Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,893
3,200
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
 
20231112_185139.jpg
 
N hi Haina umeme
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
 
Bila katiba mpya nzuri, watu waovu kupindukia kama akina Bashite wataendelea kupewa heshima na kushangiliwa na baadhi ya watu wajinga, wakati jitu linaloshangiliwa lilistahili kuwepo jela.

Akina Mbarawa pamoja na uovu wote walioganya bado wapo mitaani tena watu wema wakisimamishwa kuwapisha hawa waovu wapite.
 
Mwashambwa, jukwaa hili siyo kwaajili ya watu punguani kama wewe. Hili ni jukwaa la hoja na siyo huu upuuzi uliouweka.
 
Konda ambaye hajui na Wala hajawahi hata kuwaza kama ipo siku atakua dereva wa kuendesha gari, ghafla dreva wake kafariki wakiwa njiani abiria wakamtupia konda kiti Cha mbele na kumuamuru awapeleke wanapoenda.... Unategemea Nini?
 
Bila katiba mpya nzuri, watu waovu kupindukia kama akina Bashite wataendelea kupewa heshima na kushangiliwa na baadhi ya watu wajinga, wakati jitu linaloshangiliwa lilistahili kuwepo jela.

Akina Mbarawa pamoja na uovu wote walioganya bado wapo mitaani tena watu wema wakisimamishwa kuwapisha hawa waovu wapite.
Acha kuchafua watu wewe.kama una ushahidi nenda mahakamani.ninyi manyumbu na mafisi wa CHADEMA ni watu wa hovyo sana na ambao hampaswi kusikilizwa kwa chochote kile. Ninyi si ndio mlimtukanaga Lowassa kwa miaka nane kuwa ni fisadi na mwizi? Je 2015 hamkumkaribisha ? Hamkupatia ugombea urais? Kama siyo manyumbu na mahayawani mnataka tuwaite akina nani nyie?
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Na bado haujasema
 
Wewe na yeye Nani mjinga zaidi
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Ni wa hovyo kweli huyu mama. Bomu kabisa
 
Back
Top Bottom