Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

manbo wana JF...naombeni mnijuze sir George Kahama alipewa cheo hiko cha Sir na nani?? Na alifanya nn mpaka akapewa au alijipachika mwenyewe??
Maana hiki cheo hutolewa na malkia wa uingereza.
 
nadhani alikuwa KNIGHTED na Queen of England; hiko sio cheo by the way, you get that by doing 'significant' work to help people or if you make a 'notable' impact to the course of humanity; and OF COURSE If YOU are a citizenship of the Commonwealth Country;
 
thanx kwa ufafanuz wako mkuu
 
Nyerere baada ya kurudi toka China, alianza kuvaa ki-Mao. Wanasiasa wote wakamwiga (na waka acha baada ya Mwinyi kushika madaraka) isipokua Kahama ambaye aliendelea kuvaa suti. Kwa utani, akiwa amevalia suti, Mwalimu almwita Sir George. Tangu siku hiyo akawa anaitwa hivyo, and he didn't mind. Huyo u Sir hakutumukiwa na Elizabeth II, ALIBANDIKWA na Nyerere
 
nadhani alikuwa KNIGHTED na Queen of England; hiko sio cheo by the way, you get that by doing 'significant' work to help people or if you make a 'notable' impact to the course of humanity; and OF COURSE If YOU are a citizenship of the Commonwealth Country;​

Sawa ila soma na hii hapa chini

Nyerere baada ya kurudi toka China, alianza kuvaa ki-Mao. Wanasiasa wote wakamwiga (na waka acha baada ya Mwinyi kushika madaraka) isipokua Kahama ambaye aliendelea kuvaa suti. Kwa utani, akiwa amevalia suti, Mwalimu almwita Sir George. Tangu siku hiyo akawa anaitwa hivyo, and he didn't mind. Huyo u Sir hakutumukiwa na Elizabeth II, ALIBANDIKWA na Nyerer

Haya tuendelee
 
Nyerere baada ya kurudi toka China, alianza kuvaa ki-Mao. Wanasiasa wote wakamwiga (na waka acha baada ya Mwinyi kushika madaraka) isipokua Kahama ambaye aliendelea kuvaa suti. Kwa utani, akiwa amevalia suti, Mwalimu almwita Sir George. Tangu siku hiyo akawa anaitwa hivyo, and he didn't mind. Huyo u Sir hakutumukiwa na Elizabeth II, ALIBANDIKWA na Nyerere

kuvaa ki-mao ni mavazi gan mkuu??
Kwa hyo kumbe ni nyerere ndo alimpa u-s na wala co malkia??
 
Nyerere baada ya kurudi toka China, alianza kuvaa ki-Mao. Wanasiasa wote wakamwiga (na waka acha baada ya Mwinyi kushika madaraka) isipokua Kahama ambaye aliendelea kuvaa suti. Kwa utani, akiwa amevalia suti, Mwalimu almwita Sir George. Tangu siku hiyo akawa anaitwa hivyo, and he didn't mind. Huyo u Sir hakutumukiwa na Elizabeth II, ALIBANDIKWA na Nyerere

kuvaa ki-mao ni mavazi gan mkuu??
Kwa hyo kumbe ni nyerere ndo alimpa u-sir na wala co malkia??
 
kuvaa ki-mao ni mavazi gan mkuu??
Kwa hyo kumbe ni nyerere ndo alimpa u-sir na wala co malkia??

ki-mao maana yake "kama Mao tse Tung" aliye kuwa mweyekiti wa chama cha kikomunisti China, mashati hayana ukosi, yanakuwa duara shingoni,Hata koti la suti,Hivi karibuni noliona Malecela amevaa kimao bingeni, wengine wote wameacha - hata China!
 
raha ya tanzania
unaweza tohoa kitu chochote.
Mie mke wangu prof, siku hizi najiita Dk.
 
nasikitika sana hakuna mtu aliyeweza kujibu hii hoja.... kwa yeyote mwenye kumjua huyu mzee kiundani tungependa kusikia toka kwake.

3975734996_5fc5cf30cf_z.jpg

Sir George Kahama, Chairman of the board of directors, SEACOM Tanzania
 
Wakati bado tukiwa chini ya Ukoloni wa Mwingereza kulikuwa na bunge la Africa Mashariki likijumuisha nchi tatu, na mwanzoni katika hili bunge kulikuwa na uwakilishi wa wazungu na waasia peke yao. Baada ya harakati za ukombozi na kutaka waafrika wajumuishwe kwenye hili bunge (LEGCO) George Kahama ndo alikuwa mwafrica wa kwanza kuingia kwenye hilo bunge kuwawakilisha waafrica. Kwa heshima hiyo Malkia wa UK alimpa jina la Sir.

Nijuavyo Sir George alipewa cheo cha Sir.na malkia kwa kukariri dictionary kuanzia A-Z na maana yake(Oxford Dictionary),mzee anajua kimombo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom