Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla hujamuiga tembo kunya boga bora uyajue haya kwanza.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Feb 23, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,334
  Likes Received: 2,410
  Trophy Points: 280
  Kabla hujamuiga tembo kunya boga bora uyajue haya kwanza.

  [​IMG]  1. Tembo ndie mnyama mkubwa kuliko wote duniani. Hata hivyo, pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa, miguu yake kwa chini ni kama ina sponge, na pia hapendi kelele.
  1. Tembo ana ukubwa wa tani 7 na hula mizizi, majani, matunda na magamba ya miti. Tembo pia hunusa harufu ya maji umbali wa meli 3.
  1. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 hadi 70.
  1. Mkonga wa Tembo hutumika kwa shughuli nyingi, ikiwemo kuvutia pumzi na kunusia (pua), kulia, kuchotea maji ya kunywa, kukata matawi ya miti, kupigania,
  2. kuchimbia, kupapasana, na hata kujirushia maji na mavumbi kwa ajili ya kuhifadhi ngozi yake na maradhi na wadudu (mkono).
  1. Pembe yake moja inaweza kukaribia kilo 100 na urefu wa zaidi ya nchi 130. Pia jino lake moja linakaribia uzito wa kilo 20.
  1. Tembo anatumia masaa 16 kwa siku kwa kula tu, na kinyesi chake kwa siku kinafika kilo 150.
  1. Tembo huwa hasahau, chochote/yeyote alichowahi/aliyewahi kukiona/kumuona maishani mwake basi huwa anakikumbuka/anamkumbuka mara tu akikiona/akimuona
  1. Tembo huwa wanalia, kuhuzunika, hufurahi na kucheka pia. Vile vile wana huruma kiasi kwamba mtoto anapolia basi wote hukusanyana na kumbembeleza. Pia wanaomboleza pale mmoja wao anapofariki.
  1. Tembo ana uwezo wakuogelea masafa marefu.
  1. Tembo jike hubeba mimba miaka 2.
  1. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 hadi 120
  1. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
  1. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi unaweza kuhisi kama vile ana miguu mitatukwa nyuma.
  1. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12, masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza.
  1. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
  1. Tembo dume "akifunga goli / akipiga bao" manii yake yanafika ujazo wa lita tano.
   
 2. eddiom

  eddiom Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wow...!!!!
  Maelezo muruwa, ahsante sana kwa info, najuwa wengi hawajui haya...
  Pia nasikia ukitaka kuwakimbiza Tembo karibu ya Mji au Shamba wewe choma pilipili, basi watakereka sana katika mapua yao na wataondoka pale..
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kweli hii research...
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mengine ya kuchapia.................. mfano urefu wa nchi 130 kwa penbe......................m hapo sio kweli............... halafu tembo hawezi kuswaga wanawake................... anaweza kupanda majike ya tembo tu................ hakuna mwanamke duniani anayewezxa kumhimili tembo.................. tumezoea kusikia majibwa ya wazungu tu yakipewa uroda na wanawake ila sio tembo.....................
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,090
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hivi Tembo nao wanafanya mapenzi???????????????
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27,422
  Likes Received: 2,834
  Trophy Points: 280
  Uliza swali.........
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,075
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mnyama *mkubwa kuliko wote ni nyangumi,kafunue vitabu vya biology kwa maelezo zaidi
   
 8. p

  pat john JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyangumi ni mnyama anayeishi baharini, na anaitwa mnyama kwa sababu hunyonyesha. Ni katika kundi la "mammals". Tembo yupo kundi hilo yeye huishi nchi kavu.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,471
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Makubwa.
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Una point lkn unachanganya mambo. Nyangumi hawi mnyama kwa kuwa ananyonyesha, hata kenge na mamba na njiwa ni wanyama pia.

  Sifa ya kunyonyesha inamuweka nyangumi kwenye kundi la 'Mamalia'. Suala la unyama wake haliathiriwi na kunyonyesha au kutonyonyesha. AND Yes, mnyama mkubwa kabisa duniani ni Blue Whale wa bahari ya Atlantic. Pengine Mkuu Mzizi alimaaanisha Largest Land Animal.

  @Mkuu Mzizimkavu

  Nifanyaje maujanja gani ili nikipiga bao nimimine ujazo kama wa Tembo? Ingia maabara mkuu nakuaminia
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ahsate sana kwa research
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,875
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Du bao moja lita 5 duuuuuu hatari kweli kweli,dushelele kilo 27 eheheee,bao la kwanza dakika 360 !!!! Inye kilo 150 hafai kuigwa huyu lazima uchanike msamba!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,383
  Likes Received: 2,641
  Trophy Points: 280
  Kumbe tembo ni balaa!
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,334
  Likes Received: 2,410
  Trophy Points: 280
  Kula sana Karanga mbichi na white cheese utakuwa unatoa maujazo mengi mkuu jaribu kama wiki moja kisha kakutane na mchumba wako kimapenzi kisha utanipa Feedback.
  kuhusu Mnyama mkubwa duniani ingawa mnasema ni nyangumi mimi nimekusudia mnyama mkubwa Tembo kwa sababu anaishi nchi kavu Nyangumi je anaishi nchi kavu? mbona watu hupenda kuleta maneno ya ligi kama vile ubishani wa mpira Simba na Yanga? mbona watu wanaleta maneno ya Pumba? Mkuu
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,334
  Likes Received: 2,410
  Trophy Points: 280
  Kafunuwe wewe Yahoo na wewe lete ya kwako Thread.
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,334
  Likes Received: 2,410
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,826
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mshaanza ubishi


  QUOTE=Bumpkin Billionare;3374482]Una point lkn unachanganya mambo. Nyangumi hawi mnyama kwa kuwa ananyonyesha, hata kenge na mamba na njiwa ni wanyama pia.

  Sifa ya kunyonyesha inamuweka nyangumi kwenye kundi la 'Mamalia'. Suala la unyama wake haliathiriwi na kunyonyesha au kutonyonyesha. AND Yes, mnyama mkubwa kabisa duniani ni Blue Whale wa bahari ya Atlantic. Pengine Mkuu Mzizi alimaaanisha Largest Land Animal.

  @Mkuu Mzizimkavu

  Nifanyaje maujanja gani ili nikipiga bao nimimine ujazo kama wa Tembo? Ingia maabara mkuu nakuaminia[/QUOTE]
   
 18. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitembelea mbuga yoyote ile ya wanyama, pamoja na mambo mengine "Tour Guide" atakueleza "characteristics" za kila kiumbe hai (floral & fauna) katika mbuga husika.
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,064
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yeuwiiii afadhali mimi ni binadamu na nina uhakika hata hao wanyama wanasema afadhali mimi ni mnyama.............shaa uume wa kilo zote hizo!!!!!:tongue:
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,334
  Likes Received: 2,410
  Trophy Points: 280
  [/QUOTE]
  Kula sana Karanga mbichi na white cheese utakuwa unatoa maujazo mengi mkuu jaribu kama wiki moja kisha kakutane na mchumba wako kimapenzi kisha utanipa Feedback.
   
Loading...