noting that through the campaign, Kenyans will be able to understand the different stages of cooperation that will ultimately lead to political federation.

The other protocols include the customs union. Mr Kingi said the campaign will not focus on conferences and workshops, as these would lock out ordinary Kenyans who should also benefit.

"Conferences and workshops are elitist, that is why we will carry out barazas and open air meetings to reach out to more Kenyans.

"With time, however, such programmes will be included in education curricula of all the East African countries, making it an examinable subject at all levels of education," the minister said.

http://www.nation.co.ke/business/news/-/1006/835578/-/hej5l0z/-/index.html
 
Tanzania will capitalise on its comparative advantages of size, natural resources endowment and modern industry in order to command a good share of the East African Common Market.

This is despite the advent of zero customs duty which came into force on New Year’s Day.

Since the liberalisation of trade some two decades ago, the country has shown substantial industrial development to the point that some of its products lead the way in East Africa, in terms of quality.

Hussein Kamote, director of policy and research at the Confederation of Tanzania Industries (CTI) told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the country was now producing (at a relatively low cost) most products it previously imported from Kenya

“We can compete on an even footing. What we need is to change our economic stance from defensive to attacking, by regarding Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi as our markets,” he said.
According to CTI, Tanzania did not use the five-year grace period prior to the coming into force of the East African Custom Union wisely, but the impact could be offset “if the country aggressively goes out to look for markets.”

The grace period was meant for strengthening infrastructure and to give manufacturers time to move from outdated labour-intensive production technologies to modern capital-intensive methods.

Honest Ngowi, an economist and senior lecturer at Mzumbe University in Morogoro, told The EastAfrican last week that the duty free incentive will force local producers to raise their standards due to increased competition and also create a wider choice for consumers.
 
that last paragragh shows why EAC is good. it brings competition which will force everyone to step up their game and in the consumer wins.

some of you tanzanian forumers on this forum need get on with the program.
 
some of you tanzanian forumers on this forum need get on with the program.

Not true Nomasana,

The main reason I'm against this animal is the fact that there are crooks on all sides of the borders masquerading as leaders.

It is these same people who will engage this thing with so much zeal, empty the coffers then leave the poor folks holding the strings and the blame.

What is the difference between the current leaders of these countries and those of yore? Museveni is still the same dictator that Amin was, Kibaki is still the authoritarian imperialistic president that Kenyatta was and in Tanzania party politics surrounds Kikwete alongside some unscrupulos businessmen.

Corruption and impunity abound on all sides and where is the sense in bringing this cauldron together? It is very obvious that this scenario will repeat itself then the famous quotes will start to be bandied about...

"Wakenya ni wezi" or the common one you like using "Tanzanians are lazy".

Nobody seems to look at the leaders who run these things to the ground nor question the foundations upon which such a body needs to be constituted. Where are the checks and balances that will ensure that corrupt deals are not carried out behind closed doors? What happens when corrupt officials are fingered out in their localities or if they engage regionally? Do they step aside or what? Where does the jurisdiction of national courts end? Who has the power to prosecute thuggery, both whte collar or black collar?

When I see Kikwete, M7 na Kibaki smiling at each other in these meetings I wonder what shenanigans they are up to. And to all ye cheer leaders of this confedaracy I advocate a freeze until corruption in these countries is addressed and also until such a time when true democracy is bred especially in Uganda. This will be nothing but a fleeting illusion to be pursued but never attained if i may quote Haille Selassie.

Regards.
 
Nomasana, do you even know what you are overexcited about? Your President is telling you to feel like the citizens of EA. A feeling is just a feeling, some people do even smoke a weed and feel high.
 
Back
Top Bottom