:angry::angry::angry:
mke mwenza, yule mganga wa kongosho akifa lazma tuhame mjini hehehe
Nalinda ndoa Vin Diesel
Ina maana mmenifanyia mambo ya utamaduni?
ndo maana yake. Akihamia njiro kwenye ile orofa yake si watamshtukia anafisadi ofisi?
ndo maana yake. Akihamia njiro kwenye ile orofa yake si watamshtukia anafisadi ofisi?
tulia unyolewe exshemeji.
Mjini hapa
Ina maana mmenifanyia mambo ya utamaduni?
salaumu zimefika na zikurudia na VAT juu...mie natamani kutaja tatizo bado nina hangover ya kuondokewa na mke wangu....lol
tulia unyolewe exshemeji.
Mjini hapa
mke bado anakupenda huyo, hujui mtoto wa kike pozi zinahusu.
Khaaa............ Futa upesi!
nitönye mwenyewe kashakukimbia, bora urudi kwa vin kerosene