Malawi’s Joyce Banda to sell off presidential jet and luxury fleet

Miela

Member
Jan 29, 2012
19
1
Malawi’s new president, Joyce Banda, has dumped her predecessor’s presidential jet and fleet of luxury cars, in yet another move that sets Banda apart from the nation’s past administration.
Serikali yetu inapata somo hapa?​
 
Huyu mama mshamba tu!!! Mimi sio Rais lakini naelewa kwa nini Marais wanatakiwa kuwa na Ndege, ziko safari nyingi za ghafla ambazo haziendani na safari za ndege za Abiria sasa hapo... sijui mama atalazimika ku-kodi ambayo itakuwa expensive sana.... lakini pili uuzaji wa ndege wa namna hiyo itauzwa kwa bei chee sana... pole wa-Malawi.
 
kwani kasema amekataa usafiri wa ndege au kwamba hakuna ndege nyingine? hivi karibuni umeona Rais Kikwete akitumia Gulfstream kwenda wapi?
 
wapendwa,

tunahitaji value for money na sio "money for value" decisions! kwenye serikali!!

mbarikiwe sana,

Glory to God!
 
Mbona PM Bandaranaike alikuwa anakuja bongo na commercial airline, akikaa economy class at that. Watu walipomuuliza kwa kushangaa akawaambia look here, I may be PM, but I am PM of Sri Lanka, a very poor nation, we need to preserve every cent we could.

Tofauti ya msafara wa PM kukaa first class na economy class pengine kwao washaweza kujenga kizahanati vijijini huko.

Midege/ migari mingi ni ushamba na ubwanyenye tu.
 
This is a repeat someone posted same article yesterday; i believe our mods are busy
 
Back
Top Bottom