Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

Lkn agano jipya hamna kitu kama hicho ambayo wakristo ndo imani yetu kama wafuasi Wa yesu
Ina maana agano la kale limepitwa na wakati?
Na wapi Yesu alikataza kulitumia?

Mnachagua yale mnayotaka nyie tu lkn mistari inayowabana mnaipiga expire date. Siku ya hukumu mtaenda kueleza vizuri ruksa hii ya kulikana agano la kale mlipewa na nani.
 
Coz mnatumia agano la kale sio. Jino kwa jino
 
Agano la kale na jipya yote yamo ktk kitabu kimoja.
Sasa ni nani aliyewapa Ruksa ya kuchagua agano la kutumia?
Yesu mwenyewe anasema ktk
MATHAYO MLANGO 5:17-19

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Sasa km Agano linasema Jino kwa jino basi na ndivyo mfuasi yyt wa Yesu anatakiwa Kufanya hivyo hivyo.

Someni maandiko km yalivyo.
Sio kwenda tu makanisani na kusomewa mistari ya kutoa sadaka tu mkaridhirika na hio peke yake.
 
Wacha kudanganya uma km ni udhalimu hadi leo watu wa unguja na pemba wanafanyiwa mkoloni nani
Kunapigwa risasi Tomondo.
KMKM wamekuja kuchukua Ng'ombe wa Wananchi.
Wananchi hawakukubali ndio wakawapiga watu wawili risasi
b50e9503aab38b49582527f8a29ee73b.jpg
/IMG] Wameingia na ndani ya Msikiti kupiga watu
5a54103496d51e1edad51d89dfdcd074.jpg
Hapa ndipo malishoni kwa Ngo'mbe

Update:

Tomondo mishelishelini hali si shwari tena wawili wapigwa risasi maduka yote yafungwa hamna ruhusa mtu yeyote kutoka nje.....defender za polisi km siku ya uchaguzi
 
Agano la kale na jipya yote yamo ktk kitabu kimoja.
Sasa ni nani aliyewapa Ruksa ya kuchagua agano la kutumia?
Yesu mwenyewe anasema ktk
MATHAYO MLANGO 5:17-19

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.

Sasa km Agano linasema Jino kwa jino basi na ndivyo mfuasi yyt wa Yesu anatakiwa Kufanya hivyo hivyo.

Someni maandiko km yalivyo.
Sio kwenda tu makanisani na kusomewa mistari ya kutoa sadaka tu mkaridhirika na hio peke yake.
Sasa kama we huchagui kwann ukimshika mwanamke anazn humpondi mawe had kufa ,kwann hutoi sadaka ya kuteketeza ,kwann usioe wake wengi kaa daudi!! Acha ukilaza ww
 
Ndugu yako yupi aloteswa na muarabu? Km ni muunguja au mpemba umechemsha! Unapozungumzia kuteswa nadhani unakusudia utumwa ss kwa hili soma vizuri history of slave trade in east africa huenda ikawa kweli ndugu zk waliteswa maana zanzibar haikuzalisha watumwa ilikuwa ina import tu slaves kutoka interior mainland tn Hata nduguzo walishiriki kikamilifu
 
Waarabu c watakatifu km ilivyokuwa kwa binaadam wngn ht wakoloni weuc wenzetu, ss zanzibar sultan hayupo lakini mateso yanaendelea km kawa huu ndo ukombozi ulokusudiwa zanzibar baada kuipindua serikali ya mohd shamte?
 
Anazungum
Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungama
Maneno yako ni ya mrengo wa kushoto.
Hatukatai ht utawala wa waarab sshv niwakidhalim wakiuana wao kwa wao na kutesana.ila ukiangalia kwa jicho la tatu ni kwamba kondoo kaponzwa na mkia wake(oil)
Mbali na hapo sikatai wala sikubali kwamba utawala wa kisultan znz ulitesA watu sbb ni tawala chache dunian ambazo hazitesi raia wake ukiangalia US sshv watu weus wanapigw risas km kuku.ukienda mbali zaid ht weus ss tunauana kinyama mfno burund au utasema nkuruzinza ni mwislam??swala la din na uongoz hazifungaman n upnd wwte unaweza kuwa na dini lakin ukawa katil umejivika ngoz kondo
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.
 
View attachment 339100
Hawa nao waarabu? Acheni chuki Zenu, Pasco wewe ni mdini na ni mmoja kati ya wanaoeneza chuki za kidini humu jamvini! na ni mbaguzi wa hali ya juu ! hatutakiwi kueneza chuki baina ya waTanzania lakini nyie mmezidi propagarnda,!

Mnaishambulia dini ya Kiislam kwa mwamvuli wa waarabu! MKOME!!!
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.
 
Mwema nani?acheni kasumba hz ktk kila jamii za watu kuna wema na wabaya,hv ww huoni haya wala kuhamasisha watu fulani wachukie watu fulani? Chuki yk ni ya kupandikizwa,hatuwezi kukaa mbali na mwarabu au asiekuwa mwarabu bali tunatakiwa tukae mbali na wabaya na waovu hata ni wanyamwezi,waislam au wakiristo wnzt,BADILIKA acha ubaguzo na kasumba
 
sijaona mwandishi alipozungumzia dini, anazungumziwa mwarabu na madhila ya utawala wake kwa watu weusi enzi hizo za utumwa., au kila mwarabu ni muislamu!!!? Fungueni vichwa vyenu basi, acheni ushabiki wa kipuuzi. Mwarabu wa zamani mpaka huyu wa leo si mwema kwa mtu mweusi, fuatilia maisha ya dada zetu weusi wanaopelekwa uarabuni kama wasaidizi wa kazi wanakutana na shida zipi kama si hizohizo!!!!!!? Mwarabu ni katili, hana utu na si wa kumuamini hata kidogo, usitegemee kukutana na mwarabu tofauti coz wengi wao wamekua wakifunzwa na kuona kile baba na babu zao walichowafanyia vijakazi weusi na hiyo imekuwa sehemu ya maisha yao. Kaa mbali na mwarabu.

Tafuta makala kutoka gazeti la ZANEWS, Bulletin NO 8, July 3 May, 1961 yenye kichwa cha maneno Kanisa la Katoliki katika Afrika, Laurice Galico.

Haya ya Kanisa kwa sasa ni marejeo kuuvamia Uislamu na bara la Afrika
 
Back
Top Bottom