Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Kupinda kunaweza kukawa ni sababu ya mojawapo au yote ya haya nitakayoyataja hapa chini
1. Chupi
Kwa kawaida huwa tuna weka madushelele yetu upande mmoja.... kuna wanaoweka kushoto , akuna wanaoweka kulia... Matokeo yake dushelele inazowea huko na mwisho unakuwa huwezi badilisha... INAPINDIA KUELEKEA HUKO ULIKOISZOWESHA

2. Kutahiriwa
kwa wale waliotahiriwa na kushonwa, kuna watu wameachwa na ngozi kubwa upande mmoja, na upande mwingine imefutwa sana kiasi cha kuifathanks mkuu point zako za ukweli sana sababu nimejaribu kuilazia kushoto naona outcome za kunyooka ni ndogo sana
 
Em kueni na busara jaman.....mwenzenu anapokua na shida yuko serious kutafuta tiba.....nyie mnamjibu majibu ambayo siyo,,.....haipendezi jaman,,....ustaarabu jambo la bure kabisa,,....tubadilike

Nina Mil 500 bank sasa sijui nifanye biashara gani plz ushauri.
 
Hayo ni madhara ya kuvaa nguo za kubana sana, vijana wengi wanafikiri ni fasheni kuvaa hivyo matokeo yake hata zile korodani zinashindwa kuvutika chini nakurudi ndani kwa wakati wake n ahivyo kupelekea uzalishwaji usiokuwa sahihi wa mbegu za kiume na hatimaye kukosa uwezo wa kusababisha ujauzito.

Jitahidi kuvaa nguo zenye nafasi kidogo.
 
thanks mkuu kwa ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi.
 
thanks watu8 but wanawake wanauchukuliaje uume kama huo?

Anyway ngoja niwe serious kidogo lol...
Mkuu ni wanaume wengi sana wenye umbo kama hilo la uume na kimsingi halina shida yoyote kwenye kungonoka...
Lazima utambue kuwa miili yetu imetengenezwa kwa misuli na sifa moja wapo ya msuli ni uwezo wa kujikunja kutegemeana na shinikizo litolewalo kwa wakati husika...
Hivyo hata kama uume umepinda, pindi utaposimama barabara na kuingizwa kwenye uke wa mwanamke, basi uke wa mwanamke utachukua umbo sawasawa na lile la uume...

Sina uhakika wanawake huchukulia vipi suala hilo mana mimi si mmoja wao...ila hata kama watashangaa najua kama utakuwa fundi kwenye kumkuna barabara...hakika maishani mwake ataamini wenye kupinda uume ndio wawezao kukuna vipele vyote vya ukeni na atakupenda kwa hilo.
 
Anyway ngoja niwe serious kidogo lol...
Mkuu ni wanaume wengi sana wenye umbo kama hilo la uume na kimsingi halina shida yoyote kwenye kungonoka...
Lazima utambue kuwa miili yetu imetengenezwa kwa misuli na sifa moja wapo ya msuli ni uwezo wa kujikunja kutegemeana na shinikizo litolewalo kwa wakati husika...
Hivyo hata kama uume umepinda, pindi utaposimama barabara na kuingizwa kwenye uke wa mwanamke, basi uke wa mwanamke utachukua umbo sawasawa na lile la uume...

hapo nimeanza kukuelewa sasa
 
Yeah on a serious basis

Uume umepinda kwenye shina? ??!!!
Au at the middle of the shaft??!!!

Kama.he is real bothered then physical examination yaweza kuwa muhimu
 
hapo nimeanza kukuelewa sasa

Usijali mkuu shaka ondoa...hiyo silaha uliyonayo ipo tayari kwa vita wakati wowote hata ikikutana na binti kigoli ambaye tundu lake halijawahi kupekechwa...
Utamtoboa na aghalabu tundu lake litanyooka kama mapango ya Amboni...
 
Nilikuwa napita tu mkuu nikasikia sauti ya mkuu Rocky nikaona nichungulie nami nitoe japo mchango wangu.

Mkuu mimi mwenyewe nimepita tuu wala sijatoa mchango maana niliona kijana wa miaka 20 ashaanza kuwaza kuwa akisex na wanawake wakati mtarimbo umepinda inakuwaje nikaona majanga mengine hapa
 
Usijali mkuu shaka ondoa...hiyo silaha uliyonayo ipo tayari kwa vita wakati wowote hata ikikutana na binti kigoli ambaye tundu lake halijawahi kupekechwa...
Utamtoboa na aghalabu tundu lake litanyooka kama mapango ya Amboni...

aya bwana manaake nilikua na mi wasiwasi kibao juu ya mashine yangu.
 
Uume umepinda kwenye shina? ??!!!
Au at the middle of the shaft??!!!

Hahaha...
Mkuu haijalishi umepinda sehemu gani...shughuli lazima upige kaka kawaida...
Uke wa mwanamke upo elastic na sio rigid hivyo unaweza ku-accomodate umbo lolote linalopenyeza huko...
 
Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kulia uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20
Mambaee hongera tena usiwe na shaka upo safi kama ulivyo ukioa kihalali utajaaliwa watoto wakiume wote!! siri hii ninayo!!
 
Back
Top Bottom