Malawi’s Banda courts Tanzania President on disputed lake

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Malawi President Joyce Banda leaves the country on Wednesday for Maputo, Mozambique for a SADC summit but Nyasa Times understands that she is also due to hold talks with Tanzania’s President Jakaya Mrisho Kikwete on the disputed border in Lake Malawi.
But Malawi Foreign Affairs Minister, Empraim Mganda Chiume, said the country will not halt exploration activities even in the face of war threats from Tanzania, saying the entire lake belongs to Malawi.

Source: Nyasa Times August 14,2012
 
Mbona hizi habari zinatuchanganya! Magazeti ya leo hii hapa Tz yanasema shughuli za utafiti zimesitishwa, na hapa waziri wa Malawi asema wanaendelea. Which is which?
 
395998_330303763724875_590473348_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mbona hizi habari zinatuchanganya! Magazeti ya leo hii hapa Tz yanasema shughuli za utafiti zimesitishwa, na hapa waziri wa Malawi asema wanaendelea. Which is which?

utafiti ni neno pana. Mwandishi wa Tanzania hawezi kujua kama utafiti unaendelea au lah, anachoweza kujua ni kwamba hakuna onsite research activities. Kukiwa hakuna onsite activities haimaanishi utafiti umesimamishwa.
 
Hao Nyasa Times hawawezi kupata wasomaji bila kutaja huu mgogoro.
 
Nasikia JWTZ ilifanya majaribio ya silaha zake katika kambi moja maenneo ya Dar -Kiluvya majuzi usiku wa kuamkia tarehe 11
 
Back
Top Bottom