Mamake Zitto Kabwe atuhumiwa kwa ubadhirifu CHAWATA

Wakuu hiyo chawata kiko wapi,kigoma au bongo?

CHAWATA ni kifupisho cha Chama Cha Watu wenye ulemavu Tanzania. Makao Makuu yapo DSM na wana matawi mikoani sina uhakika kama ni mikoa yote.

Mama yake zito ni Mwenyekiti wa Taifa(kama kumbu kumbu zangu ni sahihi) wa chama hicho na anaishi Dar.
 
Katika kile kinachoonyesha chukua chako mapema
waasisi wa chama cha walemavu chawata wameamua kuuvunja upongozi uliopo ukiongozwa na mamake mh zitto kabwe
kwa saababu za ubadhirifu;habari zaidi zinasema waasisi wamesema mama huo amekuwa akiongea na wafadhili mbalimbali
na mwisho wa siku kuweka wanae kwenye lista ya watakaosimamia misaada na mbaya zaidikupitisha misaada ya chama kupitia
account zake binafsi

hata hivyo kiongozi huyo ameulizwa kwa nini wameamua kumtema uongozi akadai yeye ajui hilo na anachojua bado mwenyekiti
kuhusu ubadhirifu akasema kama ameiba wamepeleke polisi
kazi ipo

Ni vizuri kutaja jina la mtu kuliko kutumia c/o wakati mwenyewe ana nafasi yake. Hizo tuhuma ni za uwongo kabisa!
 
Mkuu Piddy.

Unashidwa kutaja jina la mhusika hadi umuhusishe Zitto ndiyo uone raha.

Zitto kafanya ufisadi gani hadi ufikie kuiunganisha familia yake na ufisadi ?.

Tatizo CDM kuna makundi mawili laiti angekuwa Mama yake Lema G nina hakika ungesema wanamsingizia au wanambakia kesi hili kumkomoa mwanaye acheni unazi wa kitoto.

Mkuu Ngongo
Maneno yako makali lakini ayakaupunguza ukweli wa kukujulisha tulichosikia Redio clouds na sijasema anahusika ila anahusishwa
elewa kuhusishwa unaweza kuwa mtuhumiwa ama lah..swala la kumtaja zitto sio tatizzo huyo hata aoe wake sita mamake anabaki kuwa huyo huyo
mpendwa akuna aliekuja kuchafua watu humu ..karibu tena
 
Ni vizuri kutaja jina la mtu kuliko kutumia c/o wakati mwenyewe ana nafasi yake. Hizo tuhuma ni za uwongo kabisa!

mkuu Thibitsha sio ukweli.nandio maana tuktaaka kuleta hapa kilichoongelewa tujue ukweli wao wamethibitisha na wajumbe 5 wa chawata na wewe thibitisha
 
Katika kile kinachoonyesha chukua chako mapema
waasisi wa chama cha walemavu chawata wameamua kuuvunja upongozi uliopo ukiongozwa na mamake mh zitto kabwe
kwa saababu za ubadhirifu;habari zaidi zinasema waasisi wamesema mama huo amekuwa akiongea na wafadhili mbalimbali
na mwisho wa siku kuweka wanae kwenye lista ya watakaosimamia misaada na mbaya zaidikupitisha misaada ya chama kupitia
account zake binafsi

hata hivyo kiongozi huyo ameulizwa kwa nini wameamua kumtema uongozi akadai yeye ajui hilo na anachojua bado mwenyekiti
kuhusu ubadhirifu akasema kama ameiba wamepeleke polisi
kazi ipo
Mtoto wa nyoka ni nyoka
 
So zittto ni ukoo wa panya , akazikwe pembeni ya mamake pia

USSR
 
Back
Top Bottom