Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Kama kawaida yake serikali ya CCM huwa haithamini wataalamu na badala yake wanafikiria nchi itaendelela kwa siasa na maneno mengi ya uwongo. Profesa Mwesiga Baregu ambaya amekuwa mhadhiri mwandamizi pale UDSM kwa muda mrefu na alipostaafu amekuwa akifanya kazi pale kwa mkataba.Inavyo onekana kwa sababu yeye ni mwanachama wa CHADEMA basi CCM kwa kushirikiana na serikali na uongozi wa UDSM wameamua kutompatia mkataba mpya na hii ni kwa sababu ya msimamo wake mkali dhidi ya uzembe unaofanywa na serikali iliyopo madarakani.

Napenda niseme tu kwamba bila kuthamini wataalamu na kukubali kukosolwa maendeleo hakuna. Hili liko wazi kwa sababu miaka zaidi ya 40 CCM imeendekeza siasa na uwongo ktk kuendesha nchi ndiyo maana wananchi wake bado ni maskini wa kutupwa na wajinga (hawana elimu).

Sote tunajua kuwa UDSM inakabiliwa na uhaba wa wahadhiri wandamizi, leo mnamyima mkataba profesa Baregu ambaye ni tegemeo kubwa ktk fani ya sayansi ya jamii nani ataziba pengo lake? hapo ndo tutamkumbuka prof. Luhanga ambaye alikuwa hatumii siasa kuendesha UDSM.

Prof. Baregu karibu jiunge hapa SAUT na uendelee kuwapiga bakora tu hao CCM wamefulia.

Ndiyo maana Rwanda wametuacha kwa sababu Kagame anawatumia sana wataalamu waliotoka hapa Tanzania lakini CCM inaona taabu ikikosolewa na wasomi wake.
 
Vyuo vingi tu na ma research mengi hatakufa njaa wala kipaji hakitaachwa kife bure!!!!!
 
Kakwambia wamemnyima kumuongezea? Acha uzushi wewe?, unataka aje SAUt kufundisha vilaza sio? huko hata dicvision 4 ya mwisho mtu anaku8a dmited...SUA is pathetic pamoja na Open...naomba kuwasilisha hoja.
 
chuo udsm ni cha ccm....basi ndio maana viongozi wengi ni mafisadi waliosoma udsm....hakuna elimu bora wala wahadhiri bora pale udsm....bora prof b...uende chuo chochote cha binafsi viko vingi wewe tu...
wasome wengi wazuri tz ni waoga na hawapendi nchi yao.....tumeona wazi...kesho nitawataja wote kwa majina.....
 
Kwani kasoma wapi Baregu?
 
Kwani kasoma wapi Baregu?
Embu muuliza,hahahahaha..love that one.

afu anadai eti vyuo vya binsafsi ndo vinaubora, sasa sijui anamaana ni Tumani, SAUT au Muslim university?
hahahahahahahahaa
 
Kakwambia wamemnyima kumuongezea? Acha uzushi wewe?, unataka aje SAUt kufundisha vilaza sio? huko hata dicvision 4 ya mwisho mtu anaku8a dmited...SUA is pathetic pamoja na Open...naomba kuwasilisha hoja.

Semenya, hebu rejea post yako halafu uone kama ndivyo ulivyotaka iwe, haieleweki
 
chuo udsm ni cha ccm....basi ndio maana viongozi wengi ni mafisadi waliosoma udsm....hakuna elimu bora wala wahadhiri bora pale udsm....bora prof b...uende chuo chochote cha binafsi viko vingi wewe tu...
wasome wengi wazuri tz ni waoga na hawapendi nchi yao.....tumeona wazi...kesho nitawataja wote kwa majina.....

Kitila mkombo anafanya kazi wapi?
 
Kuna mmoja SUA anaitwa Prof.mlambiti.naye alipojiunga na NCCR ya mrema na kugombea ubunge akiwa likizo. CCM ilimwambia VC amfute kazi.Ila ilishindikana kwa sababu tu hakukwepo mtaala wa rural economy enzi hizo.Kwahiyo huenda siasa ndo sababu zilizopelekea huyu balegu kutoongezewa mkataba.
 
sio ishu kama Udsm wanaona wametosheka poa.Mzee aingie kwenye sehemu zingine kupiga lecture kwani anahitajika muda wowote nasehemu yoyote panapohitajika maendeleo.
thanks
 
It is a new story to hear this. Kwani yeye si alikuwa anaundisha hapo na kaenda sebatical leave? Akirudi nyumbani mtu aliyekwenda kuongeza uzoefnchi za mbali anakataliwaje kupewa kiti chake?
Siasa au?
 
Embu muuliza,hahahahaha..love that one.

afu anadai eti vyuo vya binsafsi ndo vinaubora, sasa sijui anamaana ni Tumani, SAUT au Muslim university?
hahahahahahahahaa

Acheni ushamba,chuo cha ushirika moshi ndio kila kitu........
 
Ndio hapa tatizo la mawazo mgando yanaanza na pia hii ni hasara sana katika jamii yetu na hata viongozi wetu
 
Kama ni wakali kwa taaluma zao si waende nje....
Kuhusu rwanda,hao watanzania wanaothaminiwa huku.wakifika huko
hawajihusishi na siasa za huko,wakijihusisha watatimuliwa pia,
 
Back
Top Bottom