Usiyoyajua kuhusu Egypt Air crash

.Ilitoka Paris airport saa2109GMT Wednesday ikitegemewa kutua cairo Airport at 0115GMT.
.Saa2324GMT Iliingia Greek airspace.
.Controller wa Greek Airtraffic aliongea kwa mara ya mwisho saa2345 na pilot aliripoti kuwa hakuna tatizo!
.Greek controller alipojaribu kuwasilliana kwa mara nyingine saa0027GMT hapakuwa majibu kutoka kwa rubani!
.Ndege iliripotiwa kupotea kwenye radar za ugiriki saa0029,40.
Ilipofika saa0030GMT ilipotea kwenye radar ya Egypt 280km coast.
.jitihada za kuitafuta zilianza mara moja saa0045,baada ya Rais wa ufaransa kutangaza kuhusu crashing.
.Ndege ilifanya abrupt turns' yaani 90degrees left then 360Right.
Baadae ilishuka kutoka37000 mpaka 15000 then ikapotelea 10000...So sad!
Itaendelea.....Asbh njema!
Tafta series ya muvi inaitwa BLINDSPOT S1E12..' uone jinsi gani mtunzi ameonyesha jinsi tunavochezewa akili.. hakunaga kitu kma hcho ndege kupotea lkn ni series of syndicates well planed as part of conspiracy.
 
Yaani hii ya turn left then turn right through 360° alafu inashuka mpaka futi 15000 misuko suko yote Pilot na copilot wana maintain radio silency/hakuna nawasiliano!! - je hii inatoa picha gani - ndege ilitekwa na magaidi yaliyo jitolea kufa, wakauua marubani, wakachukua usukani na kuitumbukiza baharini - sasa hapo itategemea ndege ilikuwa inashuka kwa kasi na kwenye degree angle hipi kabla hajakaribia water contact - kama ni shallow angle basi impact itafanya ndege ikatite vipande vipande kama iliyo anguka kwenye mwamba.
 
Bukyanagandi upo sahihi kabisaa..tusubiri uchunguzi wao tu.

Mkuu kumbe tatizo lilitokana na short circuit kwenye cockpit waya muhimu zikawa grounded kwenye chassis ya fuselage zikasababisha kukata mawasiliano na ukosefu wa umeme kwenye avionics na engine zikazimika, short ilikuwa massive kiasi cha kusababisha moshi mkubwa kwenye compartment ya COCKPIT. Binafsi naona hiyo ni ajali ya kawaida - hapo materrorist hawausiki, hayo ni maoni yangu lakini.
 
Ndugu hilo nakataa kabisa!..Hakuna kitu kama hicho kumbuka ndege ni computerised kama ni short ingeonekana kabla ya kuruka Labda kama mafundi walihusika na huo uhalifu! Ile ndege itakuwa ilitekwa tu...tutasikia tuvute subira.
 
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
 
Utalii Egypt ndio hivyo tena. Tourism industry was booming five years ago and was leading tourism destination in Africa so sad. Phaq ISIS
No umekosea na umepotosha.
Matatizo ya Misri hayakuletwa na hayo makundi ya kigaidi.
Chanzo cha shida za Misri na hata Libya ilikuwa ni ile Arab spring iliyolenga kumtoa Hosni Mbarak kwa demokrasia feki ya kimarekani.
Tangia hapo hakuna cha taifa la Misri tulilolijua.
Ya Misri na Libya yanatia uchungu sana.
Eti wazungu walienda kupeleka demokrasia na maisha bora.
Waliohaidaika wakaandamana na kukesha leo hii wanajuta sana.
 
Na always kuna backup system ...let wait kwa black box ...ila mi nazani ni time bomb ... kwani paris imekuwa inashambuliwa na magaidi labda magaidi waliweka ili ikalipuke charles de gaule ... ila timing zikakosewa .mmaana haikukaa kwa muda mrefu paris
 
Mkuu hapa tunazungumzia short circuit ambayo inaweza kukumba BUS za mawaya - hapo hakuna cha back up system wala nini - hiyo ni total electrical power outage - ungesema labda instrument fulani, hydraulic pump, fuel pump, digital processor ya sensors/transducers, power generator nk yaani kitu kimoja wapo kili fail hapo saula la ku resort kwenye backup linge eleweka.

Wahusika wanasema walipata taarifa zilizotumwa automatically/remotely na a smoke detector iliyo fungwa kwenye cockpit kwamba moshi unafuka sehemu hiyo sasa magaidi wanawezaje kufukizia moshi kwanza hiyo ingesaidia nini katika malengo yao, kitu kingine kama matekaji/magaidi wangelipuwa bomu sehemu hiyo basi smoke detector ingelipuliwa kabla haijatuma taarifa kwa wahundaji ndege moshi utumia muda kufika kwenye sensor/detector - hii ina imply kwamba kulitokea short circuit kwenye mawaya i.e pure accident.

Cha hatari zaidi ndege ilikuwa inaruka umbali wa futi elfu ishirini/thelathini juu ya usawa wa bahari ambako hakuna hewa ndio maana among other things cabin ya ndege inapashwa kuwa pressurised na hewa ambayo ni rich in oxygen ili abiria wasife kwa kukosa hewa, sasa kwenye mazingira ambayo ni rich in oxgen kuliko hewa ya kawaida hapa aridhini huwa inasababisha moshi na moto kusambaa kwa haraka sana kukitokea itirafu ya umeme/short circuit.

Narudia kusema binafsi siamini kama wateka nyara au bomb lilihusika, mazingira hayaonyeshi hivyo - I might be wrong lakini sioni kama baada ya ku analyse data za blackboxes wahusika watakuja na maelezo mengine zaidi ya kusema kwamba short circuit ya umeme ndiyo ilisababisha ndege nzima kukosa umeme kwa ghafla hivyo kusababisha ajali.
 
Mimi nadhani short circuit inaweza kuwa factor mojawapo. Lakini nikiangalia kwa undani zaidi nakuwa na mashaka, kwa sababu kuna fault detectors. Any equipment malfunction lazima signal zitumwe kwenye fault detector. Pia kumbuka suna wireless sensor, ambazo hazihitaji umeme wa nyaya. Hivyo probability ya hii incident ni 1/2 kati ya hiyo short circuit na wateka nyara. Ngoja tusubiri taarifa ya uchunguzi.
 
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
Je kama tatizo lilianza baada ya ndege kuruka,hapo inakuaje mkuu?.
Ni kweli watekaji huanza uhalifu baada ya ndege kuruka! Ila ngoja nikueleze na hapa kidogo....Hii short circuit ingekuwepo rubani angeripoti..mimi nasema ilitekwa kutokana na hii abrupt turns ya90 na 360 degrees ambayo ilitokana purukushani kati ya watekaji na rubani kukataa kupeleka ndege wanapotaka wao kuna mengi ya kuchunguza hapa.
 
Mimi nadhani short circuit inaweza kuwa factor mojawapo. Lakini nikiangalia kwa undani zaidi nakuwa na mashaka, kwa sababu kuna fault detectors. Any equipment malfunction lazima signal zitumwe kwenye fault detector. Pia kumbuka suna wireless sensor, ambazo hazihitaji umeme wa nyaya. Hivyo probability ya hii incident ni 1/2 kati ya hiyo short circuit na wateka nyara. Ngoja tusubiri taarifa ya uchunguzi.

Mkuu, here I'm talking about catastrophic failure of the plane electrical system in other words it was a sudden and total failure from which recovery was impossible, narudia ndege nzima ilizimika umeme ghafla

Mkuu saula la fault detector kutoa taarifa in realtime ingewezekana lakini ili ifanye kazi inapaswa kuwa energised at all times-don't you 4get that, sasa kama umeme ulizimika gafla fault detector ingefanyaje kazi!

In addition ndege za siku hizi zinatumia electric servos badala ya hydraulic system ku control rudder na elevators - umeme ukizimika ghafla kuna uwezekano mkubwa ndege ku turn left/right or full circle kutokana na rudder na elevators servos kukosa umeme - kama wateka nyara wengehusika marubani wamewekewa switch ya kukanyaga kwa mguu kazi ya switch ni kutuma taarifa/signal/code ya ku alart the nearest Air Traffic Controllers kwamba ndege imetekwa nyara, hilo alikutokea badala yake smoke detector ndiyo ilituma taarifa kihusu moshi kwenye vockpit - why?Kumbuka Smoke detector ina inbuilt battery haitegemei umeme wa ndege. I am still sticking 2 my guns kwamba uwezekano wa hijackers au bom kuhusika na ajali ya Egypt Air ni mdogo sana
 
Mkuu, here I'm talking about catastrophic failure of the plane electrical system in other words it was a sudden and total failure from which recovery was impossible, narudia ndege nzima ilizimika umeme ghafla

Mkuu saula la fault detector kutoa taarifa in realtime ingewezekana lakini ili ifanye kazi inapaswa kuwa energise at all times-don't you 4get that, sasa kama umeme ulizimika gafla fault detector ingefanyaje kazi!

In addition ndege za siku hizi zinatumia electric servos badala ya hydraulic system ku control rudder na elevators - umeme ukizimika ghafla kuna uwezekano mkubwa ndege ku turn left/right or full circle kutokana na rudder na elevators servos kukosa umeme - kama wateka nyara wengehusika marubani wamewekewa switch ya kukanyaga kwa mguu kazi ya switch ni kutuma taarifa/signal/code ya ku alart the nearest Air Traffic Controllers kwamba ndege imetekwa nyara, hilo alikutokea badala yake smoke detector ndiyo ilituma taarifa kihusu moshi kwenye vockpit - why?Kumbuka Smoke detector ina inbuilt battery haitegemei umeme wa ndege. I am still sticking 2 my guns kwamba uwezekano wa hijackers au bom kuhusika na ajali ya Egypt Air ni mdogo sana
Umeme kuzimika ghafla sawa na injini zote mbili in this case kuzimika ghafla???
 
Back
Top Bottom