Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,310
Tunapenda kulalamika viwanda vikiwa vichache tunalalamika, vikiwa vingi tunalalamika... Mda si mrefu na katika sukari tutalalamikaMkuu mahitaji ya cement ni 6.8m. Production kwa sasa tunakaribia 10m. Kwa kifupi Kuna Dangote ameingia sokon. Sungura Tanga, Rhino Tanga, rhino Dar h Vyote hivyo ni mwaka Jana tu. Ninapokuambia soko hakuna amini hivo ni kwa data