Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Tatizo ni nini maana cku hizi kila kona wameandika wanatibu nguvu za kiume !

Issue sio kwamba nguvu zimeisha, ila unakuta wengi wetu kwa misukumo ya maisha tunapoteza hamu ya kupiga ngoma kila siku. Vijana wa twenties huwa ndio wanaingia kwenye maisha na mara nyingi hawana stress, lakini ukipiga thrities mambo yanageuka na huwezi piga kila siku, hata unakuta unaenda mara moja au mbili kwa wiki, ila kwa hizi mbegu, duh! mpira hadi extra time.....
 
Ha ha ha ...naona hawaongelei side effects za nguvu artificial...

Hii sio artificial kamanda, ona hapo juu nimeka link ya media ya kuheshika DailyMail ambayo inaelezea kuhusu utafiti wa kisayansi. Yaani mimi siwezi tumia chochote artificial haswa viagra na vinginevyo. Hizi unazitafuna kila siku maana zina manufaa mengine ya kiafya.
 
Maina..ebu ongea vizuri, isijekuwa ndio hizo zilizowarestisha in peace akina Kitula Kilozno akiwa na wadada watatu kitandani
 
Huyo mzee hakukudanganya mkuu,ni kweli kabisa mlonge unatibu presha na hata kisukari pia.
Kuna kiterature nilisoma huu mti wanasema unatibu magonjwa mengi sana!

Ni kweli miti shamba mingi ina uwezo mkubwa wa kutibu.....tatizo linakuja kwenye kuainisha dozi inayokufaa.

Kwa mfano, hizi mbegu za mlonge zinztumika vipi kufuatana na uzito wa mtumiaji!

Unaweza kutumia mfano punje tatu kumbe ni under dose, na hutaona mafanikio!
 
Hii sio artificial kamanda, ona hapo juu nimeka link ya media ya kuheshika DailyMail ambayo inaelezea kuhusu utafiti wa kisayansi. Yaani mimi siwezi tumia chochote artificial haswa viagra na vinginevyo. Hizi unazitafuna kila siku maana zina manufaa mengine ya kiafya.

Mlonge nikitu gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom