Mchaichai (Lemon Grass) na faida zake kwa matumizi ya mwanadamu

Mchaichai huongeza uwezo wa kumbukumbu kwa wale wanaopoteza kumbukumbu

Kwa mfano wanasema watu wa tiba, masufulia ya aluminium tunapochemshia maji yawe ya kupikia au kunywa huwa kuna madini yanatoka na haya huchangia watu kupoteza kumbukumbu na tiba ni Mchaichai

Ukitaka liona hili, chemsha maji kwa sufuria hizo, kisha weka katika chombo itaona baada ya kutulia juu kama utando wenye mng'ao hivi

Hili nalishuhudia nilimsikia Dr Isaac Ndodi
 
Wengine wanaoshea mpk papuchiii wanadai inatakatisha na kufanya inateee sijui ibanee... Mimi hili sijui nalo nimemsikia mama wa kiswahilii mtaani kwetuu
 
Wengine wanaoshea mpk papuchiii wanadai inatakatisha na kufanya inateee sijui ibanee... Mimi hili sijui nalo nimemsikia mama wa kiswahilii mtaani kwetuu
Wewe binafsi unaufahamu mchaichai?? Sip utani kuusigulia kwenye ngozi ya kawaida licha ya huko! Labda kama anachemshia kwenye maji ndo aoshee au autwange ndo ayaweke maji then achuje.
 
FAIDA MPYA YA MMEA WA MCHAICHAI....jpg

FAIDA MPYA YA MMEA WA MCHAICHAI....

Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea
ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu hawata sogea nyumbani kwako utakuwa umewaweza Mbu wana uchukia huo Mmea wa Mchaichai. Haya nimewapeni Dawa ya bure hiyo kazi kwenu.


FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA TIBA NA CHAKULA

Faida za mchachai zipo nyingi sana wengi wetu hudhani mchaichai ni kuongo cha kuweka kwenye chai pekee, au ni dawa kwa ajili ya kuua mbu pekee, ila mchaichai huwa na faida lukuki zaidi ya hizo tu. Naomba uweze kusoma makala haya ili uone faida nyinginezo za mchaichai.

Zifuatazo ni faida za kutumia mchaichai kiafya.

1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani.
Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha
sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wa kuua seli zinaweza kusababisha saratani.

2. Hutibu magonjwa ya kuhara.
Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo kujaa gesi.

Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini Katika matibabu, unatibu magonjwa mengi ikiwemo kushusha joto, hasa kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na malaria kali.

3. Husaidia kusafisha figo na mkojo.
Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali kiwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusasababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.

Figo inapokuwa safi na imara, hata kazi nyingine kama kusafisha mkojo zinafanyika kirahisi kwani mkojo unapozidi kuwa mchafu mtu hujikuta akivimba mwili na wakati mwingine kufikia hata hatua ya kupoteza maisha.

4. Hupunguza maumivu wakati wa hedhi.
Mchaichai pia huwasaidia kina mama ambao wanaumwa na tumbo kipindi cha hedhi, ambao wengi wao huchukulia kama chango.

“Unapokunywa mchaichai, unawezesha kusafisha mirija ya uzazi na hivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi,”

5. Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na kupunguza kiwango cha gesi tumboni.
Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa mara.

Unachotakiwa kufanya ni ;
Kuendelea kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.
 
Hauongezi zile nguvu pendwa ?

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mkuu Ukiona nimeweka chakula au matunda au mboga za majani faida zake. Ujuwe inayo faida ya kila kitu huwa Faida zingine sizisemi zaidi kwa kuogopa Wafanya biashara wanakuwa wanapandisha vitu bei nikitaja kitu kwa undani zaidi faida zake.

FAIDA NYINGINE YA MCHAICHAI HUONGEZA CD4
Kwa wagonjwa wa Upungufu wa Kinga za Mwili Aka (Ukimwi), mchaichai unaelezwa kuwa unasaidia kuongeza CD4 na inashauriwa kuwa ni vyema mgonjwa wa aina hiyo akapendelea kutumia zaidi mchaichai kuliko majani ya chai.


MCHAI CHAI.jpg
 
Salaam Wanajanvi,

Tupo katika mapambano na malaria, hasa kuwatokomeza mbu wanaoeneza hayo malaria.
Mwenye kujua hebu tujuze kama mchai chai (Lemon Grass) unaweza kufukuza mbu pamoja na wadudu wengine kama nzi?
Kama ni kweli hufukuza mbu (insect reppellent-citronella) , haya majani yanatumikaje ? pamoja na kwamba watu wengi wanatumia kama kinywaji moto badala ya chai.
Kama utafukuza mbu , je unapatikana sehemu gani ?



Nawakilisha
Mchai chai ninalima kama zao LA biashada shambani kwangu, waweza ni chek kama wahitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom