Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na Nassari lakini wananchi wakaingilia Kati, Wafuasi kadhaa aw ccm wamepigwa. Kwa Kweli Hali ya ccm ni mbaya to the extent kwamba ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.
 
Big up.............!!
 
Ccm haina chake nchi hii,mabavu ya majeshi tu ndio msaada mkubwa kwao.
 
Mtaani kwangu kumeenea habari kuwa Lema na kikundi chake wamerusha risasi ovyoovyo kwenye eneo la uchaguzi.
Vp kuna ukweli?
 
Mkuu mleta uzi, asante sana kwa taarifa, naomba na makamanda wengine nchi nzima kwenye chaguzi hizi mtupe up dates za ukweli juu ya kinachoendelea huko, hali ya usalama ikoje?, mwitikio wa watu ukoje? Tupeni hali inavyoendelea na kata zingine, hata mapicha pia mtupie .... Ni mawazo yangu tu
 
Diwani wa kata ya Bangata ni Ndugu Erick Samson Mollel- CDM amepata kura 1200 akifuatiwa na Mgombea wa CCM kwa kura 200. chezea chopa wewe.
ikopta-iliyokodishwa-chadema-ikipita-juu-ya-anga-ya-igunga-baada-ya-kuwasili-jana-alasili-kwa-aj.jpg
 
QUOTE=ngurati;4917043] ole Medeye amepita kanisani kuomba kura Leo. Kama mwenendo ndio huu CDM watashinda kata zote mbili.[/QUOTE]

Kama kweli CCM wako fair kwa dini zote, aende na misikitini kuomba kura. Au kura za Waislamu hawazitaki?
 
Mtaani kwangu kumeenea habari kuwa Lema na kikundi chake wamerusha risasi ovyoovyo kwenye eneo la uchaguzi.
Vp kuna ukweli?

PakaJimmy haihitaji degree kujua huo ni uwongo, kwani Lema ana jeshi siku hizi hadi avurumishe risasi hewani????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom