Video:Z’bar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1][/h]Written by makame silima // 18/06/2011 // Habari, Vidio // 3 Comments


Juu ya jitihada za Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff kufungua nyumba za wenye kuwasha kutumia Drug (SOBER HOUSES), lakini bado utumiaji nimkubwa na hutuma za nyumba hizo misada nimidogo.
Ukiangalia utumiaji wa madawa yakulevya Zanziba vijana wengi wa ki-Zanzibar tayari wameshaasirika kwa kutumia wa madawa yakulevya.
Hivi sasa kila ktk familia ya kizanzibar basi wana mtoto wao au jamaa yao anatumia madawa yakulevye, juu yakwamba ukiwauliza vijana kwa nini wanatumia madawa hayo?.
Jibu hupati,utaskia wanaondowa mawazo kutokana na maisha magumu na kutokuwa na lakufanya kikubwa humalizia ktk kijiwe.
 
Back
Top Bottom