'St. Nyerere’s' 18 political miracles

Hakuna cha U saint wala nini, hatuwezi jua moyoni wa Nyerere kulikuaje, hii ni watu tuu wamekaa kujiamulia kikanisa, tutajuaje kama alikau haendelezi mila za kikwao ,story za kifimbo, kuweka watu kizuizini, kuka madarakani muda wote ?

Nyerere na weza kua yuko Heaven kwa kua aliugua akijua ata fariki ,labda alitubu dhambi zake na kusubiri safari ya mwisho, kitu ambacho wote hatukijui alipokeaje moyoni mwake, kwahiyo huu Usaint ni wa kidunia zaidi sio wa KiMUngu Mungu.
 
Siku hizi "Saint" ni cheo kama vile Papa, Prof., Dr., Rev., Mr., Mullar., Sheikh etc.

Dont worry, there are too many Prof, Dr., Rev etc which dont deserve anyway.

If we acronymed him "Mwalimu", I dont mind even calling him "Mchungaji" or "Saint' - after all he is not around.

If miserable Mwingira at his church (Mwenge) is calling himself "Nabii" and people are quite, why questioning Julius?
 
Abdulhalim
user-online.png
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Kama kitu hukijui ni vyema ukakaa kimya. Wakatoliki hatumchagui mtakatifu mazee..Kuna critera lukuki inabidi zifuatwe ili mtu atangazwe kuwa mtakatifu na kuwa kiongozi wa kisiasa sio mojawapo wa criteria.



Kutoka kwa Mkatoliki Abdulhalim
:yuck::yuck::yuck::yuck: :confused2:

 
Abdulhalim
user-online.png
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Kama kitu hukijui ni vyema ukakaa kimya. Wakatoliki hatumchagui mtakatifu mazee..Kuna critera lukuki inabidi zifuatwe ili mtu atangazwe kuwa mtakatifu na kuwa kiongozi wa kisiasa sio mojawapo wa criteria.



Kutoka kwa Mkatoliki Abdulhalim
:yuck::yuck::yuck::yuck: :confused2:


Dude whats wrong with u? Tatizo ni nini? Hujauna mchana au ? Yes nimerithi DNA za ukatoliki kutoka kwa mama yangu Mrs. Hawa binti Mwalimu bin Juma.

Una la ziada?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom