TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,898
- 11,292
Wakuu, najua hii mada inaweza kuwa kwenye forum yoyote kati ya biashara, habari mchanganyiko, hoja nzito au siasa... lakini naomba niianzie hapa kwani siasa imeharibu tanzania yetu
Tumefika wapi na hii development??? wenzetu kenya naona wanatekeleza yale ambayo wanaplan mojakwa moja, sisi tunachora, kupiga picha na kuzunguza mtu!!! ipo mifano mingi, lakini je, kuna nay progress??
Naambatanisha wenzetu wana kamji kadogo kweli karibu na JKIA lakini kanaweza kufunika uswahili wetu
je tunaweza kuifanya Kigamboni kuwa PPP kwa vitendo??? maana naona ni wakorea haohao wanaohamia kenya, we are also seeing JKN Airpot nk hali iko vilevile

Last edited by a moderator: