falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
- Thread starter
- #341
Hongereni sanaaalegroom ni kubwa ac ,,,kwakiupi hatufanyi biashara kwa mazoea
Kutoka Dar saa ngapi? Yellow fever card inapatikana wapi? Usinichoke kwa maswali yangu tafadhariandaa passport,yellow fever card,kuanzia masaa kumi utakuwa mombasa,tahmeed daraja la juu ni 40000,huku tawakal 30000,modern coast ni 27000,n tahmeed zingine zipo za 35000,30000,27000
Itakua poa sanaSoon zitaanza
Saa 05:45am.yellow fever card inapatikana mnazi mmoja hospitalKutoka Dar saa ngapi? Yellow fever card inapatikana wapi? Usinichoke kwa maswali yangu tafadhari
Ahaa kwa hiyo unapima Homa ya Manjano au?Saa 05:45am.yellow fever card inapatikana mnazi mmoja hospital
Wakuu mpo salama salmin huku safarini?
40000naenda SHINYANGA leo hii saa 11 sijakata tiketi nitakata asubuhhi bei ni sh ngapi? natokea dar es salaam
Nisaidie namba za simu za Dar Lux, nataka kwenda Kahama kesho kutwa.Karibu mkuu
Nafah...ngoja wajuzi waje.Napga kwenda visiwa vya Comoro, usafiri wake ukoje mkuu nauli kwa aina ya usafiri?
Natala kwenda Rwanda,mabasi gani yanaenda na nauli ni shilingi ngapi?Nafah...ngoja wajuzi waje.
Ziko taqwa na falcon nauli haizidi laki na nusuNatala kwenda Rwanda,mabasi gani yanaenda na nauli ni shilingi ngapi?
DU!Dahhh, hatari sana mkuu. Unamuacha mtu ukute ni MGENI si anapotea aisee??
Huko sijafika mkuuWakuu, nina swali napenda kujfunza kama ifuatavyo;
- kwa mkoa wa Katavi, kati ya wilaya ya Mlele, Mpanda na Tanganyika ipi iko mbali (kwa kufikika kupitia njia yoyote ile) na ipi ipo karibu (kwa kufikika) kutokea Dar es Salaam?
- Njia ipi ni salama, na ya uhakika kwa safari kutokea Dsm na gharama za safari zikoje (kwa basi (kampuni pamoja na nauli) au treni [Kama ipo inaondoka Dar lini na mzunguko wake wa safari ukoje?])
Shukran
Kaka ...