Mkuu nakumbuka Lissu alikuwa mtetezi wa mauaji ya Bulyanhulu..Kumuogopa Lisu inaweza kuwa inatokana na matatizo aliyoyapata Lisu wakati akitetea Wana Mara na ugomvi wao na wenye migodi ya dhahabu. Lisu inasemekana alikamatwa na kuteswa sana na serikali ya CCM.
Nina imani kuna mtu atakuja kuilezea hii kwa urefu maana hata mie huwa naisoma nusunusu.
Mama Lisu ni dada yake Tundu Lisu na si Mkewe. Muwe wa kweli.