Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

Hadi sasa zoezi limeenda vizuri,baada ya ccm kuona kuwa
waliowahonga hawajajitokeza asubuhi,wameanza kupiga
wananchi,na mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi
hewani,ili kutisha wananchi wasijitokeze.Kimsingi ccm
wamepanic sana
source:facebook wall ya ephata nanyaro(m/kiti bavicha arusha)
 
Arumeru ilifika wakati wakawa wanawapigia Simu mimi nikawa nachekatu yaani mpaka sasa kawa wewe ni wakala umeshajua **** wako umemchinja ama laah daa naimiss Arusha yangu...
 
Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na Nassari lakini wananchi wakaingilia Kati, Wafuasi kadhaa aw ccm wamepigwa. Kwa Kweli Hali ya ccm ni mbaya to the extent kwamba ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.

Hizi chaguzi za madiwani huko Arusha ni zile zilizoachwa wazi na madiwani waliofukuzwa Chadema?
 
nyinyiem ili washinde inabidi wafanye kazi kubwa ikiwa ni pamoja na kutimiza falsafa ya kuodoa magamba, rushwa, ufisadi, nk
 
Mtaani kwangu kumeenea habari kuwa Lema na kikundi chake wamerusha risasi ovyoovyo kwenye eneo la uchaguzi.
Vp kuna ukweli?

Uongo mimi ni msimamizi kata ya daraja mbili, CCM wanaanzishe vurugu eneo la kituo ili watu wasije kupiga kura! Lema na Nasari ndo wamekuja kuleta utulivu hata! Zoezi linaendelea vizuri! Tutawapiga!
 
Diwani wa kata ya Bangata ni Ndugu Erick Samson Mollel- CDM amepata kura 1200 akifuatiwa na Mgombea wa CCM kwa kura 200. chezea chopa wewe.
View attachment 69585
Licha ya kwamba umeleta taarifa hiyo mapema mno wakati bado zoezi la kupiga kura halijakamilika kwani wakati zoezi likiendelea ballot boxes can't be opened.
Pili idadi hiyo ya kura licha ya kuonekana kwamba CCM wanaweza kufanya vibaya si kweli kwani ujue kwenye mikutano yao walio wengine wenye sare ni wanachama na tutazamie three quarters watapigia kura CCM. Tofauti haiwezi kuwa kbuwa kwa kaisi hicho. Thats too much man.
 
Hadi sasa zoezi limeenda vizuri,baada ya ccm kuona kuwa
waliowahonga hawajajitokeza asubuhi,wameanza kupiga
wananchi,na mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi
hewani,ili kutisha wananchi wasijitokeze.Kimsingi ccm
wamepanic sana
source:facebook wall ya ephata nanyaro(m/kiti bavicha arusha)

huu utaratibu wa viongozi wa ccm kumiliki silaha( rage, malima etc) na kuzitumia hovyo hovyo unatoka wapi liko wapi lile jeshi la polisi!!
 
hapana mkuu zile tano bado tume inaweka usiku, hizi ni zile madiwani wake walifariki dunia.
Kama hali ni hiyo, tume itakaporudisha haki ya wananchi kupigia kura hao watano upo uwezekano wa halmashauri ya arusha kwa asilimia75 kuwa mikononi mwa Chadema, hapo Maya anaweza kutimuliwa kwa kura ya turufu.
 
Hivi kwa nini mimi siwezi kupost zaidi ya kukomment au ndo BAN au ndo sijatoa hela au ndo?
 
Mwawaza - SHY na Rwezera - Geita mbona wanachelewa kutuletea updates?!! Hali ikoje huko wakuu?
 
CHADEMA tembezeni mkong'oto kwa hao magamba wachache iwapo wanataka kuleta vurugu zao za kijinga. Umma ni zaidi ya jeshi la polisi. Aluta continua.
 
Back
Top Bottom