Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #22,581
Mariano is the 18th different Real Madrid player to score this season. Simply brilliant.
Ninaomba sana huyu Pacheco asijetufanyia kama ya mwenzie Adan msimu uliopita, sababu hawa watu waliotoka kwetu tukikutana nao basi huwa wanakaza utadhani fainali!!Fernando Pacheco (Alaves): "We'll try everything to stop Real Madrid."
"The best La Liga goalkeepers are Oblak and Navas. I trained with Navas. He plays at a very high level."
When asked about the best difender and Midfielder in the league.
Pacheco :"Pepe is the best in defender and Modric is the best in midfielder.
Sina wasi wasi na hawa vijana!! ninajua watatupia kwenye kamba muda wowote!! Kwanza Kovacic anatakiwa hiyo kazi aimalize kesho akipata nafasi ya kucheza!!MARCA: Kovacic, Casemiro & Coentrao will make history if they score this season. Meaning the entire Real Madrid squad would have scored.
Daah, nilitamani sana Casemiro awepo kwenye game na Atletico, kucheza na hawa wajamaa inahitaji ushirikiano sana na discipline ya kudefend, sasa Casemiro hapa angekuwa kama nguzo yetu!!COPE : Ramos and Modric is expected to return from Injury Vs Atlectico Madrid but Casemiro will return in December.