Kulipa madeni ya bodi ya mikopo baada ya miezi 2

astefaith

Member
Nov 7, 2013
60
27
Habari za jioni wana bodi.

Nimefatilia taarifa ya habari Leo ITV na moja wapo ilikua ni juu ya kurejesha madeni wanafunzi wote waliokopeshwa na Bodi ya mikopo,kilichonihuzunisha ni hii sheria inayosema baada ya miezi 12 wadaiwa walipe mikopo yao? La siivyo watashtakiwa
Swali langu ni hili
1.je sheria imezingatia wale ambao hawakupata ajira hata baada ya miaka 7 baada ya kuhitimu
2.naomba ambae anaifahamu hii sheria aiweke mezani nipate maarifa anisaidie
 
Mbona hiyo sheria ilikuwepo siku nyingi tu?

Utekelezaji umeanza awamu hii....
 
Back
Top Bottom