vicent tibaijuka
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 268
- 57
Osteoarthritis ina maana magonjwa ya viungo vya mwili kiujumla, lakini hasa hushambulia magoti na kiuno. Ni ugonjwa wa muda mrefu na kusababisha uharibifu wa cartilage articular (minofu migumu mieupe katka magoti). Ugonjwa huu umekuwa wa kawaida katika watu wengi, lakini katika nchi yetu ni vigumu kusema ni kiasi gani watu wanaathirika, kwani wengi huugua bila dalili na inapofikia hali kuwa ngumu ndo huenda mahospitalini, mabapo pia wataalm ni wachache au vitendea kazi havipo au ni duni hivyo inagua vigumu kungundulika.
Lakini njia rahisi ya kuugundua ni kupiga X-ray. Sababu kubwa za ugonjwa huu bado hazijulikani, ila ina semakana kuwa ni uzee, wanawake, magonjwa ya kurithi, matokeo ya majeraha ya zamani katika magoti, mabadiliko ya hormoni za estrojen ,unene, uzaifu wa misuli na uchovu uliokithiri hasa kwa wanamichezo, kazi ngumu, hasa za kusimama au kunyanyua vitu vizito.nk. Michezo ya kawaida, kwa kulinganisha, hakuna hatari, ni nzuri sana kwa ajili ya viungo.
Dalili na uchunguzi
Utambuzi wa ugonjwa huu hufanywa kwa kuangalia dalili na uchunguzi. Wengi hupenda angalia dalili kwani matokeo ya X-ray hayatosherezi kinaganaga, Maumivu makali yatokanayo na kuzidiwa kwa uzito katika magoti (mafano wakati wa kuismama au kutembea), ndo huwa dalili za mwanzo.
Hii hutokana na kupungua kwa misuli mieupo iliyopo katika goti, na kufanya nafasi au mwanya kati ya goti kupungua au hata kuwa inasuguana hivyo kusababisha maumivu makali .
Ukarabati:
Kwa sasa hakuna tiba kwa ajili ya osteoarthritis, lakini njia kadhaa za kupunguza dalili na kuchelewesha mchakato wa kuendela kukua kwa ugonjwa huu zaweza tumika. Hapo awali watu walitumia madawa ya kupunguza maumivu, lakini leo hii tiba ya msingi ya kufanya mazoezi, na kupunguza uzito.
Hii ni kwa kuwa imeonekana kufanya kazi vizuri zaidi ya kutumia vidonge vya kupunguza maumivu, ambayo wengi huwaletema matatizo ya tumbo kama vile vidonda vya tumbo n.k. Mazoezi hunapunguza maumivu, huboresha kazi na kuongeza ubora wa maisha katika osteoarthritis, na uchunguzi umeonyesha hakuna athari juu ya mazoezi.
Mazoezi hayapaswi kuchanganywa na aina yoyote ya shughuli za kimwili, isipokuwa ma zoezi ni vizuri yawe ya kulenga uimara wa viungo vya mwili hasa katika magoti.
Na vizuri yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ukaumia zaidi. Na mara nyingi inachukua muda wa wiki 6-8 wa mazoezi kwa uboreshaji kukuwezesha kuanza kujisikia vizuri. Maumivu yasiwe kikwazo cha kukufanya uache mazoezi bali iwe kichochezi.
Kumbumbuka mazoezi yasiwe ya nguvu kiasi cha kukufanya ushindwe tembea . mazoezi mazuri ni kuogelea, kuendesha baiskeli, au kukaa ukawa unanyonga miguu kama vile mwendesha baiskeli.
Kila la kheri.
===
ZAIDI KUHUSU TATIZO HILI SOMA:
Key points
- Osteoarthritis (OA) occurs when the cartilage inside a joint breaks down causing pain and stiffness
- People over 45 are more at risk, but younger people can be affected too
- Exercise is one of the best ways to manage osteoarthritis.
OA was once thought to be an inevitable part of ageing, a result of a lifetime of ‘wear and tear’ on joints. However it’s now understood that OA is a complex condition, and may occur as a result of many factors. The good news is that many of these factors can be prevented.
Your joints
Joints are places where your bones meet. Bones, muscles, ligaments and tendons all work together so that you can bend, twist, stretch and move about.
The ends of your bones are covered in a thin layer of cartilage. It acts like a slippery cushion absorbing shock and helping your joint move smoothly.
The joint is wrapped inside a tough capsule filled with synovial fluid. This fluid lubricates and nourishes the cartilage and other structures in the joint.
With OA, cartilage becomes brittle and breaks down. Some pieces of cartilage may even break away and float around inside the synovial fluid. Because the cartilage no longer has a smooth, even surface, the joint becomes stiff and painful to move.
Eventually the cartilage can break down so much that it no longer cushions the two bones. Your body tries to repair this damage by creating extra bone. These are bone spurs.
Bone spurs don’t always cause symptoms, but they can sometimes cause pain and restrict joint movement.
Symptoms
The symptoms of OA varies from person to person. Some of the more common symptoms include:
- joint stiffness
- joint swelling (inflammation)
- grinding, rubbing or crunching sensation (crepitus)
- joint pain
- muscle weakness.
There are many things that can increase your chances of developing OA including:
- your age – people over 45 are more at risk
- being overweight or obese
- family history of OA
- significant injury, damage or overuse of a joint.
If you’re experiencing joint pain, it’s important that you discuss your symptoms with your doctor. Getting a diagnosis as soon as possible means that treatment can start quickly. Early treatment will give you the best possible outcomes.
To diagnose your condition your doctor will:
- take your medical history – this will include finding out about your symptoms, how long you’ve had them, what makes them better or worse
- examine the affected joint/s.
Treatment
There’s no cure for OA, but it can be managed effectively using exercise, weight loss, medications, and in some cases surgery.
Exercise
Exercise is an important and effective part of any osteoarthritis management plan. Regular exercise can help reduce some of the symptoms (e.g. pain, stiffness) caused by your condition and improve your joint mobility and strength.
Cartilage doesn’t have a blood supply, so it relies on the synovial fluid moving in and out of your joints for nourishment and to remove any waste.
Exercises that involve moving your joints through their range of movement will also help maintain the flexibility that’s often lost as a result of OA.
Strengthening the muscles around your joints is also important. The stronger they are, the more they can support and protect your joints.
Exercise has many other health benefits. It can:
- ease pain and stiffness in your joints and muscles
- improve your balance and posture
- help you sleep better
- improve your mood
- help you maintain a healthy weight, or lose weight when combined with a weight loss diet
- lower stress levels
- reduce your risk of developing other chronic health issues (e.g. diabetes, heart disease).
Manage your weight
Being overweight or obese increases your risk of developing OA, and the severity of your condition. Additional weight also increases pressure on your joints, especially your weight bearing joints (e.g. hips, knees, feet), which is likely to cause further pain and joint damage.
The amount of overall fat you carry is also important because fat releases molecules that contribute to low but persistent levels of inflammation across your whole body. This in turn increases the level of inflammation in the joints affected by OA.
For these reasons, maintaining a healthy weight is important if you have OA. If you need to lose weight, your doctor or dietitian can advise you on safe weight loss strategies.
Medication
Depending on your symptoms, your doctor may recommend you take medication. They may be over-the-counter or prescription medications.
The most common types used to treat OA include:
- pain relievers (or analgesics) – e.g. paracetamol – for temporary pain relief
- non-steroidal anti-inflammatories (NSAIDs) – e.g. ibuprofen – to control inflammation and provide pain relief
- anti-inflammatory or analgesic creams and gels – may provide some temporary pain relief.
Steroid joint injections are sometimes recommended for people who still have significant pain after trying exercise, weight loss and/or other medications. However steroid injections can’t be given repeatedly and it’s recommended that you have no more than three to four injections per year in the affected joint.
Self-management
There are many things you can do to manage your OA:
Learn about your condition – knowing as much as possible about your OA means that you can make informed decisions about your healthcare and play an active role in the management of your condition.
See a physio – a physiotherapist can provide you with techniques to improve movement and reduce pain. This can include designing an individual exercise program that’s tailored to your needs, as well as offering advice on ways you can modify your daily activities.
Talk to an OT – an occupational therapist can give advice on pacing yourself and managing fatigue, as well as how to modify daily activities both at home and work to reduce strain and pain on affected joints.
Try relaxation techniques – muscle relaxation, meditation, visualisation and other techniques can help you manage pain and difficult emotions, such as anxiety, and can help you get to sleep.
Seek support – from family, friends, work colleagues and health professionals. A peer support group may be another option.
Grab a gadget – supports such as walking aids, specialised cooking utensils, ergonomic computer equipment and long-handled shoe horns can reduce joint strain. An OT can give you advice on aids and equipment to suit you.
Eat well – while there’s no specific diet for people with OA, it’s important to have a healthy, balanced diet to maintain general health and prevent weight gain and other medical problems, such as diabetes and heart disease.
Stay at work – it’s good for your health and wellbeing. Talk to your doctor or allied health professional about ways to help you stay at work or get back to work
Patella taping, knee braces and orthotics – may be useful if you have OA in your knees or feet. Seek advice from a physiotherapist or podiatrist.
Surgery
In some cases surgery may be necessary if the joint is very painful or there is a risk of losing joint function.
===
MICHANGO KUTOKA KWA WADAU
Dawa ya Maumivu ya Magoti . juici ya Bamia.
Tayarisha mabamia kama 2 mpaka 4 kwa siku , yakoshe vizuri halafu yakate slice ndogo ndogo. Yatie kwenye jagi na maji safi ambayo Unaweza kupata glass kama tatu za maji kwa muda wa saa hadi masaa mawili. baada ya hapo utapata maji mazito ya urenda uwe unakunywa mara 3 hadi nne kwa siku. tumia hii dawa kisha unipe feedBack. Au tumia Dawa hii
unapoumwa na kiungo chochote kile: Maji ya moto (sio moto sana ukajiunguza) pamoja na chumvi na taula yako ndogo kujiwekea pale panapouma ikisha ujikaushe maji na utie dawa kama mafuta ya Halzet (Olive Oil) uchanganyishe na
mafuta ya karafuu kama huna tia hata viksi au dawa zinazotumika za mafupa. kumbuka hujikandi wala hujichui kisha chukua kanga au tambara ujiwekee ili dawa ifanye kazi. Hivi unafanya unapotaka kulala na InshaAllah unaamka maumivu
yameondoka. Hivi unafanya siku 3 mpaka 7 pindi maumivu yataendelea. Pia kumbuka kwamba kukaa tu husababisha maumivu ya miguu na hata ya mwili kwa hivyo ujitahidi uwe unakwenda kwenda hata kama ndani ya nyumba nenda ukirudi ili upata mazoezi na hii ni dawa kubwa.
Au tumia hii Dawa Dawa ya viungo inaitwa makerela ambayo yamekaa kama matango lakini kama yana miba miba kwa siku unakula nusu bila kupika, maumivu yote ya viungo yanaondoka. Ni machungu lakini maumivu ya viungo yanaondoka kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu.
Haya yote husababishwa na ukosefu wa calcium kwa hivyo mwenye kujiona anaumwa sana na magoti, miguu na viungo basi ajitahidi kunywa maziwa, na kula lozi, korosho na kunywa maji kwa wingi na mwenye kuwa hana uwezo wa kupata vitu hivyo basi achemshe mchele na ukiwiva achuje anywe maji yake.
Tumia hizi dawa kisha unipe feedBack