Msaada: Napata muwasho sehemu ya siri

xema usirudie kuvaa boxer mara mbili;yaan uvae mara moja den change,ukisema fua boxer kila ck hy imekuwa chupi;mf mm cfui boxer kila ck navaa zaid ya mwez ndo nafua kuz nina boxer zaid ya50;!

huwezi kukaa na uchafu ndani for that long, a week yes but not a month; na sijasema unafua na kusubiri ikauke uivae, once washed you keep it wakati unaendelea kutumia nyingine. you will attract rats in your room my dude.
 
Wakuu, nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'. Kama nipo sahihi nini tiba yake?
Mkuu tumia ushauri uliopewa ikiwa bado hujapona nitafute nikupe dawa ya kutibu Fangasi zako za sehemu za siri utatumia dawa zangu kwa siku 7 na utapona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Nakushukuru mkuu, tutawasiliana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom