stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,832
- 22,940
Kuna jamaa yangu amejijengea tabia ya kutumia Valium kila wiki vidonge viwili. J.tatu usiku kimoja na Ijumaa usiku kimoja. Anasema ana zaidi ya miaka kumi amekuwa akifanya hivyo. Amejaribu sana kunishawishi nitumie lakini sijakubaliana naye. Yeye anadai kuwa inasaidia sana kuondoa stress na inamuongezea confidence.
Ninachotaka kujua ni kuwa kuna ukweli wowote juu hili?
kwa anayejua please, kwani kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ni aina ya madawa ya kulevya!
Ninachotaka kujua ni kuwa kuna ukweli wowote juu hili?
kwa anayejua please, kwani kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ni aina ya madawa ya kulevya!