Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
Mwache huyu hana lolote kwa vile anaweza kununua tusker anafikiri ana hela..kichaka hiki ni mijitu inapenda misifa..hakuna lolote..kenya wenye hela ni wazungu, na hao kina kibaki (Mbakaji wa demokrasia), na kampuni ya wezi kutoka central na kina raila na kampuni yake kijaluo...finito..Mods hebu fungia hii mutu ya kenya kwanza iko hapa fanya nini kwenye forum ya Watanzania. Angalia yenyewe iko tukana sisi sasa. Angriiiiiiiiiiiiii!
Wengine ni wafanyakazi na wajaluo, wakikuyu huko vijijini kwao usitamani uwiiiiiiiii! choka mbaya sanaaaaaaaaa...afadhali my home village we are very much secured...
kelele nyingi za kutaka EAC zinatoka kwa kikundi hicho chenye biashara (wazungu na wanasiasa) common kenyans are desperate, hungry and greedy...na hakuna hata wa kuwasaidia maana wanasiasa wao ni mfano wa lowassa (sic) nafikiri ni type hiyo hiyo ameiba kutoka kwao..kwakuwa arusha iko karibu sana kenya...hebu tujiunge wala wasikutisha kaka!
Kitu cha kufanya kwasababu hofu yangu ni kwamba baadaye wataanza mambo ya kusema wageni warudi nyumbani kama wanavyofanya south africa...nakuanza kuua watu (mungiki type) hiyo tu ndio nataka kikwete atulinde basi...lakini mengine hawana lolote ni choka mbaya kama una mtaji please just start doing business there..note..be careful they like short cut in every thing ..that is why wanaweza chinjana bila kuogopa sana..no subira..