naombeni mnishauli dawa kiuno kinaniuma sana nimenunua dawa ya kuturiza aina ya DICLOPAR kunamtu kanieleza kua nisizimeze zinamazala kwa afya ya binadam je nikweli nakama nikweri nitumie dawa gani??????????????????
mkuu hebu elekeza hiyo dawa hapo kama hutojali!Unaamini ktk tiba za asili? Ntakuelekeza Dawa upone milele kiuno na mgongo wako.
Sorry nilipost kabla sijamaliza...chemsha maji yawe ya moto then paka dawa yako.tafuta taulo liloweke kwa hayo maji lilalie wakati umekunja miguu kama 45 degrees kaa hivyo kwa 5-10 minutes rudia kama mara mbili.do that exercise kila siku kama utaweza kwa mwezi mzima ukiwa umepumzika nyumbani(i did it for 2 weeks) it worked.kwanza siku hiyo hiyo nilipofanya treatment hiyo nilijisikia nimepona...try it