Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

tatizo humu ndani hua sijuagi nani mwanaume nani mwanamke maana ID za watu hazionyeshi... so mie hata sijuagi nani ni jinsia gani
 
haya lara....!

mi nimenote apo kwen "tiririka"....

aafu na apo kwen "kubwa la maadui"....

nimepanote kwa msisitizo mkuu.....!

karibu pilsner na vodka kwa muungano wao...
 
Back
Top Bottom