Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tembo wa Afrika.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TaiJike, Feb 24, 2012.

 1. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,438
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  1. Tembo ndie mnyama mkubwa kuliko wote duniani. Hata hivyo, pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa, miguu yake kwa chini ni kama ina sponge, na pia hapendi kelele.
  2. Tembo ana ukubwa wa tani 7 na hula mizizi, majani, matunda na magamba ya miti. Tembo pia hunusa harufu ya maji umbali wa meli 3.
  3. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 70.
  4. Mkonga wa Tembo hutumika kwa shughuli nyingi, ikiwemo kuvutia pumzi na kunusia (pua), kulia, kuchotea maji ya kunywa, kukata matawi ya miti, kupigania,
  5. kuchimbia, kupapasana, na hata kujirushia maji na mavumbi kwa ajili ya kuhifadhi ngozi yake na maradhi na wadudu (mkono).
  6. Pembe yake moja inaweza kukaribia kilo 100 na urefu wa zaidi ya nchi 130. Pia jino lake moja linakaribia uzito wa kilo 20.
  7. Tembo anatumia masaa 16 kwa siku kwa kula tu, na kinyesi chake kwa siku kinafika kilo 150.
  8. Tembo huwa hasahau, chochote/yeyote alichowahi/aliyewahi kukiona/kumuona maishani mwake basi huwa anakikumbuka/anamkumbuka mara tu akikiona/akimuona
  9. Tembo huwa wanalia, kuhuzunika, hufurahi na kucheka pia. Vile vile wana huruma kiasi kwamba mtoto anapolia basi wote hukusanyana na kumbembeleza. Pia wanaomboleza pale mmoja wao anapofariki.
  10. Tembo ana uwezo wakuogelea masafa marefu.
  11. Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
  12. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 hadi 120
  13. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
  14. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi unaweza kuhisi kama vile ana miguu mitatukwa nyuma.
  15. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12, masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
  16. Tembo dume huwa na Jike wawili mpaka wanne
  17. Tembo dume "akifunga goli / akipiga bao" manii yake yanafika ujazo wa lita tano.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,156
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 145
  duh, 14, 15 na 17:shock:
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,438
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Umeona eee, lakini kiumbe mwenye akili kuliko tembo ye anarukia kama bodaboda tu.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,096
  Likes Received: 2,769
  Trophy Points: 280
  yoooooote umenen ila namba 14,15,17 kibokooooo
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,438
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160

  Mi nimeipenda zaidi 15. Tendo la kumuandaa mwenzi linashinda watu wengi (ME) wanaishia kuwaacha wenzi hewani na kuwapa maumivu kwani hajawa tayari.
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,590
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  kumbe wako hivo,ila kwa mwonekano unaweza ukadhani sio wajanja
   
 7. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,438
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Simba mwenda kimya ndie hula nyama nyingi, si umeona mwenyewe hapo.
   
Loading...