Prof. Muhongo hajawahi kufanya mawasiliano ya SMS na Mama Chuwa wa Vipimo, NI UZUSHI

PROF MUHONGO HAJAWAHI KUWASILIANA NA MAMA CHUWA WA VIPIMO.

Kumekuwa na upotoshaji mwingi kupitia social media na print media kuwa Prof Muhongo alimtumia sms mama chuwa wa WAM ili awashe mitambo ya flows meters.

Prof muhongo hajawahi kufanya mawasiliano ya aina yeyote na mama chuwa ambeye yuko china ya wizara ya viwanda.

Pia Prof muhongo kwa kupitia wasaidizi wake aliwataka TRA,TPA na WMA kuwasha mitambo ya Flows meters ,kwan aliona serikali inapoteza pesa nyingi bila sababu.

Alitoa agizo hilo kama mtendaji mwenye uchungu na nchi yake na wala hakujua kama Wazir mkuu, Majaliwa atafanya ziara huko.

Kichekesho ni kuwa ukawa wakitumia print media zao na vijana wao waliopo kwa wing ndani ya mitandao ya jamii wameamua kwa makusudi kupotosha ukweli huo.

Wameamua kufanya hivyo ili tu kumukomoa Prof muhongo ambaye aliwanyima vitalu vya gesi mafisadi wao wakubwa na ambao huwa awalipi kodi.

Tunasisitiza kuwa Prof hajawahi kufanya mawasiano na mama chuwa wa WMA na kuwa aliwaagiza wasaidizi wake wahakikishe kuwa Flow meters zinawasha na TRA,TPA na WMA kama utendaji wake wa kawaida.[/QUOTE
Umechemka,kajaribu kwingine
 
PROF MUHONGO HAJAWAHI KUWASILIANA NA MAMA CHUWA WA VIPIMO.

Kumekuwa na upotoshaji mwingi kupitia social media na print media kuwa Prof Muhongo alimtumia sms mama chuwa wa WAM ili awashe mitambo ya flows meters.

Prof muhongo hajawahi kufanya mawasiliano ya aina yeyote na mama chuwa ambeye yuko china ya wizara ya viwanda.

Pia Prof muhongo kwa kupitia wasaidizi wake aliwataka TRA,TPA na WMA kuwasha mitambo ya Flows meters ,kwan aliona serikali inapoteza pesa nyingi bila sababu.

Alitoa agizo hilo kama mtendaji mwenye uchungu na nchi yake na wala hakujua kama Wazir mkuu, Majaliwa atafanya ziara huko.

Kichekesho ni kuwa ukawa wakitumia print media zao na vijana wao waliopo kwa wing ndani ya mitandao ya jamii wameamua kwa makusudi kupotosha ukweli huo.

Wameamua kufanya hivyo ili tu kumukomoa Prof muhongo ambaye aliwanyima vitalu vya gesi mafisadi wao wakubwa na ambao huwa awalipi kodi.

Tunasisitiza kuwa Prof hajawahi kufanya mawasiano na mama chuwa wa WMA na kuwa aliwaagiza wasaidizi wake wahakikishe kuwa Flow meters zinawasha na TRA,TPA na WMA kama utendaji wake wa kawaida.
Umechemka sana,jaribu kwingine
 
Acha pumba zako waziri wa nishati na madini ni nani?.Ushahidi upo kwenye video na wana jf tumeuona wewe wa kwako umepata wapi?.
 
PROF MUHONGO HAJAWAHI KUWASILIANA NA MAMA CHUWA WA VIPIMO.

Kumekuwa na upotoshaji mwingi kupitia social media na print media kuwa Prof Muhongo alimtumia sms mama chuwa wa WAM ili awashe mitambo ya flows meters.

Prof muhongo hajawahi kufanya mawasiliano ya aina yeyote na mama chuwa ambeye yuko china ya wizara ya viwanda.

Pia Prof muhongo kwa kupitia wasaidizi wake aliwataka TRA,TPA na WMA kuwasha mitambo ya Flows meters ,kwan aliona serikali inapoteza pesa nyingi bila sababu.

Alitoa agizo hilo kama mtendaji mwenye uchungu na nchi yake na wala hakujua kama Wazir mkuu, Majaliwa atafanya ziara huko.

Kichekesho ni kuwa ukawa wakitumia print media zao na vijana wao waliopo kwa wing ndani ya mitandao ya jamii wameamua kwa makusudi kupotosha ukweli huo.

Wameamua kufanya hivyo ili tu kumukomoa Prof muhongo ambaye aliwanyima vitalu vya gesi mafisadi wao wakubwa na ambao huwa awalipi kodi.

Tunasisitiza kuwa Prof hajawahi kufanya mawasiano na mama chuwa wa WMA na kuwa aliwaagiza wasaidizi wake wahakikishe kuwa Flow meters zinawasha na TRA,TPA na WMA kama utendaji wake wa kawaida.
Mna sisitiza na nani?
Hayo mawasiliano alifanya kwa njia gani?
 
Hawa 46 naona sasa wameamua kuiua serikali kabisa. Wana tuhuma na utetezi wa ajabu ajabu sana.
Wameanza kuapa shida hâta akina Idawa, hâta FaizaFoxy huwa nahisi anashindwa kuelewa awaunge au akubaliane vipi nao.
Ama kweli zama zimepinduka badala ya kubadirika.
 
Umbea na ushabiki mandazi tu umekujaa weye! Unamsemea Muongo kama nani?! Kwa nini yeye mwenyewe asijitokeze hadharani kwenye media akanushe?! Utasutwa weye!
Hoja kuu katika suala hili ni kujua maudhui ya sms hiyo kabla ya kuanza speculations ni kiongozi gani au nani aliyeituma.
Kwa kuzingatia seperation of duties WMA iko wizara ya Viwanda kwa hiyo Waziri wa Nishati hawezi kumtumia moja kwa moja sms mama Chuwa lakini waziri wa Viwanda anaweza. Pia waziri wa Nishati anaweza kuwasiliana moja kwa moja na waziri mwenzeke wa Viwanda.

Mama Chuwa au TCRA wana uwezo wa kutegua kitendawili hiki kwa kuitoa sms husika ikaonekana kwa umma na kufanya hivyo itadhibitika pasipo shaka ni nani aliandika na madhumuni ya sms hiyo.
 
Mwisho tutaambiwa Mama Chuwa amemtaja Muhongo kwa vile yeye ni mchagga kama Mengi. Maana utetezi wa kutumia jina la UKAWA umebuma...
 
Nikiwa Kama Mwana CCM Mwenzako Tena NILIYETUKUKA Na Ninayempenda Kupita Maelezo Rais Dr. MAGUFULI Naomba Kukuuliza Maswali Yangu Haya Matatu Tu Mkuu :
  1. Je ULICHOKIANDIKA Hapa Kimetoka Wizarani Kwenyewe Kwa Prof. Muhongo au?
  2. Je ULICHOKIANDIKA Hapa Ni Utashi Wako Tu Mwenyewe Umekutuma au?
  3. Je ULICHOKIANDIKA Hapa Kimetoka CCM Kwenyewe Hivyo Wanajibu Shutuma Kwa Kada Wao Kusingiziwa?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, mwana ccm aliye tukuka una maswali mazito weye
 
Hoja kuu katika suala hili ni kujua maudhui ya sms hiyo kabla ya kuanza speculations ni kiongozi gani au nani aliyeituma.
Kwa kuzingatia seperation of duties WMA iko wizara ya Viwanda kwa hiyo Waziri wa Nishati hawezi kumtumia moja kwa moja sms mama Chuwa lakini waziri wa Viwanda anaweza. Pia waziri wa Nishati anaweza kuwasiliana moja kwa moja na waziri mwenzeke wa Viwanda.

Mama Chuwa au TCRA wana uwezo wa kutegua kitendawili hiki kwa kuitoa sms husika ikaonekana kwa umma na kufanya hivyo itadhibitika pasipo shaka ni nani aliandika na madhumuni ya sms hiyo.
Alisha mwambia pm,hao wote ulio wataja kiongozi wao mkuu ni pm
 
Hawa 46 naona sasa wameamua kuja serikali kabisa. Wana tuhuma na utetezi wa ajabu ajabu sana.
Wameanza kuapa shida hâta akina Idawa, hâta FaizaFoxy huwa nahisi anashindwa kuelewa awaunge au akubaliane vipi nao.
Ama kweli zama zimepinduka badala ya kubadirika.
Mkuu ogopa kitu inaitwa mkono kwenda kinywani,ni hatari
 
Mna sisitiza na nani?
Hayo mawasiliano alifanya kwa njia gani?
Mkuu mshana jr: naamini huyu mleta uzi ni kati ya watoto wa muhongo au kimada wake si unakumbuka ile issue ya tibaijuka alivyo amua kuwatumia watoto wake mitandaoni angalau kujaribu kujibu mapigo?
 
Prof Muongo aliwaarifu wawashe mitambo kama nani? Mtanzania wa kawaida? Mjumbe wa baraza la mawaziri?
 
Back
Top Bottom