Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,941
- 6,856
- JF kwa ma-professor, bwana eti ushahidi wa Mengi kule juu ni wa kitoto, that is wasup!
FMES!
Kumbe umenistukia kuwa mimi ni Profesa! Thanks but no thanks. Huko simo.
Soma, uelewe. nimesema maswali yaliyoulizwa ni ya kitoto na si ushahidi. Halafu ili kukurahisishia, nimeainisha maswali hayo! Sasa wewe kwa vile umeshindwa kujibu hoja yangu unadumbukiza masuala ambayo hata sikuyazungumzia! Ambayo, hata hivyo nayo naona ni ya kitoto!
Amandla.......