Waziri John Magufuli hili la kuvunja jengo la TANESCO Ubungo tumia busara

Mkuu, asante kwa hilo somo na nimekuwekea sanksi. Lakini usitegemee Mwiba aweze kukuelewa kabisaaaaaaa

Mpaka karne hii mtu bado umelala usingizi wa pono!!! unathubutu kumwona Magufuli ana wazimu kwa yeye kuangalia mahitaji ya wtz kwa miaka 10-15 ijayo, sheria ni msumeno umejenga kwenye rd reserve, utatoka tu!!! Go Magufuli go!
 
mQUOTE=Jatropha;1685631]Kama ambavyo alitumia mabavu kuuza nyumba za Serikali, na leo hii Serikali inatumia mabilioni kuwaweka Mawaziri hotelini kutokea Desemba 2010 walipoteuliwa kwa kukosa nyumba za Serikali. Huko ndio kuwa kiongozi makini na anayewajibika ipasavyo sio? na pia ndio kuleta maendeleo?[/QUOTE]

Jatropha nadhani wewe tatizo lako ni Magufuli sio sheria,
Kuna nyumba kibao za kuwatosha mawaziri wote zilizojengwa baada ya kuuza za awali.
Tatizo baadhi ya mawaziri hawapendi kukaa kwenye hizo nyumba maana watafanana na kina yakhe tunaokaa NHC.

Otherwise hilo jengo na libomolewe tu maana Fly Over anazojenga JK zitapita wapi??
Ukijenga Fly Over inayokunja kutokea Mandela road it means itaanza kunyanyuka tokea River side huku ikiambaa kushoto ili ikadondokee Morogoro road mbele ya Ubungo Kibo. Hapo bila ubishi jengo litazuia mradi huu.

Ila Tanesco wanaweza kuiomba wizara ya ujenzi kwamba iwavumilie hadi hapo serikali mbadala wa CCM itapoingia madarakani maana bei ya simenti itapoa kidogo kuliko ilivyo sasa hivyo kushusha gharama za ujenzi wa jengo jipya. Kwani Tanesco hawajui kuwa Hoja hujibiwa kwa Hoja!!!!!!!!
 
mkuu, sina hakika kama umewahi kuiona hiyo masterplan ya dar na kama unawajua hao castodians vizuri. Kama hiyo masterplan ingekuwa inafuatwa na hao unawaita castodians, jiji hili halingekuwa jinsi tunavyoliona sasa! Forget about the master plan my friend...dar mambo ni holela holela tu!

kama nchi mabo ni holela asitokee mtu kijifanya perfect kwa kutaka kuwaumiza wengine ii ajipatie umaarufu. Kwanza hakana ulazima wowote sisi sote kupita ubungo watengeneza barabara zingine kwa kiwango cha lami foleni zitakwisha.
 
kama nchi mabo ni holela asitokee mtu kijifanya perfect kwa kutaka kuwaumiza wengine ii ajipatie umaarufu. Kwanza hakana ulazima wowote sisi sote kupita ubungo watengeneza barabara zingine kwa kiwango cha lami foleni zitakwisha.

Duh...haya bana!
 
kama nchi mabo ni holela asitokee mtu kijifanya perfect kwa kutaka kuwaumiza wengine ii ajipatie umaarufu. Kwanza hakana ulazima wowote sisi sote kupita ubungo watengeneza barabara zingine kwa kiwango cha lami foleni zitakwisha.

Tatizo lako unaangalia foleni na mahitaji ya barabara 2011 wakati wenzako wanazungumzia 2015, 2020, 2025,.........
Kwa hoja za 2011 nakusapoti lisibomolewe lakini kama ni 2020 bora libomolewa kungali mapema.


RM
 
mQUOTE=Jatropha;1685631]Kama ambavyo alitumia mabavu kuuza nyumba za Serikali, na leo hii Serikali inatumia mabilioni kuwaweka Mawaziri hotelini kutokea Desemba 2010 walipoteuliwa kwa kukosa nyumba za Serikali. Huko ndio kuwa kiongozi makini na anayewajibika ipasavyo sio? na pia ndio kuleta maendeleo?

Jatropha nadhani wewe tatizo lako ni Magufuli sio sheria,
Kuna nyumba kibao za kuwatosha mawaziri wote zilizojengwa baada ya kuuza za awali.
Tatizo baadhi ya mawaziri hawapendi kukaa kwenye hizo nyumba maana watafanana na kina yakhe tunaokaa NHC.

Otherwise hilo jengo na libomolewe tu maana Fly Over anazojenga JK zitapita wapi??
Ukijenga Fly Over inayokunja kutokea Mandela road it means itaanza kunyanyuka tokea River side huku ikiambaa kushoto ili ikadondokee Morogoro road mbele ya Ubungo Kibo. Hapo bila ubishi jengo litazuia mradi huu.

Ila Tanesco wanaweza kuiomba wizara ya ujenzi kwamba iwavumilie hadi hapo serikali mbadala wa CCM itapoingia madarakani maana bei ya simenti itapoa kidogo kuliko ilivyo sasa hivyo kushusha gharama za ujenzi wa jengo jipya. Kwani Tanesco hawajui kuwa Hoja hujibiwa kwa Hoja!!!!!!!![/QUOTE]

KAMA UMESOMA POST ZANGU NYINGI HAPO JUU NIMEONYESHA KUWA TANESCO IPO PALE KWA MIJIBU WA SHERIA PIA, KWA KUWA MASTER PLAN YA JIJI LA DAR ES SALAAM ILIYOTUNGWA KWA MUJIBU WA SHERIA INATAMBUA KUWA ROAD RESERVE NI FUTI 75 TU. TATIZO LA WATANZANIA WENGI TUNADAKA MANENO KUTOKA MIDOMOMNI MWA VIONGOZI TU NA HATUIFANYI HATA RESERCH KIDOGO KUBAINI KAMA KWELI KIONGOZI YUKO SAHIHI AU LA. KATIKA HILI MAGUFULI KAPOTOKA.

NAKUBALIAN NA WEWE KABISA KUWA KAMA IPO HAJA YA JENGIO KUONDOKA KAMA AMBAVYO PICHA ZA MAJENGO NCHINI KENYA YANAVYOONDOLEA KUPISHA BARABARA, NI LAZIMA KULIPA FIDIA.
 
tatizo lako unaangalia foleni na mahitaji ya barabara 2011 wakati wenzako wanazungumzia 2015, 2020, 2025,.........
Kwa hoja za 2011 nakusapoti lisibomolewe lakini kama ni 2020 bora libomolewa kungali mapema.


Rm

mimi naongea kwa data sio kupayuka tu, ibara ya 29 ya kanuni za sheria ya barabara namba 13 ya 2007 zilizopitishwa kwa tangazo la serikali na 21 lla tar 23 januari 2009 zinatamka kuwa road reserve ya barabara zote kuu either single or dual carriage ways ni mita 60, and thats for next century sio 2020 unayosema. Kama jengo linabomolewa ni laima kulipa fidia.
 
......., KWA KUWA MASTER PLAN YA JIJI LA DAR ES SALAAM ILIYOTUNGWA KWA MUJIBU WA SHERIA INATAMBUA KUWA ROAD RESERVE NI FUTI 75 TU. ....

Hakuna wa kupayukla hapa, hata wahalifu hutumia sheria kuonyesha si wahalifu...so twende taratibu mkuu.

Futi 75 kutoka wapi, inapoishia barabara??
Futi 75 ni sawa na mita 22.5, jengo la Tanesco liko umbali gani?????
 
Huyu jamaa anatakiwa ku focus attention yake kwenye kujenga barabara. Badala yake sasa ana focus attention yake yote kwenye kubomoa majengo ambayo yamekuwepo hapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Huu ni wenda wazimu!

Atazijenga wapi sasa hizo barabara? Azipitishe juu ya nyumba na maofisi?
 
hakuna sheria yoyote anayofuata mhe john magufuli. Sheroa ya barabara ya 1967 ilifutwa na sheria ya ardhi ya vijiji namba 5 ya 1999. Soma attachments hapa chini, anatumia mabavu tu. Bwana johnsecond anauliza kuhusu projection za barabara ya morogoro. Ilifanyika mwaka 2009 ambapo kanuni za sheria hiyo zinasema neo la hifadhi ya trunk road zote hapa nchini single and dual carriage ways ni mita 60 tu.

Kabla ya hapo sheria ya 1967 anayotumia magufuli ilifutwa na sheria ya ardhi ya vijiji namba 5 ya 1999, hivyo wananchi waliogawiwa ardhi na malaka za vijiji wana haki ya kulipwa gfidia kama magufuli nahitaji ardhi zaidi ya futi 75.
Jatropha kama sheria hizi zipo kama ulivyo onyesha basi wanasheria wa TANESCO waende mahakamani kuzuia bomoa bomoa kabla haijawafikia. Kuliko kungoja hadi hasara ya mabilion ya mifedha ipotee bure kumbe sheria zinawalinda. Labda kama mwanasheria wa TANESCO ni fisadi anafanya kazi kwa malengo ya 10% tuu hana uzalendo!!!!!
 
Strategically, kama majengo hayo yamo ndani ya eneo la barabara ni lazima yabomolewe.

Kabla ya kumwona Magufuli hana akili ni lazima wote mnaopinga uamuzi wa Magufuli kujiuliza maswali.

Hivi ni nani aliyeamuru ujenzi wa majengo haya ya mabilioni bila kukaa chini na kupanga kila kitu kikamilifu??
Master plan ionyeshayo eneo la Barabara ilichorwa mwaka gani?
Kama Master plan ilikuwepo kabla ya ujenzi wa barabara ni kwa nini Tanesco iliendelea na ujenzi katika eneo la barbara? Ni kwa nini serikali haikuizuia Tanesci kujenga akatika eneo la barbara?

Eneo la Ubungo ni Entrence na Exit kuu ya jiji la Dar, kama kwa namna yeyote ile majengo hayo yamo ndani ya eneo la barabara ni lazima yabomolewe kupisha upanuzi wowote wa barabara uiliopangwa hapo awali. Comparatively thamani ya majengo hayo ni ndogo sana ukilinganisha na hasara itakayosababishwa ya kuzuia upanuzi wa barabara.


Kama kwa akili zenu mnamuona Magufuli ni Punguani kwa kushikiria msimamo wake wa kubomoa majengo yote yaliyomo katika eneo la barabara! Mnamuonaje na mtamwita jina gani mtu aliyeng'ang'ania kujenga majengo ya thamani kubwa katika eneo la barabara?

Kulikuwa na Busara gani kujenga majengo hayo ndani yana eneo la barabara??

Ni nani aliyekuwa Waziri wa wizara husika wakati wa ujenzi huo?? Na ninani aliyekuwa Bosi wa Tanesco wakati huo??

Serikali ya CCM ilikuwa wapi na mastar plan yake wakati Tanesco wakijenga katika eneo la barabara??

Kipimo na Ujinga,Upunguani Uhuni na Utovu wa Nidhanmu Tanzania ni nini??

Magufuli ni Punguani, aliyesimama kidete kujenga katika eneo la barabara tutamwitaje??
Ulichosema ni kweli kwa nini hawa wanaosema pombe anawendawazimu mbona hawaja angalia wale viongozi ambao walikuwepo nawalio sababisha hayo yote wanawaweka wapi? Pia gharama za majengo ya tanesco ni ndogo sana avunje tu hayo majengo tu kwa hukuwa hasara ya msururu barabara ya morogoro nikubwa je, hasara wanayopata wasafiri wanaotumia hiyo njia wameingalia chukulia tu kwa siku wanachelewa kazi dk 50 kwenda na kurudi huoni huo muda wangeweza kuzalisha au kufanya kazi zingine za maendeleo kuliko kukaa barabara masaa bila sababu zozote. na angalia wasafiri wa mikoani wanavyoteseka kwa umbali mdogo tatizo barabara. TUFIKIRIE SANA KULIKO KUTOA SABABU AMBAZO NI MINUS
 
Picha ya hapo chini ni plan ya ujenzi wa makutano ya Barabara Kuu ya Morogoro na Mandela Express way Pale Ubungo.
Hayo madaraja, nguzo na ramps zitapitishwaje juu ya jengo la Tanesco kama si kubomolewa kwanza? Kama hatujui tujaribu kuwauliza wenye ujuzi na mambo ya ujenzi na survey vinginevyo tunachosha bure akili za watu.
images
images
images

Tuna vyombo vya sheria na tuna bunge ambalo muda wote ni kutathmini miundo ya sheria kwa maana kwamba sheria huenda na wakati. Ubomoaji wa Jengo la Tanesco hauepukiki kutokana na umuhimu wa ujenzi wa barabara kuu ya Morogoro kwenye makutano ya Mandela Express way kwenda na wakati.

Watu tusome ishara za nyakati badala tu ya kuibua hoja za kupinga, na manufaa ya barabara ni makubwa zaidi kwa asilimia 100 kuliko jengo la Tanesco.
 
Mpaka karne hii mtu bado umelala usingizi wa pono!!! unathubutu kumwona Magufuli ana wazimu kwa yeye kuangalia mahitaji ya wtz kwa miaka 10-15 ijayo, sheria ni msumeno umejenga kwenye rd reserve, utatoka tu!!! Go Magufuli go!

Mamaa, mbona kama umechanganya madesa? Mimi nasapoti kwamba jengo livunjwe barabara ipite
 
Nakumbuka msemo wa kikwetu usemao "...Ukimsifu mgema tembo hulitia maji...! Magufuli amesema yale majumba ya shirika la umeme yanayoleta mandhari ya aina yake hapa jijini yaliyojengwa kwa mabilioni ya shilingi ni lazima yavunjwe eti yamejengwa kwenye sehemu iliyohifadhiwa kwa ajili ya kupita barabara.

Huyu mtu kama hana wazimu atakuwa na kitu gani hivi anafikiria hela iliyotumika ni hela ya serikali, ? Au ya shirika la umeme ,akili za watu wengine zinakuwa za ajabu ajabu ,anachotaka ni kuwapa tanesco eneo jingine wajenge upya ,kwa maana kwa dau hilo hela ingine itapatikana na wajanja kupata chao.

Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Tanescobuild.jpg
Unaenda kuvunja mijumba hiyo kwenye nchi ambayo uchumi wake ni wa kubahatisha au wakuu mnataka na kutafuta njia mbadala ya kufanya ufisadi,


Haya ndo tunayaitaga mawazo mgando
 
sijaluelewa mkuu, unajaribu kusema kwamba nikitumia pesa nyingi sana kuvunja sheria inabidi sheria itupwe ili mimi nisiwe nimepata hasara kwa kuvunja kwangu sheria?

Nadhani mkuu hapo inabidi sheria ichukue mkondo wake BILA KUJALI MAKUNYANZI. PIA walioidhinisha ujenzi huo kinyume cha sheria kufikishwa ktk vyombo vya sheria.
 
Nyie mbona mnadiscuss ujinga? mnalijua lile gorofa la masaki lililobomolewa kwa kuwa kule hakukutakiwa kuwepo jengo lefu kama lile? mnajua gharama za jengo lile? Nyie ni wafuasi wa serikali ambayo inawaonea wananchi na nyie mmekubali. Sheria haijalishi serikali au mtu binafsi. Unaponibomolea kijumba changu kidogo ni sawa na yule unayembomolea gorofa. Mmeshafanya projection in twenty five years mahitaji ya ile bara bara yatakuwaje?
Magufuli yuko sawa myie ndio mmepotoka

Mkuu umenena!

Jamii yetu inaanza kupotaka kwa kudhani kusimamia sheria ni wendawazimu!

Big u Pombe Magufuli kwa kutambua kuwa sheria ni msumeno. Kama unabomoa nyumba za walalahoi basi hata hizo za serikali lazima zibomoleweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Yaani unataka kusema babrabara ikibidi ipanuliwe kupunguza foleni inayoanzia Mbezi-Suca, majengo yasibomolewe sababu tu yalijengwa kwa gharama na yanatoa madhari nzuri? wewe ndio una wazimu, siyo Magufuli
 
Hivi whats wrong with Tanesco? ma PHD kibao hadi wanabandika kwenye business cards zao sijui kutoka University za Marekani/UK lakini ZERO! wanakuja kujenga kwenye road reserve!
 
Mwiba, amini nakuambia wewe ndio unawazimu!.
Unajisikiaje kuitwa 'Mwiba una wazimu!', hizi lugha nyingine, sio za kutumia!, Magufuli ni waziri halali wa JMT wewe unamuita anawazimu, sio tuu unataka kumshushia hadhi, bali pia unaidharaulisha JF.

Unataka kuithaminisha sheria na fedha?. Eneo lile inajengwa fly over, hebu kwa akili piga kila hesabu hiyo fly over ichepushiwe wapi?.
Sio jengo tuu la Tanesco pale, majengo yote kuzunguka pale yanaondoka, na kama CCM watamsimamisha Magufuli 2015, tutamshauri Dr, asipoteze muda!, maana akishinda, mtu wa kanza kumpandisha kizimbani ni JK!,
Wewe unahitaji kupata mwalimu wa saikolojia na akakufundisha somo la wazimu,nafikiria pia hujui kama kuna somo la aina hiyo ,ndgu wazimu upo wa aina nyingi sana,maana hata kuchana nywele kwa mastyle basi hapo ujue kuna wazimu wacha kufunga vifungo kimoja au kuweka shati fundo. Na hapo hata papite mafly over bado huo utakuwa ni ufisadi,Na mhusika anahusika na kupata faida haiwezekani kwa nchi masikini kuvunjavunja hovyohovyo,kama si wazimu ni kitu gani?
Mkuu Mwiba nafanya tuu rejea kuhusu somo la wazimu, jee haya uliyoyasema enzi hizo na ukawa safe, unaweza kuyasema tena leo?, au alikuwa enzi hizo, sasa sio?,

Ila pia kiukweli kumbe kuna watu humu wamlitabiria makubwa Magufuli tangu longi sana!, huku wengine wakimwita hivi!.

Kiukweli, watu tumetoka mbali!, hii ngoma ilikuwa Mar 1, 2011

Paskali
 
Back
Top Bottom