Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,609
Ubaya wa cellphone sio tu upande wa kuishika or using headphones..... IMO naona inapunguza alertness na concetration kwa dereva. Imagine maybe anapata taarifa mbaya alafu yupo mahala pabaya pa kuweza sababiisha ajali.....
Ni kweli kabisa unavyosema. Wakati mwingine mtu unajikuta maongezi yamenoga na huko kunoga kunaweza kukawa ni a distraction. Ila ni bora mara kumi kutumia a hands-free device kuliko kuendesha huku umeshikilia simu mkononi!