Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Wakuu embu msaidieni huyu mtu. Uume wake umepinda kuelekea chini inakuaje. Na unamsumbua wakati wa kusex.

Wewe ni jinsia gani!? Uume hupindia kushoto Kama unapenda kuvaa underwear za kubanwa, lakini haupindi kiviile kwakuwa ni msuli.

Uuume unaopinda kwenda chini hilo ni tatizo la erection yani ni Dalili za uhanithi na pia sababu nyingine ni kupenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Normal erection ni nyuzi 45• 👆 yani ngoma Kama inaangalia juu, na hii inafuata maumbile ya utupu wa mwanamke.
 
Wewe ni jinsia gani!? Uume hupindia kushoto Kama unapenda kuvaa underwear za kubanwa, lakini haupindi kiviile kwakuwa ni msuli
Uuume unaopinda kwenda chini hilo ni tatizo la erection yani ni Dalili za uhanithi na pia sababu nyingine ni kupenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile
Normal erection ni nyuzi 45• 👆 yani ngoma Kama inaangalia juu, na hii inafuata maumbile ya utupu wa mwanamke

Mtu huyo anasaidikaje sio mimi.
 
Anasema wakati anatahiriwa kuna nyama fulani haikukatwa hvyo uume ukisimama unakua hau wima unapinda kidogo.
 
Wewe ni jinsia gani!? Uume hupindia kushoto Kama unapenda kuvaa underwear za kubanwa, lakini haupindi kiviile kwakuwa ni msuli
Uuume unaopinda kwenda chini hilo ni tatizo la erection yani ni Dalili za uhanithi na pia sababu nyingine ni kupenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile
Normal erection ni nyuzi 45• 👆 yani ngoma Kama inaangalia juu, na hii inafuata maumbile ya utupu wa mwanamke

Navojua mimi inatakiwa kuerect 115° kama sio 105°, kama angle ya askari anayotakiwa kutizama anapokua kasimama mguu sawa.
 
Inaonekana Alikuwa ANAPUMULIWA Mno Na Wanaume Wenzake Huku Wakiwa Wanaushika UUME Wake Na Kuuvutia Kama Siyo Kuukunjia Kuelekea Chini. Na Dawa Ya Tatizo Lake La Kusumbuka Wakati Anafanya Sexy Ni Kuhakikisha Anampata Mtu Wa Kumbusti Kwa Kumpiga NDOLE Walau Mara Moja Tu Wakati Anafanya Kitendo Cha Ndoa / Ngono.
Wewe si unasali kwa yule sista du white wa mbezi beach!.
 
Hiyo ni normal tu brother, tatizo la humu kuna watu wanafikir kutumia mata.k.o kama hao wanaotoa ushauri wa kiseng*. Uume una erect angle yeyote inategemea na maumbile, kuna mengne yanaelekea juu, mengine kulia mengne kushoto na mengne yanatizama chini kama wako. Enjoy your uniqueness brother.
 
Hahaha sawa mkuu asante
 
Inaonekana Alikuwa ANAPUMULIWA Mno Na Wanaume Wenzake Huku Wakiwa Wanaushika UUME Wake Na Kuuvutia Kama Siyo Kuukunjia Kuelekea Chini. Na Dawa Ya Tatizo Lake La Kusumbuka Wakati Anafanya Sexy Ni Kuhakikisha Anampata Mtu Wa Kumbusti Kwa Kumpiga NDOLE Walau Mara Moja Tu Wakati Anafanya Kitendo Cha Ndoa / Ngono.

Ndiyo maujuzi mnayopata kutoka kwa yule nabii?
 
Hiyo ni normal tu brother, tatizo la humu kuna watu wanafikir kutumia mata.k.o kama hao wanaotoa ushauri wa kiseng*. Uume una erect angle yeyote inategemea na maumbile, kuna mengne yanaelekea juu, mengine kulia mengne kushoto na mengne yanatizama chini kama wako. Enjoy your uniqueness brother.
Koromeo nakuapia hujui Unachoongea.....kama yako ingekuwa erection ni 45upwards nina hakika usingeporomosha hizi kashfa na matusi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom