Je, Church za Tanzania nazo zitafuata mkondo ?

Nasikia kanaisa kwenu mnafungisha hizo...lol kweli ukristo ni kupotea

Soma dini ya kweli mkuu achana na wazembe huko kwenye ukristo..huyo padre sisi tungemnyonga

Siwezi kuwa dini ya kishwetani mkuu!
 
Na Abdi Salum,
….tunaendelea na sakata letu la Mrembo wa Zanzibar.
Ni sawa, kupinga uovu ama kwa moyo au vitendo. Lakini, nina hakika sote tunajua kuwa Zanzibar wanawake-kwa-wanawake wanaowana, na tunapoga vigelegele. Wanaume kwa wanaume wanafaowana na harusi za kifakhari zinafanyika, na tunahudhuria bila hata aibu, na tunawasifu wote bw.na bi.harusi – hii mbona kawaida kabisa hapa Zanzibar.
Watu wa jinsia moja kuowana. Haya ni mambo ya kaumu luti. na sisi tunayachekelea.
Mrembo imekuwa issue kubwa. Kweli si vizuri, kuonyesha mwili kwa mwanamke hasa ikiwa kadamnasi. Lakini, tutake tusitake, zanzibar, yanafanyika zaidi ya hayo; na tunaona fakhari kubwa.
Hivi kweli hamjui kuwa wanawake na wanaume wanafanya mazoezi pamoja, wakionyeshana misuli, na wengine wanaume wakichukua wak za watu. Tunayajua, na tunayaona kuwa kuwa huo ndio "urijali" uliotukuka. Nina hakika mnajua. Sasa, naomba mzalendo net, uwalaani kwa sauti wanaofanya mambo hayo.
Zanzibar, imefikia point, ya kusulubiwa tu, maana hatuna tulilokuwa hatujalifanya. Ufirauna wote tumeufanya. Tatizo kubwa zaidi na zaidi, ya uharibifu wa yote haya, tumebeba mzigo wa utawala wa waovu. sasa, kuutua hatuwezi, tumeshindwa. Kuna hatari siku za baadaye zanzibar, inaweza kusarambaratika, pahala popote dhulma inapozidi, maadili yanapopotea, na ujahil unafurutu ada, basi, one day, M/Mungu atatugharikisha tu.
Zamani, zanzibar, ilikuwa ikijulikana sana kwa elimu. leo, zanzibar, inajulikana sana, kuwa ni kitovu kikuu cha madawa ya kulevya, kuanzia uuzaji, hadi watumiaji.
Je, mnajua kuwa kama vikosi kama KMKM walifanya usheinzi wa hali juu katika uchaguzi wa 2005, katika kijiji cha Piki, pemba. Hii ilikuwa mwezi wa Ramadhan, wanawake walinajisiwa, wakubwa kwa wadogo, wanaume walilawitiwa, na mali nyingi ziliibiwa.
Mnakumbuka yule mtu aliyekatwa ulimi maeneo ya ziwani, eti anasema sana. Walimkata ulimi vikosi vya SMZ, KMKMK, JKU, Valantia n.k. Ujahil kama huu umefanyika kwa jahari kabisa Zanzibar, na tumekaa kimya. Sijaona sheikh wala imamu aliyekemea si maneno wala vitendo.
Kuna sheikh mmoja hapa zanzibar (maarufu sana) , kazi yake kubwa ni kuchukua wake za watu, kuowa na kuacha, kulawiti watoto n.k sote tunajua hili. Tumefanya nini.
Tufunike kombe ………tutakwenda kusema nini mbele ya Allah, ikiwa jaji wa kiislamu anaruhusu leseni ya kuuza pombe, just kwa kupewa mlungura wa sh.10,000.
 
Na Abdi Salum,
….tunaendelea na sakata letu la Mrembo wa Zanzibar.
Ni sawa, kupinga uovu ama kwa moyo au vitendo. Lakini, nina hakika sote tunajua kuwa Zanzibar wanawake-kwa-wanawake wanaowana, na tunapoga vigelegele. Wanaume kwa wanaume wanafaowana na harusi za kifakhari zinafanyika, na tunahudhuria bila hata aibu, na tunawasifu wote bw.na bi.harusi – hii mbona kawaida kabisa hapa Zanzibar.
Watu wa jinsia moja kuowana. Haya ni mambo ya kaumu luti. na sisi tunayachekelea.
Mrembo imekuwa issue kubwa. Kweli si vizuri, kuonyesha mwili kwa mwanamke hasa ikiwa kadamnasi. Lakini, tutake tusitake, zanzibar, yanafanyika zaidi ya hayo; na tunaona fakhari kubwa.
Hivi kweli hamjui kuwa wanawake na wanaume wanafanya mazoezi pamoja, wakionyeshana misuli, na wengine wanaume wakichukua wak za watu. Tunayajua, na tunayaona kuwa kuwa huo ndio "urijali" uliotukuka. Nina hakika mnajua. Sasa, naomba mzalendo net, uwalaani kwa sauti wanaofanya mambo hayo.
Zanzibar, imefikia point, ya kusulubiwa tu, maana hatuna tulilokuwa hatujalifanya. Ufirauna wote tumeufanya. Tatizo kubwa zaidi na zaidi, ya uharibifu wa yote haya, tumebeba mzigo wa utawala wa waovu. sasa, kuutua hatuwezi, tumeshindwa. Kuna hatari siku za baadaye zanzibar, inaweza kusarambaratika, pahala popote dhulma inapozidi, maadili yanapopotea, na ujahil unafurutu ada, basi, one day, M/Mungu atatugharikisha tu.
Zamani, zanzibar, ilikuwa ikijulikana sana kwa elimu. leo, zanzibar, inajulikana sana, kuwa ni kitovu kikuu cha madawa ya kulevya, kuanzia uuzaji, hadi watumiaji.
Je, mnajua kuwa kama vikosi kama KMKM walifanya usheinzi wa hali juu katika uchaguzi wa 2005, katika kijiji cha Piki, pemba. Hii ilikuwa mwezi wa Ramadhan, wanawake walinajisiwa, wakubwa kwa wadogo, wanaume walilawitiwa, na mali nyingi ziliibiwa.
Mnakumbuka yule mtu aliyekatwa ulimi maeneo ya ziwani, eti anasema sana. Walimkata ulimi vikosi vya SMZ, KMKMK, JKU, Valantia n.k. Ujahil kama huu umefanyika kwa jahari kabisa Zanzibar, na tumekaa kimya. Sijaona sheikh wala imamu aliyekemea si maneno wala vitendo.
Kuna sheikh mmoja hapa zanzibar (maarufu sana) , kazi yake kubwa ni kuchukua wake za watu, kuowa na kuacha, kulawiti watoto n.k sote tunajua hili. Tumefanya nini.
Tufunike kombe ………tutakwenda kusema nini mbele ya Allah, ikiwa jaji wa kiislamu anaruhusu leseni ya kuuza pombe, just kwa kupewa mlungura wa sh.10,000.


Hiyo ni hoja ya huyo jamaa anaepigia upatu maswala ya urembo kwa kuzua bila kuwa na ushahidi hana tofauti na Hashim Lundenga inaonyesha na yeye ana itrest kama za Anko Hashim.
 
Ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine na waufanyao hata kama wanaufanyia msikitini au makanisani adhabu yao ipo wazi kwenye biblia sina hakika na kuran.

Sasa kanisa linalowafungisha ndoa mashoga lichukuliwe tu kuwa limeasi, ila kuuliza eti Tanzania na sisi tuige kama wao ni ujuha na upuuzi uliopitiliza. Ni sawa na mimi niulize Sheik Mufti Simba kwa nini sio Mchawi kama Shehe Yahya na mashehe wengine wachawi wanaojulikana.

Au niulize kwa nini Mashehe wa Tz HAWABAKI kama alivyobaka Marehemu Mtume wa waislam Munamad! Kama alibaka Muhamad atahukumiwa Muhamad kwisha!
 
Siwezi kuwa dini ya kishwetani mkuu!

Askofu shoga alijibu kanisa na Ratifa Baranyikwa

UAMUZI wa Kanisa Anglikana duniani kuwapa miezi saba wenzao wa Marekani kuacha kukumbatia tabia za kishoga ndani ya kanisa hilo, umeanza kulitikisa taifa hilo kubwa ambalo liko katika hatari ya kuondolewa katika umoja wa madhehebu hayo.

Mtikisiko huo tayari umeonyesha kumgusa Askofu shoga aliyesababisha mtafaruku mkubwa tangu alipowekwa wakfu mwaka 2003, Gene Robinson na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo nchini humo, Askofu mwanamke, Katherine Jefferts Schori.

Katika mkutano wake uliofanyika jijini Dar es Salaam katikati ya mwezi Februari, Kanisa Anglikana lilitangaza rasmi kupiga marufuku kuwekwa wakfu kwa maaskofu mashoga.

Sambamba na hilo, kanisa hilo liliyapa miezi saba, hadi Septemba 30 mwaka huu, makanisa ya Marekani na kwingineko duniani, yanaounga mkono ushoga kutubu na kuacha kushabikia vitendo hivyo ambavyo lilivieleza bayana kuwa ni kinyume cha mafundisho ya Biblia.

Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kufikiwa kwa Azimio la Dar es Salaam lililotangaza rasmi kuwakataa mashoga ndani ya kanisa hilo, Robinson, mmoja wa maaskofu wenye ushawishi mkubwa nchini Marekani, alieleza kushangazwa na uamuzi huo.

Robinson ambaye ni Askofu wa Jimbo la Hampshire, amekaririwa na vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, akilitaka kanisa hilo duniani kuacha kujadili masuala ya ushoga na badala yake kuyafanyia kazi maandiko ya Injili.

Msimamo huo wa Robinson ndiyo ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wengi wa kanisa hilo nchini Marekani, tangu maaskofu wa kanisa hilo walipotoa tamko lao hilo jijini Dar es Salaam, siku chache zilizopita.

Naye Askofu Mkuu Schori, ambaye ameendelea kuunga mkono suala la ushoga kutambulika ndani ya kanisa hilo, alisema ingawa bado mawazo yake hayajabadilika katika kutetea suala hilo, aliwataka waumini wenzake kuacha kulipigania jambo hilo ‘japo kwa sasa.'

"Kuishi pamoja ndani ya jumuiya ya Kikristo, ina maana kila mtu atilie maanani mahitaji na umuhimu wa mwingine kwa makini.

"Kama tutapunguza hulka na silka katika kipindi hiki cha malumbano ya ushoga, basi tutakuwa tumepata mbinu ya kumaliza tatizo hilo na kuwa kitu kimoja bila kugawanyika," alisisitiza Schori.

Alisema kuwa, endapo suala la ushoga litachukua sura mpya ndani ya kanisa hilo, kuna hatari ya kanisa hilo la Marekani kutengwa katika ushirika wa Anglikana wapatao milioni 77 duniani kote.

Kanisa hilo lilianza kupata misukosuko baada ya Askofu Robinson kujitangaza hadharani kuwa ni shoga aliposimikwa mwaka 2003 kuwa Askofu wa Kanisa la Marekani.
 
Ushoga ni dhambi kama dhambi nyingine na waufanyao hata kama wanaufanyia msikitini au makanisani adhabu yao ipo wazi kwenye biblia sina hakika na kuran. Sasa kanisa linalowafungisha ndoa mashoga lichukuliwe tu kuwa limeasi, ila kuuliza eti Tanzania na sisi tuige kama wao ni ujuha na upuuzi uliopitiliza. Ni sawa na mimi niulize Sheik Mufti Simba kwa nini sio Mchawi kama Shehe Yahya na mashehe wengine wachawi wanaojulikana. Au niulize kwa nini Mashehe wa Tz HAWABAKI kama alivyobaka Marehemu Mtume wa waislam Munamad! Kama alibaka Muhamad atahukumiwa Muhamad kwisha!

Kanisa USA lateua Shoga mwingine kuwa Askofu


Dayosisi moja mjini Los Angeles, Marekani, imemchagua askofu, na ambaye waziwazi inafahamika anahusishwa na mapenzi ya jinsia moja.
Huyu ni askofu wa pili katika kanisa la Anglikana na anayehusishwa na mapenzi ya jinsia moja, jambo ambalo limesababisha mgawanyiko mkubwa katika kansia hilo.





Mchungaji Mary Glasspool, kutoka Baltimore, alichaguliwa kama askofu msaidizi, ingawa anahitaji kuungwa mkono na kanisa la Episcopal (Anglikana) nchini Marekani ili kikamilifu kukabidhiwa mamlaka hayo.



Gene Robinson (pichani) alikuwa wa kwanza kuchaguliwa kama askofu wa mapenzi ya jinsia moja, katika dayosisi ya New Hampshire, miaka sita iliyopita, na jambo hilo likasababisha mgawanyiko katika kanisa Anglikana.

source: BBC
 
Kwa hili jamani wakiristo na waisilamu tushikamane ili tuliangamize maaana watakao athirika si wakiristo au waisilamu peke yao ni jamii nzima tushirikiane kulipinga hili jambo na mwenyezimungu aliepushilie mbali nawaomba. Pia najuwa hata kwa wakiristo hili jambo linawachefua kama linavyotuchefua sisi waisilamu nawaomba wakiristo kwa hili wapipinge kwa nguvu zao zote, wasikubali nyumba zao za ibado zitumike kwa kumdhalilisha mungu

Kabla hujaanzisha Vita dhidi ya Wacsenge na Mabasha Fanya utafiti wa kina.
Usenge ni tatizo kubwa sana.
Ma priest na Mashiekh hata Marabi wa kijew ndo vinara wa wa Ubasha.
Viongozi wengi wa kisiasa ni Mabasha.
Wafanya biashara wengi ni Mabasha.
hata mitaani kwetu tuna watu wengi tunao waheshimi ni Mabasha.
Vita dhidi ya ya same sex Marriage ni Vita very complicated.
 
Jamani muwe waungwana. Vitabu vyote vya dini haviruhusu balaa hilo. Mtamaliza kuni kwa kuchemsha mawe.
 
Mashoga wapiga kambi mkutano wa maaskofu Dar By Habari Tanzania | Published 02/15/2007 | Habari za Kitaifa | Unrated

Na Simon Berege
WAWAKILISHI wa wanaharakati wa kimataifa wa kutetea haki za mashoga na wasagaji ndani ya kanisa la Kianglikana, wamefanikiwa kuweka kambi katika hoteli ya Whitesands ya jijiji Dar es Salaam, eneo linalotumiwa na maaskofu wakuu wa kanisa hilo duniani kujadili mambo mbalimbali yanayolihusu kanisa.

Kama ilivyo kwa wanaharakati hao, pia wawakilishi wa vikundi vya kimataifa vinavyopinga ushoga na usagaji ndani ya kanisa, nao wamefanikiwa kupata malazi katika hoteli hiyo, wakiongozwa na Askofu Martin Minns kutoka taasisi ya Marekani iitwayo White English Priest. Kila kikundi kimekuwa kikijitahidi kufanya ushawishi wa viongozi hao wa kanisa kuunga mkono upande wao.

Wakati hayo yakitokea, Mkuu wa kanisa hilo duniani, Askofu Mkuu wa Canterbury, Rowan Williams, jana alikuwa na mkutano wa ndani na maaskofu wakuu wapya 11 wanaohudhuria mkutano huo kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa wakfu, akiwemo Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini Marekani, Katherine Schori ambaye ni mwanamke wa kwanza kupewa wadhifa huo nchini humo.

"Tumekuja kuwashawishi viongozi wetu wa kiroho wasikie sauti yetu na kuzingatia haki za mashoga na wasagaji ndani ya kanisa, kwani kuwepo kwao katika kanisa hakuna madhara yoyote " alieleza Mchungaji Colin Coward wa kanisa hilo kutoka Uingereza, ambaye ni Mkurugenzi wa taasisi ya kuhamasisha mabadiliko chanya ya kimtazamo juu ya ushoga na usagaji ndani ya kanisa la Anglikana.

Akizungumza na Mwananchi hotelini hapo jana, Mchungaji Coward alisema tayari wawakilishi wanne kutoka nchi mbalimbali duniani wapo hotelini hapo kuhakikisha wanafanikiwa kutetea haki za waumini hao kutokana na maslahi yao kuwa matatani hasa baada ya kuongezeka kwa harakati za kuwapinga mashoga ndani ya kanisa hilo.

Mchungaji huyo alisema tayari alishafanikiwa kuonana na maaskofu watatu ambao wamesikiliza hoja yake kwa makini na kwamba yeye na wenzake wataendelea kubaki hotelini hapo hadi mkutano huo utakapokwisha kwa lengo la kufanikisha azima yao.

"Tunajua mabadiliko hayawezi kutokea kwenye kikao hiki lakini itakuwa hatua muhimu ya kufikia malengo yetu ya kutetea kundi letu lisilona hatia," alisema Mchingaji Coward na kuwataja wenzake walio nchi hapa kwa shughuli hiyo kuwa ni pamoja na Scot anayetokea inclusive church na Caro wote wakitokea nchini Marekani na Davis Mac-Lyalla kutoka Nigeria.

Wakati hayo yakitokea, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka makao makuu ya kanisa hilo, James Rosenthal, alisema Askofu Mkuu wa Nigeria, Peter Akinola, amewasilisha barua kwa Askofu Mkuu wa Canterbury, Rowan Williams, ingawa bado maelezo yaliyo katika barua hiyo hayajawekwa wazi.
Mwandishi wa gazeti hili alipata wasaa mfupi wa kuzungumza na Askofu Akinola akiwa katika gari maalum ya kubebea wageni hotelini hapo, ambaye alikiri kuwasilisha barua hiyo kwa mkuu wa kanisa ingawa yaliyomo katika barua hiyo bado ni siri kati yake na Askofu Mkuu.

"Hadi sasa hii barua ni suala la mimi na yeye ila kama itastahili kuwekwa mbele ya vyombo vya habari basi watu wetu watawapatia" alieleza Askofu huyo na kuondoka. Mikutano hiyo inafanyika kwa usiri mkubwa chini ya ulinzi mkali.

Hata hivyo kati ya waliomlaki Askofu huyo kwenye lango la kuingilia hotelini hapo alikuwa Mkurugenzi wa kutetea haki za Mashoga na Wasagaji kutoka nchini Nigeria, Davis Mac-Lyalla ambaye naye ameweka kambi hotelini hapo kwa lengo la kushawishi maaskofu kusaidia kusitisha mchakato wa kuanzisha sheria ya kupinga ushoga na usagaji nchini Nigeria.

Askofu Akinola ndiye aliye mstari wa mbele kupinga ushoga ndani ya kanisa hilo na ameshawahi kukaririwa akitishia nchi yake na Afrika kwa ujumla kujitenga kutoka katika kanisa hilo endapo ushoga hautapigwa vita ndani ya kanisa.

Alipoiona sura ya Mac-Lyalla, Askofu Akinola alimhoji alichofuata jijini hapa na kama amealikwa ambapo alimjibu kwamba hajaalikwa lakini amefika kuwasilisha ujumbe mahsusi.

Akizungumza na wanahabari hotelini hapo, Mac-Lyalla alisema tayari wameshaandika waraka kwenda kwa maaskofu wakuu wanaofanya kikao hotelini hapo kwa lengo la kuwaomba waishawishi serikali ya Nigeria kusitisha mchakato wa mswaada wa sheria ya kupinga ushoga ulioanza kujadiliwa na Bunge la nchi hiyo jana.

Alisema endapo sheria hiyo itapita, kuna hatari kwa familia nyingi kuathirika kwani kifungo kilichopendekezwa kwa watu watakaothibitika kujihusisha na ushoga ama usagaji nchini humo ni kati ya miaka mitano hadi 14.

"Kuwepo kwetu katika kanisa hakuna shida yoyote kwani hata wanawake wengi Nigeria hawaogopi kusikia mume wake akiwa na mahusiano na mwanaume mwenzie kwani hawezi kuzaa na kuanzisha familia mpya," alisema Mac-Lyalla.

Mkutano huo unatajwa kuwa mzito kwani unaweza kuweka historia mpya ya kanisa hilo kutokana na madai ya kuwepo kwa kundi la maaskofu wakuu 20 kati ya 38 wanaoongozwa na Askofu Akinola wanaotaka kanisa hilo kutoa msimamo wake juu ya ushoga, hasa baada ya kanisa la Marekani kukubali kumtawaza, Gene Robinson kuwa Askofu mbali na kujitangaza hadharani kuwa ni shoga.

Kundi la maaskofu hao pia linampinga Askofu Mkuu mwanamke wa kanisa hilo nchini Marekani, Katherine Schori ambaye ameonyesha msimamo wa kumuunga mkono Askofu Robinson.

Askofu Mkuu Schori ni miongoni mwa maaskofu wanaohudhuria mkutano huo wa Whitesands, lakini Askofu Robinson hayupo katika mkutano huu kwa kuwa yeye si Askofu Mkuu.

Wachambuzi wa mambo wanaeleza kwamba Askofu Schori ambaye ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini humo, anaweza kukumbana na makali ya Askofu Akinola kwenye mkutano wao unaoanza leo huku pia kukiwa na taarifa za kuwepo kwa maaskofu waliopanga kumnyanyapaa.

Baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo walivunja uhusiano yao na kanisa la Marekani baada ya kukubali kumtawaza kasisi aliyejitangaza kuwa Shoga kuwa Askofu pamoja na kuruhusu ndoa za watu wa jinsia moja.
 
Jamani muwe waungwana. Vitabu vyote vya dini haviruhusu balaa hilo. Mtamaliza kuni kwa kuchemsha mawe.

Wao wametoka nje ya mada sasa na sisi especial mimi sikubali kuletewa habari zisizo husu kichwa cha habari zenye kuuchafua usilamu wakati kuna habari chungu nzima za maaskofu wetu hapa hapa dar na moshi!

Wataleta habari za india sie tunakandamiza za kibara..........
 
Wao wametoka nje ya mada sasa na sisi especial mimi sikubali kuletewa habari zisizo husu kichwa cha habari zenye kuuchafua usilamu wakati kuna habari chungu nzima za maaskofu wetu hapa hapa dar na moshi!

Wataleta habari za india sie tunakandamiza za kibara..........

Safi sana mkuu wanaruhusu ushoga kanisani mpaka mchungaji shoga wakiambiwa wakemee kimya..kazi kuandika miwaraka ya kukataa mahakama ya kadhi lol...

Hayo mambo hayawezi kufanyika msikitini na kuruhusiwa na muislam hata moja lakini kwa wenzetu yanafanyika kanisani shame!

Hawana hoja hiyo dini ni waliopotea...
 
Kuna thread moja nilisema wazi kabisa kuwa mimi ni mkristo wa KKKT, lakini katika suala la mavazi nipo tayari sharia ya Kiislamu itawale dunia kwani wakristo tumeachia democrasia mno hata kukemea wanaovaa mavavi ya disco na beach kanisani hatusemi

Katika hili la ushoga wakristo( hasa wa Ulaya na USA/Canada) tukubali tumekuwa softi hatukemei vya kutosha, wenzetu waislamu hata kama wanafanya lakini hawajaonyesha mjadala wa kuruhusu ushoga na wanapinga kweli kweli, kwa hilo wao ni rahisi kujitetea kuwa ushoga ni kwa personal muslim lakini dini na viongozi wanakemea kweli kweli na adhabu juu.

Upepo unakuja africa na sijui wakristo tumejiandaa vipi kupingana na hao wazungu maana tayari kuna mamluki wanaounga mkono ushoga(fuatilia sakata la Anglikana Dodoma na Sumbawanga). Kanisa linahitaji mageuzi makubwa ya kurudi kwenye misingi ya imani,tunahitaji wakina-Martin Luther wa sasa watakaosaidia kukemea vitu vinavyokwenda kinyume na imani kwa nguvu zote, na nina hakika watapata wafuasi maana Mungu hawezi kosa watu wake.

Yote haya tunayoyaona ni matokeo ya kitu kizuri tu kilichoanza kwa nia nzuri mwanzoni, yaani Human Rights, lakini watu wa shetani nao wamepenyeza na hoja zao hapo hapo na kuleta ushoga na mengine ya ajabu ajabu.

Lakini ninachojiuliza sana akilini mwangu ni kuwa duniani kuna dhambi nyingi tu na wanaozifanya wanaendelea kuzifanya bila kubugudhi imani/dini zilizopo, watu wanakunywa na kutengeneza pombe, watu wanafanya umalaya, watu wanua wenzao, watu wanacheza kamali, wanashinda kwenye ma-club ya usiku nk, lakini hatujasikia wakitaka baraka za kanisa au msikiti isipokuwa hawa mashoga ambao wanataka hata vile vifungu vya misahafu vinavyokataza ushoga visiwe sehemu ya mahubiri, yaani inanishangaza sana lakini hakuna kukata tamaa ni kuendelea kuhubiri dini kama ilivyo hata kama watafanikiwa kuyateka makanisa fulani, hawataweza kwa yote. Hii ndio imani yangu.
 
Hivi MZITO MKABWELA umesahau yule alomchora MTUME katuni waislam walivyotaka kumfanya pia umesahau mwinyi alivyopigwa kibao uislamu sio dini ya mchezo ndo maana ukifanya upumbavu ndani ya dini ufahamu WAISLAM watakuadhibu ss swali linauliza WAKRISTO wa tz mutafuata hii hoja kwa 7bu connection zenu na wakristo wa magharibi ni za ukaribu mno kwa mfano last year PAPA kapitisha ruksa kondom kwa WAKATOLIKI ina maana wa huku tz lazima wafuate la cvyo hakuna misaada
 
Back
Top Bottom