Kilimanjaro queens yalalamikia kuzungushwa posho zao ...Aibu kubwa Sana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kiukweli keshoo ntakutana naoo baadhi NA ntawaunganisha NA AMA katibu AMA naibu wa HII wizara ujinga atutaki tena...

Washindi wa kombe la cecafa wanawake Kilimanjaro queens pamoja NA ushindi wanaendelea kusotea posho zao walizoahidiwa

Wakiongea kwamasikitiko wanasema capt amekwensa tff kaambiwa aende airtell kafika AIRTEL kaambiwa pesa zishatoka ziko.tff kufika Kule walioambiwa nao wanawazungusha.....

Inasikitisha sana kama.MH Waziri utalikalia kimya hili jambooo ushindi kama huu pengine atakuja kuoona.uzao wako wa NNE....

Tuwathamini NA kuwapenda...

Tunashauri Pesa zao za ushindi wapewe cash on tym..kumekuwa NA shida sana zamalipo hasa hizitimu wanaposhindà...ukweli hali kama HII tumezoea hukonyuma MH WAZIRI Lazima uibadilishe.mwekahazina asionekana n Mungu kwa wachezaji wetu kamwe....

Ndioomaana mnakumbuka.issue.moja Nigeria mchezaji wetu alitaka chake mapema kabla yakuingia dar nakuapa kulianzisha...n kukimbia mambokama Hays....

Polenisana Sophia &company
 
Huyu Malinzi hawezi wapa posho hawa madada!Yy anachojua ni kupiga deal tu
 
Inaumizaa Sana'a hataleoo vipindivya michezo wamwlalamika wameambiwa waende jnne loh acheniupuuzi sikunyingine gomeni
 
Nimeshtukaa wanadai toka za kujiandaa NA Zimbabwe Leo wanakombe watapewa

Namgao wa kombeukoje
 
nahisi i huu mfumo moya wa malipo kupitia airtell mara nyingi unasumbua kidogo ila ninaona kama wameshatumiwa pesa zao
 
Back
Top Bottom