Hiki ni kama chumba hujaambiwa uingie ,kwan umefata nin? Ukabila mbeya,iringa,sumbawanga ukabila gani unajua kuna makabila mangapi hapo? Ni zaidi ya kumi,hakuna ukabila wwte?Acheni ukabila....
Mnataka kuunda chama?
Ilembula esp halalliUko ilembula au igwachanya?
Tunyande hapaNzovwe hapa mbembela
Sawa sawa inabidi tutafutane tujuane mkuuTunyande hapa
Ushi-Lusyoto moja imooooooUshi Lugombo its my hood
wapi ilindi santilya izuwo ilembo?Umalilaaa imoooooo
upo sumbawanga ipi karibu majengoSumbawanga hapa no uchawi tumeokoka wote
mkuu we mwenyeji majengo mie mtoto wa hapo speshosumbawanga oyeee mama afu dizaini kama nimewahi kukucheki majengo
ok safi me nko kona ya meku hapamkuu we mwenyeji majengo mie mtoto wa hapo spesho
dah hapo eh nakumbuka kwa barongo kuna msela alikuwa anaitwa joseph somebody anakaa karibu na kwa meku hapo kuna jamaa tulikuwa tunamuita mandumu au geofrey sikaleok safi me nko kona ya meku hapa
Ipinda 1 hapaipinda-kyela
ipinda sehemu gani mkuu?Ipinda 1 hapa