Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

hahahaaaa kila akipiga hatua mbili tatu shurti abinue mguu au achokonoe chokonoe itoke... loh...kaaazi kweli kweli
Muhanga ishia hapa kwa leo. Somo limeeleweka. Ngoja nikamtafute mtaalam wa plastiki sajari!
 
.bht, yaani kama unazo hizo sijui ndio mnaita strechi marks mwanangu sina cha kukuahidi lakini handas mi huanzia humo!! bht, unazo nini niku-PM??

bahati nzuri sina jamaeni!!!! afu hata he mwenye yale si chaguo langu.....
 
wengine wanayo makubwa kama zebra za barabarani atu smtimes naskia huwa yanauma yale sijui kweli????

kheee hao wagonjwa sasa na sidhani kama hata mtoa mada atavutiwa na hizo zebra, lakini hofu ya nini hata ikiwa mikubw kama haifiki kule kule kwenyewe kunako utamu kuna tatizo gani? jamani tuwe tunaangalia %ge ya faida na hasara kabla hatujatumbukiza mtaji, kama huko kwingine kunalipa basi michirizi si ni yk mwenyewe, ifunike shuka endelea na mzigo!!
 
ni yale manywele ya kule chini ndani ya penayi box, mie nikiyaona tu kwa macho yangu live, hujikuta kamtarimbo kangu kanadisa kama kiredio mkulima kilichowekwa betri mpya siku ya gulio katerero!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

weweeeee my guess was right......bt....anyway 4get
 
bahati nzuri sina jamaeni!!!! afu hata he mwenye yale si chaguo langu.....

hee hivi kumbe hata 'HEs' nao huwa wanakuwa nayo yale mamichirizi, katika pekua pekua yangu yoote hadi umri huu wa miaka 45 sijawahi kukutana na 'he' mwenye michirizi! kumbe bado sijawamaliza niendelee na utafiti wangu!! thanks for the info
 
weeee wapo, chunguza utabaini!!! they look horrible kwao kuliko kwa wanawake (mtazamo binafsi kabisa huuu)
 
hee hivi kumbe hata 'HEs' nao huwa wanakuwa nayo yale mamichirizi, katika pekua pekua yangu yoote hadi umri huu wa miaka 45 sijawahi kukutana na 'he' mwenye michirizi! kumbe bado sijawamaliza niendelee na utafiti wangu!! thanks for the info
Hahaha! Leo ngoja niwahi kuchomoka ofisini! Kumbe nimeingia kwenye kitchen party bila kujijua!
 
ni yale manywele ya kule chini ndani ya penayi box, mie nikiyaona tu kwa macho yangu live, hujikuta kamtarimbo kangu kanadisa kama kiredio mkulima kilichowekwa betri mpya siku ya gulio katerero!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

heeee jamani kweli kuna watu humu mweh..kiroja kiroja.
 
Back
Top Bottom