'St. Nyerere’s' 18 political miracles

Paul Muwanga telephoned Nyerere that very day and said: "Mr President, the Democratic Party has won the elections and Paul Semwogerere has just been here, he wants me to hand over to him. What should I do now?" Nyerere replied and said: "Paul Muwanga, you have got my army there – change all the results". Muwanga changed all the results and gave victory to UPC/Obote. (The Commonwealth Observer Team declared the elections free and fair- Editor)

Aluuuu!

Kumbe haka kamchezo huyu mzee hakukaanzia Zanzibar, duh.
Sasa napata mashaka hata zile chaguzi zake alizokuwa anapata 90% + kama zilikuwa hazina mushkeli.
 
Kwa kifupi sio papa wala wakatoliki pekeyao ndio wanaopendekeza fulani awe mtakatifu au la!
Ni mchakato mrefu na unashirikisha hata wasio wakatoliki, na hata hao watakatifu ambao kanisa katoliki linawatambua kuna baadhi yao wala hawajawahi kuwa wakatoliki katika maisha yao ,
na vigezo vipo wazi kabisa.
 
Ni suala tu la kutokujua na au kutotaka kujua. Watu wengi tunapenda kukandia madhehebu ya wengine badala ya kujielimisha kwanza ..hapo ndipo tunapokosea.

Wewe kama unaamini hamna watakatifu ni vyema huenda unazo sababu zako zinazokupendezesha macho lakini kwa kuwa unaonekama kuwa interested na hili suala la 'utakatifu' ungefanya la maana zaidi kujua undani wa wale wanaoamini tofauti na wewe ili usije ukawa na mtizamo uliopotoka.

Abdulhalim, Kama nyie wakatoliki mnaamini katika kuwabatiza watu kuwa watakatifu mnatumia andiko gani katika Biblia? Tupe hilo andiko tujiridhishe.
 
Last edited:
Abdulhalim, Kama nyie wakatoliki mnaamini katika kuwapabatiza watu kuwa watakatifu mnatumia andiko gani katika Biblia? Tupe hilo andiko tujiridhishe.

Biblia sio premise ya kila kitu kinachofundishwa na kuaminiwa na kanisa Katoliki. Kwa hiyo using'ang'anize kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Biblia..Sawasawa?
 
Bado unaendeleza ujuaji, hiyo paradox inatoka wapi? Ndo maana nikakwambia saint hood haiangalii medani za kisiasa..Sasa naona unajifanya kuruka kimanga. Ila endelea ukweli nimeshakupasha kama kuumeza utaumeza kama kuutema utautema.
Sasa bwana Mipasho mm sikatai kuambiwa sijuwi kitu wakati ninauliza, bado unarukaruka tu, hujasema ni vigezo vipi vingine, ukiondoa vya kisiasa(kumbuka kuwa umesema siasa si kigezo pekee, ukimaanisha ni kimojawapo) ambavyo Mwalimu wako Nyerere ana qulify huo utakatifu?
 
Sasa bwana Mipasho mm sikatai kuambiwa sijuwi kitu wakati ninauliza, bado unarukaruka tu, hujasema ni vigezo vipi vingine, ukiondoa vya kisiasa(kumbuka kuwa umesema siasa si kigezo pekee, ukimaanisha ni kimojawapo) ambavyo Mwalimu wako Nyerere ana qulify huo utakatifu?

Kwa sisi tulioamini process tunaijua na inatuhusu kiundani. Kwa wewe usiyeamini kitakuwa ni kichina na upotevu wa wakati kukujuza. Ila kama bado una-interest be the guest of the jungle.. just google it.
 
Kwa sisi tulioamini process tunaijua na inatuhusu kiundani. Kwa wewe usiyeamini kitakuwa ni kichina na upotevu wa wakati kukujuza. Ila kama bado una-interest be the guest of the jungle.. just google it.
Sasa mambo si yamwege hapa JF tufaidike sote?!
 
Sasa mambo si yamwege hapa JF tufaidike sote?!
Unataka mambo gani zaidi ya haya hapa #6?. Unaweza soma para mbili kisha unakunywa kahawa ukirudi unaendelea ulipoachia, ukichoka unaenda jim n.k mpaka umalize darasa lote, usiogope wingi wa maneno.
 
May I ask the following questions:-
1. Does any member of JF know how many Wadanganyika were detained without trial by this Saint after he signed into law The Preventive Detention Act?

2. Does any member of JF know how many houses were set on fire by enthusiastic TANU stalwarts who were implementing the Saint's edict for Wadanganyika to move from their traditional homesteads to Ujamaa villages?

3. And can any JF member confirm that the saint was unaware of these acts by the enthusiasts which resulted in suffering and death on the part of many Wadanganyika?

4. I read recently an enquiry by a relative of Eli Anangisye who was one of the detainees of the saint, and I started thinking of others, like him, who survived that ordeal. I remember Wilfrem Mwakitwange, Elias Mshiu, Abdu Faraji, Edward Barongo, Chief David Kidaha Makwaiya and his brother Husein Makwaiya. Can JF members give more names, especially of those still alive, so that a get-together can be organized for survivors on the occasion of the cannonization?
 
Sasa nini tena!?
Nilifikiri pale ulipo nambia sijuwi kitu katika mambo yenu, kwa kiasi cha ujinga ulionipa, nikaona nikuulize kumbe na ww mwenzangu...????????

Mazee you are very far from enrichment..it seems..:eek:
 
Watanzania kwa kupenda short cuts !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Hata yeye kuhutubia baraza la umoja wa mataifa kutaitwa miujiza.

Kwakweli naheshimu utaratibu wa wakatoliki kwa utaratibu wao wa kuwatafuta watakatifu na kuwatangaza maana wana exercise imani yao na ni haki yao kufanya hayo.

Ila kama raia watanzania nisingependa kumfanya Nyerere kama vile ndo pekee tu aliweza kufanya kila kitu nakudharau michango ya watu wengine ambao pia walifanya makubwa pamoja na kuwa majina yao hayajulikani. Nampenda Nyerere kama baba wa Taifa na naunga mkono kupewa ubaba wa Taifa ila ni mawazo mgando kuwaza kuwa sisi tuliopo we can not do much better than what he did and that he is the only gifted person who ever existed in Tanzania. Huo ni utumwa na hayo mawazo yanapaswa kupigwa vita usiku na mchana kwani hayo ndiyo yaliyosababisha kusiwepo na Nyerere's kind of people to take over after his retirement and any idea which is not sustained just like any development strategy which is not sustainable is a FAILURE. Nivyema watanzania tukajiamini na tukaamini kuwa kama Mungu yupo basi yeye si mbaya kiasi hicho akamuumba mtu mmoja tu ndani ya Taifa la watu 40mil na wasiwepo wengine kuendeleza weelbeing pindi huyo mmoja atakapochukuliwa nae huko ahera huko ni kudhalilisha uwezo na upendo wa Mungu.

Tuwaunge mkono wakatoliki kwa huo utaratibu wao lakini hayo mawazo yaishie huko huko ndani ya Kanisa lao yasije ingia ndani ya fikra za watoto wa Tanzania nakuanza kupata hofu zisizo na sababu kuwa ooh Nyerere hayupo sasa jamani tutampata wapi mtu mwingine kama yeye. Tupo manyerere wengi sana tena wengine wako gifted kuliko yeye ila tu tukubali kuunda system inayotoa fursa sawa kwa wote and you will see what will come out of that; wonderful that no eyes have ever seen, no mind has ever thought and no ear has ever heard what those people would do to the development of our beloved country.

Mungu si mbaguzi hata kidogo anatoa vipaji kwa moyo uliotayari regardless of religion, cast, tribe or any kind of classes we try to imposition ourselves; Nyerere knew this that is why he did not force His children to occupy positions which they could not handle the way they should and therefore he tried to establish a system which could give equal opportunity to all. Again being a human being he could not do it perfectly and so its our task to correct where he went wrong and perfect the imperfect so as to come up with a country of our dream.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom