Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

Wanacho beza watu sio ukomandoo wao, ila hiyo shoo kuamisha watu ndio umahiri wao.

Na hasa inapotumika nguvu sana kuaminishwa hivyo.nawewe unarudia udhaifu huo huo.hivi una taarifa kwamba hao unaowaita polisi wanavunja vigae, tena wanawake.fuatilia sherehe zao wakimaliza mafunzo.

Ile ni show tu,mtu yeyote anaweza fanya tena zaidi hata ya yale.wala si kipimo cha ukomandoo.na hata ni ujinga kudhani ni message kwa maadui.
Hapa tunatumia fake ID wala usikomae kunielewesha ilihali hunijui kwamba nina ujuzi gani
Let it go mkuu
Polisi hata ajifunze vipi hawezi kufikia hata robo ya mafunzo ya komando
CCP haiwezi kutoa mafunzo kama ya 92KJ
Never mkuu
 
Akipambana na Mimi patachimbika
1481378795016.jpg


Jaribu uone km utaweza....
 
Katika hali ya kawaida tu, wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa ubao kwenye ugoko na usipate madhara? Je wewe mwenzangu unaweza ukavunjiwa matofali kichwani na usipate madhara? Vipi kuhusu kulala kwenye misumali? Na je waweza vuta gari la tani 7 mkiwa wawili tu? Kama huwezi vitu vidogo kama hivyo, utawezaje kuhimili mapigano yanayohitaji uvumilivu, shuruba ustahimilivu na ukomavu wa hali ya juu katika kuhimili mazingira magumu ya adui. Tuache kukosoa hata tusiyoyajua.
View attachment 444293

View attachment 444483
Mkuu unafahamu MAZINGAOMBWE? Yale tuliofanyiwa primary school?
 
mkuu unapenda kupasua matofali sio??
by the way kozi ya ukomando sio ya kimama aisee watu wanawehukaga wengine wanafariki..
sanga sanga sio pa mchezo mkuu
Sangasanga ile morogoro, junction ya mzumbe?
 
mkuu unapenda kupasua matofali sio??
by the way kozi ya ukomando sio ya kimama aisee watu wanawehukaga wengine wanafariki..
sanga sanga sio pa mchezo mkuu

Umenikumbusha swaiba yangu yupo hapo Mza amekua kama chizi aisee ila yupo fit kinyama
 
Tatizo lao ukimpiga mmoja.wanakuja kufunga mtaa.

Miaka ya 90 na 2000 ndoilikua balaa ukimpiga mmoja mtafute pakuhamia kwa wiki mbili mfurulizo maana shughuli waliyokuwa wakiileta ilikua pevu tunamshukuru sana Jk kwa kuwadhibiti walau kidogo wakawa naheshima kwa raia
 
Watoto wetu wakifundishwa mbinu za kujihami, ukakamavu na kujilinda na adui wanaitwa magaidi!!!! hii tz ya RC bana ni hatari
 
Hapa tunatumia fake ID wala usikomae kunielewesha ilihali hunijui kwamba nina ujuzi gani
Let it go mkuu
Polisi hata ajifunze vipi hawezi kufikia hata robo ya mafunzo ya komando
CCP haiwezi kutoa mafunzo kama ya 92KJ
Never mkuu

Wala siko kukulazimisha.lengo uelewe kwamba hatuwezi jigamba tuna wakomandoo hodari kwa kuvunja vitofari uchwara.ile ni show ambayo hata polisi wa kike wanaifanya wakiwa katika sherehe za kumaliza mafunzo.

halafu mbona unaenda mbali???, kwani nani kasema wanajifunza ya 92 kj.sanga sanga kunaweza kuwa na kasheshe ila kama ndio hii iliyoonyeshwa jana, acheni watu walete dharau.
 
Katika vitu vyote vilivyofanywa na makondoo wale walovuta gari me ndo nmewakubalii lakn vingnee hyoo adui atakaye kuwa anapiga fimbo mgongon aache kichwaa au apige pajaa aache sehemu nyeti tutamjua siku ikifikaa
 
Back
Top Bottom