Wataalam wa gonjwa la HIV tujuzeni kama kuna ukweli juu ya jambo hili

John mungo

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
1,008
1,023
Habari za Jumapili.

Kuna mtu alikua ana msafirisha mgonjwa ambae tayari alikua mwathirika wa vvu, sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu nyingi.sasa baada ya kutoa msaada kwa majeruhi na kukimbizwa hospital sasa, kuna kijana ali umizwa na bati ktk pilika za uokozi na akawa amepata jeraha na aligusa zile damu za majeruhi.watu wa anza kusikitika kuwa jamaa atakuwa ameathirika.

Ila wakati tunajadili juu ya hilo kuna dada mmoja akamweleza yule jamaa kuwa aende hospital ya selikari aende kitengo cha ukimwi kabla ya masaa 72 ata patiwa dawa ya kukinga virusi kwa njia ya sindano na ina itwa p e p. Hata athirika.

Sasa madocta naomba mtu fahamishe kuwa JE hiyo ipo?
 
Habari za Juma pili. KUNA MTU ALIKUA ANA MSAFIRISHA MGONJWA AMBAE TAYARI ALIKUA MWATHIRIKA WA VVU, SASA KWA BAHATI MBAYA GARI LIKAPATA AJALI NA WOTE KUUMIA VIBAYA KIASI CHA KUVUJA DAMU NYINGI.SASA BAADA YA KUTOA MSAADA KWA MAJERUHI NA KUKIMBIZWA HOSPITAL SASA, KUNA KIJANA ALI UMIZWA NA BATI KTK PILIKA ZA UOKOZI NA AKAWA AMEPATA JERAHA NA ALIGUSA ZILE DAMU ZA MAJERUHI.WATU WA ANZA KUSIKITIKA KUWA JAMAA ATAKUWA AMEATHIRIKA.ILA WAKATI TUNAJADILI JUU YA HILO KUNA DADA MMOJA AKAMWELEZA YULE JAMAA KUWA AENDE HOSPITAL YA SELIKARI AENDE KITENGO CHA UKIMWI KABLA YA MASAA 72 ATA PATIWA DAWA YA KUKINGA VIRUSI KWA NJIA YA SINDANO NA INA ITWA P E P. HATA ATHIRIKA.

Mkuu ni kitu kipya kwangu naamini nitajifunza kitu Mara baada ya wenye ujuzi na mambo haya kutoa maelezo kwa kina
 
Habari za Juma pili. KUNA MTU ALIKUA ANA MSAFIRISHA MGONJWA AMBAE TAYARI ALIKUA MWATHIRIKA WA VVU, SASA KWA BAHATI MBAYA GARI LIKAPATA AJALI NA WOTE KUUMIA VIBAYA KIASI CHA KUVUJA DAMU NYINGI.SASA BAADA YA KUTOA MSAADA KWA MAJERUHI NA KUKIMBIZWA HOSPITAL SASA, KUNA KIJANA ALI UMIZWA NA BATI KTK PILIKA ZA UOKOZI NA AKAWA AMEPATA JERAHA NA ALIGUSA ZILE DAMU ZA MAJERUHI.WATU WA ANZA KUSIKITIKA KUWA JAMAA ATAKUWA AMEATHIRIKA.ILA WAKATI TUNAJADILI JUU YA HILO KUNA DADA MMOJA AKAMWELEZA YULE JAMAA KUWA AENDE HOSPITAL YA SELIKARI AENDE KITENGO CHA UKIMWI KABLA YA MASAA 72 ATA PATIWA DAWA YA KUKINGA VIRUSI KWA NJIA YA SINDANO NA INA ITWA P E P. HATA ATHIRIKA.

Sasa madocta naomba mtu fahamishe kuwa JE hiyo ipo?

Nenda hospital utawakuta wataalam watakueleza.
 
Back
Top Bottom