Nauza ubuyu mtamu wa embe

zaynab applw

Member
Nov 30, 2016
55
38
Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500
8657de5057d184487e9de509277657bc.jpg
 
Tupe somo kidogo juu ya unachokiuza. Ubuyu najua na embe najua, ila bado sijaelewa hiyo combination. Naomba elimu kidogo kama hautojali.
 
Tupe somo kidogo juu ya unachokiuza. Ubuyu najua na embe najua, ila bado sijaelewa hiyo combination. Naomba elimu kidogo kama hautojali.
Embe mbichi
Ark rose
Unga wa ubuyu
Rangi
Sukar
Maji
Unakata embe kama chips then unazianika mpaka ziwe kavu kabisa baadayapo ndo unaanza zipika unaipika sukar had itoe povu unatia vtu vyote isipokuwa embe unaweka mwisho. Litakuwa kama uji zito then unaweka sasa embe unafanya kama unasonga baada ya hapo zikikauka teyar kuliwa
 
Kwa wanaoujua washafaham jina ndo hilo ubuyu wa embe

Ubuyu ni zao linalotokana na Mti wa Mbuyu. Hivyo hiyo ni product ya embe na sio ubuyu.

Ikishakuwa ubuyu haiwezikuwa embe.

Asanteee kwa product yako natamani nipate ya kuonja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom