Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,486
Sijakupata vizuri hapo...Wewe umeomba ushauri si ndiyo ina maana umeenda kwa mtu ambaye una long-partnership na mumeshibana siyo? Then whats wrong hapo? Kila mtu anainterest yake ndicho nilikimaanisha.
Huko duniani kwa wenye akili hawapigani ovyo ovyo kumbuka Berlin conference tangu hapo walisha jifunza halipi kupigana ila comperative advantages ndizo determinants; hizo barbaric characters zakupigana wametuachia sisi...
Hao interest zao ziki-gongana wanakuja na evidance nani ali-invest kwenye hiyo sector kupita mwenzake na wanakubaliana kila mmoja atafaidika vipi...Kazi inabidi kwetu maana hawatatu force bali tuki-negotiate vizuri na ss tuna kuwa better off ndicho kilichotokea huko Qatar na Saudia na ile United Emirates yote and the like....
Dunia ya mabavu inakuja tu pale mkijidai kukata huku wao hawana pengine pakupata mahitaji yao hapo ndiyo wana kukung'uta na ili isiwe hasara wanakuuzia na silaha ku maximize profits..
Tanzania kupewa ushauri na serikali ya Norway wakati Norway nayo inashindania biashara hizi ni conflict of interest.
Huwezi kuwa na mtu mteja yeye, business partner yeye, consultant yeye.