TANZIA: Rtd Major General Anatoli R. Kamazima amefariki dunia

Amefariki nini? Maana kufariki maana yake kuacha, je amefariki dunia au mke au nchi?
 
ndiye nani huyo?au ni mmojawapo wa hao warundi wanaojichukulia uraia kiholela nchi hii!

Tatizo Watanzania wote ni kama tumelogwa, tunadhani kuwa Warundi tena Wahutu ndo hawatakiwi kuwa raia wa Tanzania wala kupewa uraia.Sijawaisikia mtu akisema kuwa Mnyarwanda sio raia na tunao Wanyarwanda wengi kwenye system mpaka kwenye vyombo vya kutoa maamuzi lakini utaskia aaa yule ana asili ya Rwanda shenzi kabisa kwani kama ana asili ya Rwanda ni raia? Rest in peace Rtd Major General Kamazima, uwe Mrundi, Mnyarwanda, Mhutu au hata Mtusi heri yako umelitumikia taifa kwa uadilifu kuliko huyo anaejiita eti ni raia wakati ni fisadi wa mwisho
 
Alikuwa PCCB boss na hakuwahi kufikisha fisadi yoyote mahakamani EPA ilichezwa wakati wake


What we need is RIP not other unfounded fabrications. EPA ilichezwa katika kipindi ambacho wanamtandao walikuwa wameiteka nchi ti its core kwa malengo maalaum. Yeye alikataa kuwa sehemu ya makundi yaliyoiletea nchi hii matatizo makubwa na akawa na nidhamu na ethics za kazi yake. Kwa jinsi akatofautiana na wengine maana PCB haikuwa mali ya mtu bali taasisi ya umma. Unajua nchi hii ukusimamia ukweli ukaonekana ni kikwazo kwa watu unawekwa pemebeni na kusaauliwa kabisa. Pana somo hapa either you are with us or not. RIP Kamanda Kamazima, your legacy will be sown in dark fertile soil, will be watered and nurtured rest it get chocked by enemies of the country and the true wazalendo will hold it dear
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe. pole sana kwa ndugu na jamaa mungu alilze roho yake mahali pema peponi
 
R.I.P Mzee wetu.
Kinda weird tho, huyu na rafiki yake Mahundi wote wamekufa vifo sawa..????? !!!

Nimepata taarifa za kuuzunisha sana dakika chache zilizopita kwamba Retired Major General Anatoli Kamazima amefariki dunia ghafla usiku wa leo - kuamkia Jumatano ya Tarehe 26 Mwezi wa Tisa Mwaka 2012 kutokana na mshtuko wa moyo; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, Mungu amlaze mahali pema peponi Mzee wetu mpendwa Anatoli Kamazima, AMEN;
 
hivi mnavyoandika R.I.P Kamazima huko alipo anawasoma au ni ushambenga wa kiswahili wa kuiga kila kitu? acheni mbwembwe ndugu , kifo ndio mwisho wa safari ya mapambano ya hapa duniani, kilichobaki ni muhusika kupeleka hesabu zake kwa muumba , hizo R.I.P zenu hazisaidii kitu na wala muhusika hazisomi
 
Back
Top Bottom