Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
ANC ni chama cha siasa nchini Afrika ya Kusini na sio chama cha wafanyabaishara. Ni kwa nini CCM iamue kualika wafanyabiashara 'maarafu' ndani ya chama cha siasa na sio watu wengine? Kwanini kwa mfano wasingeialika kamati kuu ya ANC au hata viongozi wa chama wa majimbo (Provinces)? Why ni wafanyabiashara?
Pili, ni wafanyabiashara 'maarafu' kwa lipi? Maarafu kwa kununua Tanzaniate na kusema inatoka kwa Madiba? Maarufu kwa kuwekeza kwenye Net Group Solution? Umaarufu wao hao wafanyabiashara unatokana na nini?
Pengine Nape analeta mzaha kwenye hili lakini he may live to regret it. Serikali ya ccm in kashfa lundo za kuuza nchi kwa 'wafanayabiashara wa Afrika ya kusini'.
Wenzao CHADEMA wameamua kuomba michango ya watanzania bila kujali ni mama ntilie au msukuma mkokotini. Lakini CCM wanaona dawa ni kuita wafanyabiashara toka Afrika kusini! Kuna kipande gani cha nchi hawajakiuza sasa wanataka kukipiga bei?
Mipango ile ile ya wizi kupitia chama cha majizi Tanzania