Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

INVISSIBLE HESHIMA YAKO MKUU AND THANKS FOR GOOD WORK.
Wana Jamii nimsoma Nyaraka za Mzee Mengi/Ngalo na maelezo yake yote,nitaweka hapa annalysis ya malipo alofanya ukizipitia document zake utaona kuwa MENGI hajalipa madeni ya ya import support za ACHIMWENDU, zingine hajalipa na ktk statement yake alosoma Ngalo amethibitisha kauli ya RA kuwa mengi hupoteza ushahidi ninanukuu( NBC IMESHINDWA KESI KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTOSHA WA MADENI YA ACHIMWENDU) hiyo ni sehemu ya statement ya Ngalo.

Total amount ya Achimwendu ktk Import support ni zaidi ya Billioni 97,alicholipa ni 173m only,na amekiri kuwa kesi wameshinda kwa kuwa ushahidi haukuonekana na hapa wana proove kauli ya RA kuwa MENGI bingwa wa kupoteza ushahidi.

Ukisoma document ya Ngalo mengi anakana kufilisika lakini DALILI moja wapo ya kampuni kufilisika ni pale ambapo mishahara ya wafanyakazi huanza kulipwa baada ya siku 30 za kazi,Mfano nikiwa naandika muda huu wafanya kazi wa NIPASHE,GUARDIAN(IPP) hawajalipwa mishaharaya mwezi ulopita,nimefanya uchunguzi wangu mishahara huanza kulipwa kuanzia tarehe 5 mpaka 10 ya following month means baada ya siku 35 mpaka 40.Ngalo amesema si kweli wamefilisika lakini hii ni indication moja wapo.

Ukiangalia document alotumia Ngalo kuonyesha kuwa wamekuwa cleared na IMPORT SUPPORT hainyeshi kuwa walo kuwa cleared ni achimwendu bali ni ITV na BODYCARE hoja RA ni kuwa mengi amekopa IMPORT SUPPORT through ACHIMWENDU na ameingia mtini kilichothibitisha ni kauli ya NGalo kuwa wameshinda kesi bcs ushahidi likosekana ingawa serekali imekata rufaaa,but also ukiangalia document za malipo walicholipa its only 173m.

Ngalo ameleta ushahidi wa Mengi kujitoa NICO as Member,lakini ukisoma barua yake yenye page mbili utaona para ya mwisho mengi anakiri kuwa uwekezaji haukuwa na Tatizo (may i cliriefy my action is not in any way suggesting that the investement was wrong value wise)kwa kauli hii mengi amekubali kuwa umekezaji wa NICO ktk INTERCHEM hauna tatizo means amekiri kuwa kuwekeza ktkt kampuni ilokuwa inakufa sh 2.5bn za kitanzania haikuwwa dhambi na anataka watu waelewe kuwa si kosa kuingiza hela za watu huko na kutuonyesha barua kua ameamu kujiuzulu kwa hilo.

Wana Jamii RA aejibu kuwa hahusiki na kwa mantiki anaetuhumu ndie anaetakiwa kuthibitisha tuhuma zake RA amekanusha mengi athibitishe tuhuma zake dhidi ya RA,pili RA amemtuhumu mengi an ametowa uthibitisho wake na kuahidi kuupeleka kwenye viombo vya sheria.

Nimejaribu kuangalia utetezi wa Ngalo umenionyesha kuwa ngalo ametekelza wajibu wake na ana kila sababu ya kukimbia maswali,

Invissible tuwekee document za mengi alizotumia kuthibtisha kuwa amelipa ili tuweze kufanya uchambuzi

UDUMU MZEE
 
Nani kakuuliza uko wapi na unafanya nini?
Yawezekana uko barabara ya nyerere!

Mwache dogo alonge si unajua wengine hawajawahi kupasua mawimbi..hivyo kwao imekuwa kama sala zake zimesikika..mwache ajinafasi.
 
now we are getting somewhere

walau hawa waliopo nje ya Tanzania wanaotusumbua watatulia kutazama hizi video
 
Naona rostam kawarushia dongo wahindi wa upanga!! na yeye mbaguzi au...'eti sijatokea kwenye mafleti ya upanga'!!! hahahaha..the guy got a sense of humour...ahhaha
 
shukran bwana INVISIBLE.... a
Acha waenedelee kulumbana fisadi papa na fisadi nyangumi... kwetu ni afueni tutapata mengi kutoka kwao... tuache ushabiki hao wote ni mafisadi... tupe vitu INVISIBLE...
 
wakazilamba na kummaliza mwenyewe Kiaina!

Rwabugiri,hapo nilipobold nimecheka sina mbavu,najiuliza,hilo book aliloonyesha atalipeleka kwenye vyombo husika kwa uchunguzi sijui kaliweka wapi sasa? Jamaa wamemwonyesha na wao ni Making maker wakipewa chance,kulamba mshiko na kupewa documents casa tupu!
 
waheshmiwa wote ninadhani wazima,mimi nimekua nikisoma sana Jamii Forum,lakini sasa hivi inabidi nijiunge kuchangia...
1. Watanzania hawana uzalendo kabisa compare na jirani zetu Kenya au Uganda hawezi kuacha mwafrika mwenzao achezewe hivi na watu ambao this is second home to them. Mengi hana sehemu nyingine ya kwenda, kila siku anaona watanzania enzake wanavyoteseka na ndiyo maana amekua kinara kutoa misaada kwa watanzania wenye uwezo mdogo.

2. Hawa akina Rostam Aziz lini walishatoa msaada kwa wantazania wenzao, makumbuka Miss Tanzania 2007 alikuwa mhindi kutokana nainfulence ya Tanil,this guys they dont care less about Tanzania neither wananchi wa Tanzania.

3. Mzee wetu Mengi kakopa benki, mafisadi papa wameiba hela zetu lazima tutofautishe jamani,hawa jamaa wasibadilishe agenda.. kama wanataka tuongelee mikopo ya benki watanzania watawachoma moto... lets stick to main topic sababu kukopa ni haki na ndiyo endelevu for successfull businessman
 
Anche Mwendu allegation
Responding to Rostam's allegations that Anche Mwendu defaulted on a 5bn/- debt obtained from National Bank of Commerce Limited, Ngalo said the bank only provided a letter of guarantee facility to enable the company to import a flask manufacturing plant from an Indian firm, JG Vaccum Flasks Limited.

''The Indian company supplied Anche Mwendu with a different plant - not that used for manufacturing flasks as required. NBC demanded repayment of the debt, but no cash was ever paid, so we went to court where a judge dismissed the case,'' Ngalo said.

He said High Court judge Thomas Mihayo's 1993 verdict dismissing NBC's loan demand to Anche Mwendu for failing to prove that the money was actually paid out, had never been overturned and thus remains valid.
 
Last edited:
waheshmiwa wote ninadhani wazima,mimi nimekua nikisoma sana Jamii Forum,lakini sasa hivi inabidi nijiunge kuchangia...
1. Watanzania hawana uzalendo kabisa compare na jirani zetu Kenya au Uganda hawezi kuacha mwafrika mwenzao achezewe hivi na watu ambao this is second home to them. Mengi hana sehemu nyingine ya kwenda, kila siku anaona watanzania enzake wanavyoteseka na ndiyo maana amekua kinara kutoa misaada kwa watanzania wenye uwezo mdogo.

2. Hawa akina Rostam Aziz lini walishatoa msaada kwa wantazania wenzao, makumbuka Miss Tanzania 2007 alikuwa mhindi kutokana nainfulence ya Tanil,this guys they dont care less about Tanzania neither wananchi wa Tanzania.

3. Mzee wetu Mengi kakopa benki, mafisadi papa wameiba hela zetu lazima tutofautishe jamani,hawa jamaa wasibadilishe agenda.. kama wanataka tuongelee mikopo ya benki watanzania watawachoma moto... lets stick to main topic sababu kukopa ni haki na ndiyo endelevu for successfull businessman

KUKOPA THEN UKALIPA UNAKUWA MZALENDO BUT UNAKOPA THEN UNAPOTEZA USHAHIDI KUKWEPA KULIP NA KUIPA SEREKALI MZIGO WA MADENI HUO NI UZALENDO AU?NAKUSHANGAA UNASHANGILIA MISAADA YA MENGI HUONI KUWA 28bn ZA NBC TANGU ATOWE MISAADA HAZIJAFIKA HATA 10% YA FEDHA ALIZOWADHULUMU WATANZANIA?AU MZEE WEWE UKIBIWA MBUZI APEWA ZAWADI YA KIFARANGA CHA KUKU UNARIDHIKA?
 
heko Mengi umeonnyesha wwe ni mtu wa mfano upi ktk jamii ya leo. haiwezekani ukakana tuhuma bila ya nyalaka zinazokuhusu kuonekana kwa watu. Ni sawa na kukana jinsia yako! RA tunategemea utatumia wanasheria wako kuleta mambo yako peupe kama alivyofanya mwenzio Mengi. Haya pande liko kwako Rostam ,we need to hear just any thing!!!!!
 
Sikutegemea kabisa kuwa baada ya maelezo ya Mh. Mengi kupitia wakili wake Ngalo, bado tungekuwa hatuwezi kuchambua mchele ni upi na chuya ni zipi!

Inv katuwekeni almost kila kitu hapa, please pitia pole pole majibu yale na then uyamechishe na tuhuma za RA uone kama kuna kukubaliana au bado kuna hoja haikujibiwa, then tuchangie!
 
KUKOPA THEN UKALIPA UNAKUWA MZALENDO BUT UNAKOPA THEN UNAPOTEZA USHAHIDI KUKWEPA KULIP NA KUIPA SEREKALI MZIGO WA MADENI HUO NI UZALENDO AU?

Duh hapa kazi ipo?

Hivi mimi nikikopa kwako, anayetakiwa haswa kutunza kumbukumbu za mkopo huo ni nani? ni mimi au wewe?

Ninavyofahamu mimi, taasisi yoyote inayokukopesha pesa inatakiwa kutunza kumbukumbu sahihi za mikopo ya wadaiwa wao! Mkuu sikuelewi kabisa kusema, eti Mengi kapoteza ushahidi.....! Labda sielewi aina ya ushanidi hapa, vinginevyo uzembe upo kwa wakopeshaji sio mkopaja mjomba!

Notwithstanding my comments above, haya mambo yameamuliwa Mahakamani chombo ambacho tunaamini ndiyo mlinzi na mtoaji wa haki, serikali imekata rufaa....subiri basi rufaa hiyo ishughulikiwe pengine uamuzi uliopo utabatilishwa mkuu, but for now huo ndo msimamo wa Mahakama bro!
 
Mkuu Invisible,

I LOVE YOU......

Tehe Tehe,,,,Yani umetafuta kibutton cha 'I luv U' ukakikosa ikabidi useme kabisa.Maadamu kuna kibutton cha Thanks, itabidi mkuu afikirie kuweka cha I Love You,,,,teh teh
 
Mengi kapresent evidence against is allegation, Rostom anasema Mwakyembe ame clear issue ya richmond wakati hakutokea kwenye kamati.

- watanzania tunaogopa kuongelea awa jamaa sababu tutaitwa wabaguzi wa rangi! can an Tanzanian go to India au Irana afanye wanchofanya hawa jamaa?jusk ask yourself, why Tanzanian tunamalizana wenyewe kwa wenyewe

- Tido TBC anampa platform Rostam kumbonda mtanzania mwenzako? why?

- Did anybody watch TBC news jana usiku they did not care less about Mengi side of story..very very sad

- Can imagine Mengi leo asingekuwa na vyombo vya habari wangemmaliza kabisa.

- Mengi you will remain and still number one hero kwa watanzania wanyonge.

Gobless Mengi.. Godbless Tanzania
 
Back
Top Bottom